meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,464
- 4,828
- Thread starter
- #81
Watoto wameruhusiwa kuvamia jamvi ndio maana tume-mute kidogo ila ni lazima tuwaoneshe uwezo wa kufikiriuliona mbali sana mkuu
nyie ndio magreater thinker sasa
Watoto wameruhusiwa kuvamia jamvi ndio maana tume-mute kidogo ila ni lazima tuwaoneshe uwezo wa kufikiriuliona mbali sana mkuu
nyie ndio magreater thinker sasa
Movie bado inaendelea
tayarimada hiyo mod waliona waiungamishe na mada nyingine ila ukweli utadhihiri siku moja
Kabwe alipigwa zengwe na Dikteta Mbowe sababu ya uenyekitiSalaam.
nyote mtakumbuka kuhusu upep na kimbunga cha neno msaliti kilivyo vuma na kutimua vumbi kiasi cha kuleta mtafaruku mkubwa ndani ya chama kisa tuhuma za usaliti dhidi ya Bwana Kabwe (ambazo mpaka leo kwa hakika hazijathibitishwa kwa asilimia zinazo ridhisha)
baadae kidogo chama kikampokea mtu ambaye alisemwa sana kuwa ni fisadi kwa kile kilicho itwa kubadili gia angani
na makamanda tukapiga kimya huku walio tokwa damu wakikimbilia kanada/kwingineko nje ya nchi kwa tuhuma zilezile za kuitwa wasaliti.
swali ni je Angekuwa zitto kabwe kwa wadhifa aliokuwa nao ndani ya chama aamue tu kwenda ikulu kumshukuru na kumpongeza raisi kwa kazi anazofanya(kama Ngoyai alivyo jipambanua leo) HALI INGEKUWAJE?
Zitto angepewa jina gani?
je vikao vya dharula visingefanyika kwa kasi ya upepo?
nakuambieni huyo kigogo aliyepaswa kupokelewa na mangula leo sio huyu alie pokelewa leo hapo wamebadili gia angani tu, kuna vitu havijakamilika ilipaswa awe kigogo haswa
ila muda utaongea. Peoples power.
wanachama na wafuasi ndio mpango mzima
Mapema mno mkuu wanguDuu kweli ulitabiri
CCM wanaijua nchi vyema ni bora kuwasmini wafanye wafanyayo kuliko kutumbikizwa kwenye dimbwi la drug dealers na wala ruzukuInasikitisha sana....!!
Hii nchi CCM wataendelea kuifanya wanavyotaka upinzani hakuna kabisa.
kweli mkuu Chadema ni watu walioamua kusakatonge nje ya CCMCCM wanaijua nchi vyema ni bora kuwasmini wafanye wafanyayo kuliko kutumbikizwa kwenye dimbwi la drug dealers na wala ruzuku
Mkuu Nchi Kavu, ni kweli mimi huwa sielewekagi na watu wa viwango fulani vya uelewa, hivyo pole sana kwa kutonielewa, ila wale wa viwango vya uelewa wa kunielewa, wananielewa sana!.We jamaa mbona huelewekagi?
Umenena vyema mkuu P. Huwa najifunza mengi kupitia wewe,keep it up.Mkuu Nchi Kavu, ni kweli mimi huwa sielewekagi na watu wa viwango fulani vya uelewa, hivyo pole sana kwa kutonielewa, ila wale wa viwango vya uelewa wa kunielewa, wananielewa sana!.
Mfani wa viwango vya uelewa ni bandiko hili, limewekwa tangu Jan, 2014, wale watu wa viwango vya ulewa Chadema, walielewa, walipotaka kuwaelewesha wengine humo Chadema wenye viwango kama vyako, hawakuelewa!, wakawaachia chama chao, wakasepa!. Sasa haya yanakuja kujitokeza leo 2019, na naamini bado kuna ambao hawajaelewa mpaka sasa, lakini baada ya matokeo ya uchaguzi mkuu mwani, 2020, sasa ndipo wenye viwango kama vyako, mtaelewa!.
Viwango vya uelewa pia vinaendana na mambo mengi, ikiwemo exposure, uwezo wa uoni wa mbali, wengine wakiwa ndani ya box, mwisho wao wa kuona ni kwenye kuta tuu za box, hawawezi kujiongeza japo wachungulie nje!, ila kikubwa katika uelewa ni mambo ya IQ.
Pole!.
P
Mkuu nakumbuka uliwahi kuwa kwenye payroll ya lowasa, na kaunafiki unako kwa mbaali!Mkuu Nchi Kavu, ni kweli mimi huwa sielewekagi na watu wa viwango fulani vya uelewa, hivyo pole sana kwa kutonielewa, ila wale wa viwango vya uelewa wa kunielewa, wananielewa sana!.
Mfani wa viwango vya uelewa ni bandiko hili, limewekwa tangu Jan, 2014, wale watu wa viwango vya ulewa Chadema, walielewa, walipotaka kuwaelewesha wengine humo Chadema wenye viwango kama vyako, hawakuelewa!, wakawaachia chama chao, wakasepa!. Sasa haya yanakuja kujitokeza leo 2019, na naamini bado kuna ambao hawajaelewa mpaka sasa, lakini baada ya matokeo ya uchaguzi mkuu mwani, 2020, sasa ndipo wenye viwango kama vyako, mtaelewa!.
Viwango vya uelewa pia vinaendana na mambo mengi, ikiwemo exposure, uwezo wa uoni wa mbali, wengine wakiwa ndani ya box, mwisho wao wa kuona ni kwenye kuta tuu za box, hawawezi kujiongeza japo wachungulie nje!, ila kikubwa katika uelewa ni mambo ya IQ.
Pole!.
P
Mkuu Mliberali, amini nakuambia, sijawahi kuwa kwenye payroll ya Lowassa, ila kwa vile Msemaji wa Aboubakar Liongo ni ndugu yangu kabisa wa kufa na kuzikana, (Tumesoma wote chuo TSJ, tukikaa chumba kimoja, rooms za TSJ ni shared watu wawili na vitanda viwili, vyuo kuna mambo ya 'exile', sisi tukawa hatuhitaji kupigana exile, bali ni mambo ya duble duble), kisha tukaajiriwa wote RTD tukaanza kazi siku moja, tukaishi flat moja ya two rooms, shared sitting na kitchen!, you can imagine. Hivyo kumsupport Abou, nikamuunga mkono Lowassa by proxy, lakini sikuwahi kupokea senti tano yake!.Mkuu nakumbuka uliwahi kuwa kwenye payroll ya lowasa, na kaunafiki unako kwa mbaali!
Kuna theory nyingi sana kuhusiana na ugombea urais mwaka 2015, zote zinalenga katika majina makubwa ya Wanaccm wanaoutaka urais.
Kuna watu wanasema Lowassa akikosa kupitishwa na CCM kugombea urais, basi atahamia CHADEMA na kugombea urais kwa tiketi ya CHADEMA. Pia Sumaye kwa upande mwingine, akishindwa huko CCM, atajiunga CHADEMA na kugombea urais au ataiunga mkono CHADEMA.
Haijalishi nini kitatokea CCM, lakini msimamo wa wananchi waliochoshwa na CCM na Wanachadema ni mmoja tu. Hakuna kushiriki meza moja na mafisadi!
Hii ni tahadhari kwa hao kina Lowassa na uongozi wa CHADEMA!
CHADEMA iandae uongozi thabiti wa kushika dola, kwani 2015 wananchi wamejipanga. Hakuna politics!
Sawa mkuuMkuu Mliberali, amini nakuambia, sijawahi kuwa kwenye payroll ya Lowassa, ila kwa vile Msemaji wa Aboubakar Liongo ni ndugu yangu kabisa wa kufa na kuzikana, (Tumesoma wote chuo TSJ, tukikaa chumba kimoja, rooms za TSJ ni shared watu wawili na vitanda viwili, vyuo kuna mambo ya 'exile', sisi tukawa hatuhitaji kupigana exile, bali ni mambo ya duble duble), kisha tukaajiriwa wote RTD tukaanza kazi siku moja, tukaishi flat moja ya two rooms, shared sitting na kitchen!, you can imagine. Hivyo kumsupport Abou, nikamuunga mkono Lowassa by proxy, lakini sikuwahi kupokea senti tano yake!.
Ndio maana nilikuwa na uwezo wa kutoa ushauri kama huu
Soma hizi ushauri zangu kwa Lowassa![]()
GE2015 - Edward Lowassa sio lazima yeye tu ndiye awe Rais wetu 2015, Rais wetu wa 2015 ni...
...Yule Aliyepangiwa na Mungu!. Wanabodi, 2015 ndio hii, mimi ni miongoni mwa tuliojibainisha wazi, kumkubali Edward Lowassa as "The One and Only" Best President this country can ever have apart from Nyerere!. Hii haina maana Lowassa ndio lazima yeye ndiye awe rais wetu, bali rais wa Tanzania...www.jamiiforums.com
Uchaguzi 2015 - Ushauri wa Bure Kwa Lowassa: Kwa Vile ni Magufuli ...
Ushauri wa bure kwa Mhe. Lowassa: Ili kuilinda Heshima yako ...
Ushauri: Lowassa Asikanyage Arumeru! Atamponza Sioi!. | JamiiForums
Ushauri wa bure kwa Lowassa, japo it's now just a matter of time ...
Ushauri wa Bure kwa Lowassa: Hata kama ni kweli uliibiwa kura; Kaa ...
Kwa mtu unayekula fadhila za mtu fulani, huweza kuwa na ujasiri wa kutoa ushauri kama huu
P