Lowassa na Majibu ya Hasira kwa Swali la Msingi

Lowassa na Majibu ya Hasira kwa Swali la Msingi

Kama alikuwa na msimamo wa kuvunja mkataba lakini hao subordinates wakamwambia amri toka juu inasema haliwezekani, alipaswa Kujiuzulu wakati huo huo.
Mtei alimshauri Mwl. Nyerere kufanya devaluation ya Shilling yetu kama Waziri wa Fedha. Mwl alipokataa, akajiuzulu bila ajizi.

EL Angefanya kama Mtei, leo hii angekuwa shujaa kabisa. Lakini kuendelea na wadhifa wake kuna maana moja tu. Alikubali yaliyohusu Richmond kama kiranja mkuu wa shughuli za Serikali. Hapo uozo unakuwa ni wa kwake pia.
 
Sioni lengo liwe kuanza malumbano bali kuangalia jinsi ya kuleta mabadiliko, amesha eleza wazi mwenye ushahidi na huo ufisadi wa Richmond autoe, auweke wazi au aupeleke mahakamani sasa aseme nini zaidi.

Suala la kadi ya CCM, huyu bwana ni mstaarabu hawezi kufanya kama wale wanaokwenda kuchana kadi za chama katika mikutano ya vyama, kuna haja gani kwasababu ameondoka CCM aanze kukikashifu na kukifanyia vituko.

Pale penye uozo ambao umefanyika au unataka kurekebishwa atauzungumzia lakini kwa heshima na busara, Haya masuala siyo kama ushabiki wa Simba na Yanga.

Tumpe muda kilichomuhimu ni kilicho moyoni mwake siyo kuchana kadi,kwani kuna wangapi tumewaona wamehama vyama na kurudi katika vyama vyao vya zamani.
 
I like it ,thank you.
 
Iseee magamba safari hii kazi mnayo, mnatafuta kila kona madhaifu ya Lowasa lkn Hakuna mashiko juu ya pumba ulizoandika hapo juu.Na mimi nakuambia Wewe mleta mada kama huna kazi ya Kufanya "just shut up!"

Fikil kabla ya kunena,Mungu amekupa utash na hekima itumie muda wote.Tazama anayosema yanahoja ya kimsingi ndani yake usilete utani na ushabiki kwenye mambo ya msingi
 
mkuu mbona mimi sijaona mahala alipo jibu ka hasira, pia aliitisha kikao sio cha subordinate but watendaji mbalimbali akiwemo mwanasheria mkuu. soma kazi za manasheria mkuu nini katika serikali then ndo uje hapa vinginevyo na wewe shut up

Haujui kitu na ww shut up
 
Iseee magamba safari hii kazi mnayo, mnatafuta kila kona madhaifu ya Lowasa lkn Hakuna mashiko juu ya pumba ulizoandika hapo juu.Na mimi nakuambia Wewe mleta mada kama huna kazi ya Kufanya "just shut up!"

mkuu umetumia hasira,taifa linakuwaje hasa?
 
Wadau Habari; jana ilikuwa siku ya kipekee sana kwa historia ya Tanzania ambayo tuliahidiwa na tuliisikia minong'ono mingi na tetesi za kila leo juu ya kuhama chama kwa aliyekuwa mgombea urais kwa tiket ya CCM ndugu, EL.
Binafsi nampongeza kwa kuitumia haki yake ya kidemocrasia na kufanya maamuzi magumu; kama mtanzania nisiyefungamana na upande wowote nimestaajabishwa sana na mambo mawili makubwa.
Mosi ni juu ya umiliki wake wa card ya CCM, EL inasemekana ana miliki card namba 15 ya Uwanachama ndani ya CCM, lakini siku ya jana alijivua uwanachama na kupewa rasmi card ya CDM, sasa bado najiuliza imekuaje kamanda huyu amejiondoa CCM na kwenda CDM lkn bado anamiliki card ya chama hicho? Maana jana sikuona akiirudisha card ya CCM ili ichanwe chanwe pale mbele ya macho yetu.
Lakini kama hiyo haitoshi bado najiuliza inawezekanaje Kiongozi mkubwa kama yeye anathubutu kutoa majibu ya hasira mbele ya Taifa hili juu ya swali la msingi ambalo lilimchafua yeye na baadhi ya Viongozi wa wizara husika.
Kwa kusema kwamba NANUKUU; "Nilipoitisha kikao cha "Government negotiation team" nikawauliza mbona nasikia huu mkataba una matatizo? mimi nina uzoefu wa kuvunja mikataba na huu tuuvunje! wakaomba ruhusa watoke nje kwa saa moja, baada ya hapo waliporudi wakasema wamepigiwa simu toka mamlaka ya juu mkataba usivunjwe "what else could I have done?" Mwisho wa KUNUKUU, Sasa najiuliza hapa inawezekanaje PM umeitisha kikao cha subordinates wako alafu anatokea wa kukuambia kuwa et nimewasiliana na wakuu wamekataa hilo, nani basi mwenye kupaswa kufanya consultation na Wakuu wenzake kati ya watu hawa wawili EL kama PM au Subordinates?
Lakini pia napata shaka pale namna ambavyo swali la msingi lilivyojibiwa kwa kusema kwamba, NANUKUU; "Am sick of Richmond, mtu yoyote mwenye ushahidi wa mimi kuhusika na Richmond aende mahakamani, kama huna just shut up. Nilichukua uamuzi kwa niaba ya serikali.
Nimeondoka madarakani miaka nane iliopita, mambo haya yameongezeka yamepungua, mikono yangu ni misafi na mtu mwenye ushahidi acha kupigapiga kelele, peleka mahakamani" mwisho wa KUNUKUU; Kwa uelewa wangu wa kawaida kabisa unyeti wa jambo hili haukutaka jibu la namna hii bali watanzania tungeridhishwa zaidi endapo tungepata majibu mazuri kwa kina na yenye kujitosheleza badala ya kuwa mkali kiasi ambacho inatuacha na maswali mengi kwamba ile ni namna ya kututisha na kutuziba midomo kama ambavyo ilitokea pale kwa wana habari wenzangu au ni nini hasa?
Kama hii haitoshi bado najiuliza, Je na ile hoja ya Dr.Slaa kwamba ushahidi wa jambo hili anao na yupo tayari kwenda kuthibitisha mahakamani leo hii sisi watanzania tunaibebaje hii statement kuwa naye alikuwa anabwabwaja tu au namna gani?
Lakini nathubutu kwenda mbali zaidi kwa kujiuliza Dr.Slaa na wenzake wanasimama vipi Jukwaani kumnadi kwa kumtakasa mtu huyu ambaye wao walikuwa wanachangia kumchafua?
Mambo haya yananipa shida kuyapatia majibu basi nabaki kujiuliza bila mafanikio naombeni wadau mnisaidie kung'amua.
"Majibu ya hasira kwa swali la Msingi"

Salaam mkuu,wakati mwingine tunatumia kalamu zetu vibaya ktka kupambanua mambo binafsi ninachokiona hapa hasa ni kwamba bado watu mmelalia upande mmoja wa maelezo,ingekuwa ni vyema sana kama watu mngechukua msimamo wa ndg EL kuhusu hiyo kauli yake ya kwamba mwanasheria mkuu alipokea maelekezo kutoka mamlaka ya juu kwamba mkataba uendelee,hapa kwa watu wenye nia njema kabisa ambao mngekuwa bado mnataka kujua ukweli wa hili jambo basi hii ingekuwa ni starting point ktk kuuchimba zaidi ukweli badala ya kung'ang'ana na EL tu peeke yake.
 
Kumbe wengi tuneona usanii wa majibu ya Lowassa.
Najiuliza swali,hivi Lowassa angetoa haya majibu akiwa CCM Hawa njemba wa UKAWA wangeyashangilia?wangempongeza Lowassa kwa majibu ya sampuli hii?ukijibu hili kwenye nafsi yako kama shabiki wa CDM,jua hicho ndio kiwango cha unafki mnachotuonesha watanzania.

Umesahau kitu kimoja tu.mna-deal na watanzania.sanduku La kura litawaadhibu.
 
Sosi tutampigia kura ata angejibu vipi..hayo majibu yanatosha hawezi jibu tafauti na hapo.tumeridhika
 
Mkuu kuona kwangu aibu hakutonisaidia mimi kujifunza lkn kukubali kufahamishwa mambo nisiyoyafahamu hii hunisaidia zaidi kuliko kujifanya mjuzi wa mambo wakati mengine siyajui na huwa daima naamini ktk kujifunza zaidi

Waweza kua muandsh mzr siku za usoni bravooo
 
LOWASSA ANAJARIBU KUWAELEZA WATU JUU YA RICHMOND KIAKILI TATIZO WATU HAWATAKI KUELEWE!

hata mwl wako darasani ni lazima atapata hasiri
 
Ukitaka mabadiliko lazima ukubali attitude ya wana mabadiliko. . . . Kama ambavyo wewe hugungamani na upande wowote mimi pia niko hivyo ila kumlaumu Lowassa kwa jana si sawa. . . . Kwa premise alizoweka jana ni kama anataka kumaliza hii biashara ya Richmond mazima. . . . . .Yule aliyeuliza kakutana na "over size" kwa bahati mbaya ila ujumbe ule wenye nao labda pale hawakuwepo. . . . . . Yaani ni sawa na uko hotelini masikini akikuomba mia we unaamua kumnunulia chakula kabisa . . .. . . that is what he did. . .ile safi!!!!

Haijalishi kama ni Slaa au nani kasema haki iko mhakamani yeye naye kwa maana nyingine kaambiwa aache majitaka kama ana uchungu na nchi kweli na anao ushahidi naye pia apeleke mahakamani au akae kimya. . . .Hivi jana hakuwepo Dr. . . . .??!!!

Kuhusu kadi yeye sio kama wafuasi wengine hawa wanaookotwa mitaani kwa sauti ya loudspeaker na wasanii. . . . Hawezi kuwa jeuri na asiye na fadhila kiasi cha kuchana kadi hadharani. . . . . . "everybody needs a good neighbour". . . . .binadamu wote ni sawa lakini watu wooote sio sawa. . . . !!!!

Majibu aliyotoa LOWASA Jana yalijitosheleza unless mtoa uzi kama alishaandaa majibu aliyoyataka toka kwa LOWASA.
 
Kumbe wengi tuneona usanii wa majibu ya Lowassa.
Najiuliza swali,hivi Lowassa angetoa haya majibu akiwa CCM Hawa njemba wa UKAWA wangeyashangilia?wangempongeza Lowassa kwa majibu ya sampuli hii?ukijibu hili kwenye nafsi yako kama shabiki wa CDM,jua hicho ndio kiwango cha unafki mnachotuonesha watanzania.

Umesahau kitu kimoja tu.mna-deal na watanzania.sanduku La kura litawaadhibu.

Usanii mnafanya nyie msioridhika,badala ya kumwandama aliyesema anahusika na Richmond, akili zenu zimeganda kwa EL! LOWASA has been pushed to the limit,cant you see it with your naked eyes??!!
 
Magamba pressure juu
 
Mkuu Slaa na Tundu Lissu walikuwa kinyume kabisa na ujio wa EL ndani ya CDM lakini mwenye mbwa akawaambia kama hawamtaki EL waondoke zao. Kikao cha siri kati ya EL, Mbowe, Mtei na Ndesamburo walikubaliana kuwa EL atoe bilioni 10 ambapo bilioni 5 zitumike kwenye kampeni za wabunge na 5 zitumike kukiimarisha chama (ulaji kwa mwenye mbwa). Na kuna fununu kuwa huenda Slaa akajiondoa CDM maana kama ulivyosema ni aibu iliyoje na unafiki ulioje leo Slaa kusimama jukwaani kumnadi EL kutokana na maneno na kashfa alizoziweka kwazi kwa waTZ juu ya EL. Naona watu wanajibu kwa jazba tu hapa.
 
mkuu mbona mimi sijaona mahala alipo jibu ka hasira, pia aliitisha kikao sio cha subordinate but watendaji mbalimbali akiwemo mwanasheria mkuu. soma kazi za manasheria mkuu nini katika serikali then ndo uje hapa vinginevyo na wewe shut up

Mwanasheria Mkuu yeye ndio anayeishauri Serikali juu ya Kila kitu Including Mikataba Yote.
 
Usanii mnafanya nyie msioridhika,badala ya kumwandama aliyesema anahusika na Richmond, akili zenu zimeganda kwa EL! LOWASA has been pushed to the limit,cant you see it with your naked eyes??!!

Majibu yake hayardhish kwa kwel na hata upinzani nao n wanafiki wakubwa sana na wanasiasa za kipuuzi na kipumbavu na hata huyu El nae anauchu wa madalaka na kama akipita ukawa itakuwa ccm nyingne tena
 
Mazingira;Mkuu Slaa na Tundu Lissu walikuwa kinyume kabisa na ujio wa EL ndani ya CDM lakini mwenye mbwa akawaambia kama hawamtaki EL waondoke zao. Kikao cha siri kati ya EL, Mbowe, Mtei na Ndesamburo walikubaliana kuwa EL atoe bilioni 10 ambapo bilioni 5 zitumike kwenye kampeni za wabunge na 5 zitumike kukiimarisha chama (ulaji kwa mwenye mbwa). Na kuna fununu kuwa huenda Slaa akajiondoa CDM maana kama ulivyosema ni aibu iliyoje na unafiki ulioje leo Slaa kusimama jukwaani kumnadi EL kutokana na maneno na kashfa alizoziweka kwazi kwa waTZ juu ya EL. Naona watu wanajibu kwa jazba tu hapa.

Siasa ni vita isiyo na umwagaji damu
 
  • Thanks
Reactions: cpt
Majibu yake hayardhish kwa kwel na hata upinzani nao n wanafiki wakubwa sana na wanasiasa za kipuuzi na kipumbavu na hata huyu El nae anauchu wa madalaka na kama akipita ukawa itakuwa ccm nyingne tena

Tatizo mnamajibu yenu kwa maswali aliyoulizwa,Tupeni basi,ila msisahau kumlidhisha Binadamu sio kazi ndogo
 
Back
Top Bottom