Mkuu ni kweli wajomba wakutuletea misaada toka ulaya hatunao tena na hapa bila shaka wakatoliki wenyewe walitakiwa kujipanga badala ya kumtafuta mjomba mwingine toka kanisa la kilutheri kwa jina Lowasa. Hivi kwa mfano mkatoliki mwenzao Gachuma wa hukohuko Mwanza angeshindwa kusimamia shughuli hii?Mkuu, umenishangaza sana. Unazungumzia dini, dhehebu au kanisa kama jengo? Kama ni jengo ulitegemea lingejengwaje kama si kwa michango ya watu, hususan waumini? Au unafikiri bado wapo wajomba kutoka Ulaya wa kuwaletea pesa za kujengea nyumba za ibada kama awali? Kuhusu Mhe. EL, mimi nami sioni tatizo, si swala letu kuhukumu utakaso wa mtu, hata Bw. Yesu alikula na wadhambi, japo simaanishi kwamba Mhe. ni mmojawapo.
nadhani unahitaji kutafiti juu ya mambo yanayoendelea inchini mwetu ili ujue ekweli wake. Kama hutaki utabaki bila ukweli.hekalu langu limekuwa pango la wanyang'anyi...mie ni muumini wa katoliki ila kwa hili mauti yataliandama kanisa hili,tunajenga ama tunabomoa?
Hivi Lowasa kaiba nn jamani?
umeuliza vema! Ila ninahofu kuwa hutajibiwahivi lowasa kaiba nn jamani?
umeuliza vema! Ila ninahofu kuwa hutajibiwa
Mim ni mkatoriki lakin siungi mkono Lowasa kualikwa kwenye hiyo harambee! Hovyo kabisa hizi dini za siku hizi hakuna kitu,wanawaza hela tu!
Lowasa is our Kagame in the making, you heard here first.Mwingine huyu,... a little search of the forum itawapa majibu yote, sio kila siku mnajitoa akili tu watu wazima na makende yenu.