Lowassa na Majibu ya Hasira kwa Swali la Msingi

Pinokyo Jujuman

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2012
Posts
552
Reaction score
105
Wadau Habari; jana ilikuwa siku ya kipekee sana kwa historia ya Tanzania ambayo tuliahidiwa na tuliisikia minong'ono mingi na tetesi za kila leo juu ya kuhama chama kwa aliyekuwa mgombea urais kwa tiket ya CCM ndugu, EL.

Binafsi nampongeza kwa kuitumia haki yake ya kidemocrasia na kufanya maamuzi magumu; kama mtanzania nisiyefungamana na upande wowote nimestaajabishwa sana na mambo mawili makubwa.

Mosi ni juu ya umiliki wake wa card ya CCM, EL inasemekana ana miliki card namba 15 ya Uwanachama ndani ya CCM, lakini siku ya jana alijivua uwanachama na kupewa rasmi card ya CDM, sasa bado najiuliza imekuaje kamanda huyu amejiondoa CCM na kwenda CDM lkn bado anamiliki card ya chama hicho? Maana jana sikuona akiirudisha card ya CCM ili ichanwe chanwe pale mbele ya macho yetu.

Lakini kama hiyo haitoshi bado najiuliza inawezekanaje Kiongozi mkubwa kama yeye anathubutu kutoa majibu ya hasira mbele ya Taifa hili juu ya swali la msingi ambalo lilimchafua yeye na baadhi ya Viongozi wa wizara husika.

Kwa kusema kwamba NANUKUU; "Nilipoitisha kikao cha "Government negotiation team" nikawauliza mbona nasikia huu mkataba una matatizo?

mimi nina uzoefu wa kuvunja mikataba na huu tuuvunje! wakaomba ruhusa watoke nje kwa saa moja, baada ya hapo waliporudi wakasema wamepigiwa simu toka mamlaka ya juu mkataba usivunjwe "what else could I have done?"

Mwisho wa KUNUKUU, Sasa najiuliza hapa inawezekanaje PM umeitisha kikao cha subordinates wako alafu anatokea wa kukuambia kuwa et nimewasiliana na wakuu wamekataa hilo, nani basi mwenye kupaswa kufanya consultation na Wakuu wenzake kati ya watu hawa wawili EL kama PM au Subordinates?

Lakini pia napata shaka pale namna ambavyo swali la msingi lilivyojibiwa kwa kusema kwamba, NANUKUU; "Am sick of Richmond, mtu yoyote mwenye ushahidi wa mimi kuhusika na Richmond aende mahakamani, kama huna just shut up. Nilichukua uamuzi kwa niaba ya serikali.

Nimeondoka madarakani miaka nane iliopita, mambo haya yameongezeka yamepungua, mikono yangu ni misafi na mtu mwenye ushahidi acha kupigapiga kelele, peleka mahakamani" mwisho wa KUNUKUU; Kwa uelewa wangu wa kawaida kabisa unyeti wa jambo hili haukutaka jibu la namna hii bali watanzania tungeridhishwa zaidi endapo tungepata majibu mazuri kwa kina na yenye kujitosheleza badala ya kuwa mkali kiasi ambacho inatuacha na maswali mengi kwamba ile ni namna ya kututisha na kutuziba midomo kama ambavyo ilitokea pale kwa wana habari wenzangu au ni nini hasa?

Kama hii haitoshi bado najiuliza, Je na ile hoja ya Dr.Slaa kwamba ushahidi wa jambo hili anao na yupo tayari kwenda kuthibitisha mahakamani leo hii sisi watanzania tunaibebaje hii statement kuwa naye alikuwa anabwabwaja tu au namna gani?

Lakini nathubutu kwenda mbali zaidi kwa kujiuliza Dr.Slaa na wenzake wanasimama vipi Jukwaani kumnadi kwa kumtakasa mtu huyu ambaye wao walikuwa wanachangia kumchafua?

Mambo haya yananipa shida kuyapatia majibu basi nabaki kujiuliza bila mafanikio naombeni wadau mnisaidie kung'amua.
"Majibu ya hasira kwa swali la Msingi"
 
Ukitaka mabadiliko lazima ukubali attitude ya wana mabadiliko. . . . Kama ambavyo wewe hugungamani na upande wowote mimi pia niko hivyo ila kumlaumu Lowassa kwa jana si sawa. . . . Kwa premise alizoweka jana ni kama anataka kumaliza hii biashara ya Richmond mazima. . . . . .Yule aliyeuliza kakutana na "over size" kwa bahati mbaya ila ujumbe ule wenye nao labda pale hawakuwepo. . . . . . Yaani ni sawa na uko hotelini masikini akikuomba mia we unaamua kumnunulia chakula kabisa . . .. . . that is what he did. . .ile safi!!!!

Haijalishi kama ni Slaa au nani kasema haki iko mhakamani yeye naye kwa maana nyingine kaambiwa aache majitaka kama ana uchungu na nchi kweli na anao ushahidi naye pia apeleke mahakamani au akae kimya. . . .Hivi jana hakuwepo Dr. . . . .??!!!

Kuhusu kadi yeye sio kama wafuasi wengine hawa wanaookotwa mitaani kwa sauti ya loudspeaker na wasanii. . . . Hawezi kuwa jeuri na asiye na fadhila kiasi cha kuchana kadi hadharani. . . . . . "everybody needs a good neighbour". . . . .binadamu wote ni sawa lakini watu wooote sio sawa. . . . !!!!
 
Eti mimi sifungamani na chama chochote! Sentensi ya kwanza tu utupu wa gamba hadharani. Hoja haziibuliwi au kujibiwa kijinga hivyo wewe.
 
Unaweza kufahamu ni nani mwenye uwezo wa kukataa maelekzo ya Waziri Mkuu, je kama huyo mtu kaelekeza mkataba usivunje halafu akasababisha Waziri Mkuu ajiuzulu, unathani kuna kiasi gani cha hasira hapo. EL alikuwa na kasi kama ya Sokoine, ili alikuwa anavutwa shati kwa nyuma ili asiende mbele, sasa amechomoka na kuwaachia shati mkononi.
 
kuna watanzania wataangalia na sura tuwajue watu wetu

wamejibiwa kuhusu richmond sasa vimbangwa
 
Wadau Habari; jana ilikuwa siku ya kipekee sana kwa historia ya Tanzania ambayo tuliahidiwa na tuliisikia minong'ono mingi na tetesi za kila leo juu ya kuhama chama kwa aliyekuwa mgombea urais kwa tiket ya CCM ndugu, EL.
Binafsi nampongeza kwa kuitumia haki yake ya kidemocrasia na kufanya maamuzi magumu; kama mtanzania nisiyefungamana na upande wowote nimestaajabishwa sana na mambo mawili makubwa.
Mosi ni juu ya umiliki wake wa card ya CCM, EL inasemekana ana miliki card namba 15 ya Uwanachama ndani ya CCM, lakini siku ya jana alijivua uwanachama na kupewa rasmi card ya CDM, sasa bado najiuliza imekuaje kamanda huyu amejiondoa CCM na kwenda CDM lkn bado anamiliki card ya chama hicho? Maana jana sikuona akiirudisha card ya CCM ili ichanwe chanwe pale mbele ya macho yetu.
Lakini kama hiyo haitoshi bado najiuliza inawezekanaje Kiongozi mkubwa kama yeye anathubutu kutoa majibu ya hasira mbele ya Taifa hili juu ya swali la msingi ambalo lilimchafua yeye na baadhi ya Viongozi wa wizara husika.
Kwa kusema kwamba NANUKUU; "Nilipoitisha kikao cha "Government negotiation team" nikawauliza mbona nasikia huu mkataba una matatizo? mimi nina uzoefu wa kuvunja mikataba na huu tuuvunje! wakaomba ruhusa watoke nje kwa saa moja, baada ya hapo waliporudi wakasema wamepigiwa simu toka mamlaka ya juu mkataba usivunjwe "what else could I have done?" Mwisho wa KUNUKUU, Sasa najiuliza hapa inawezekanaje PM umeitisha kikao cha subordinates wako alafu anatokea wa kukuambia kuwa et nimewasiliana na wakuu wamekataa hilo, nani basi mwenye kupaswa kufanya consultation na Wakuu wenzake kati ya watu hawa wawili EL kama PM au Subordinates?
Lakini pia napata shaka pale namna ambavyo swali la msingi lilivyojibiwa kwa kusema kwamba, NANUKUU; "Am sick of Richmond, mtu yoyote mwenye ushahidi wa mimi kuhusika na Richmond aende mahakamani, kama huna just shut up. Nilichukua uamuzi kwa niaba ya serikali.
Nimeondoka madarakani miaka nane iliopita, mambo haya yameongezeka yamepungua, mikono yangu ni misafi na mtu mwenye ushahidi acha kupigapiga kelele, peleka mahakamani" mwisho wa KUNUKUU; Kwa uelewa wangu wa kawaida kabisa unyeti wa jambo hili haukutaka jibu la namna hii bali watanzania tungeridhishwa zaidi endapo tungepata majibu mazuri kwa kina na yenye kujitosheleza badala ya kuwa mkali kiasi ambacho inatuacha na maswali mengi kwamba ile ni namna ya kututisha na kutuziba midomo kama ambavyo ilitokea pale kwa wana habari wenzangu au ni nini hasa?
Kama hii haitoshi bado najiuliza, Je na ile hoja ya Dr.Slaa kwamba ushahidi wa jambo hili anao na yupo tayari kwenda kuthibitisha mahakamani leo hii sisi watanzania tunaibebaje hii statement kuwa naye alikuwa anabwabwaja tu au namna gani?
Lakini nathubutu kwenda mbali zaidi kwa kujiuliza Dr.Slaa na wenzake wanasimama vipi Jukwaani kumnadi kwa kumtakasa mtu huyu ambaye wao walikuwa wanachangia kumchafua?
Mambo haya yananipa shida kuyapatia majibu basi nabaki kujiuliza bila mafanikio naombeni wadau mnisaidie kung'amua.
"Majibu ya hasira kwa swali la Msingi"
Majibu ya hoja zako hizo yako kwenye hotuba ya Mbowe na kama hukumuelewa Mbowe hata akishuka malaika kutoka mbinguni kuja kukuelewesha hautamuelewa.
 
Hayakuhusu

Subiri nyeti zionekane upepo utakapovuma
 
Iseee magamba safari hii kazi mnayo, mnatafuta kila kona madhaifu ya Lowasa lkn Hakuna mashiko juu ya pumba ulizoandika hapo juu.Na mimi nakuambia Wewe mleta mada kama huna kazi ya Kufanya "just shut up!"

jenga hoja sio kuzomea tu kama kichaa wa stend..
Mwenzako ameuliza yawezekana kuna sehem hajaelewa vzr unatakiwa umuweke wazi ili ajue.

Akili yako imekaa kishabik. Hebu jibu kama mtu msomi
 
Kumbuka Pinda na Jairo mamlaka ya juu ndio kila kitu
 
Hakuna ubishi Lowasa ni fisadi. Hakuna asiyelijua wala anayebisha. Hata yeye amesema namna aliivyoshiriki katika kufanikisha ufirauni wa Richmond akiwa na wenzake kina kikwete, chenge n.k.

Ukimsikiliza Mbowe, alisema wamemchukua kwa sababu ya nafasi yake ndani ya ccm na wingi wa wafuasi alionao. Zaidi sana sababu kubwa ni uadui wao ndani ya ccm, ummemfanya aonekane ni adui wa kweli wa ccm na hivyo, atakuwa silaha ya kuimaliza ccm iliyojaza mafisadi, inayoyatengeneza na kuyafuga.

Anaamini Lowasa ataiua ccm na hivyo kiwanda cha kuzalisha mafisadi kitakufa. Na anapokuwa CHaDEMA, ni mfumo mpya ambao hautoi mwanya kwa mtu kuwaza ufisadi.

LOWASA HAJACHUKULIWA AJILI LYA USAFI WAKE, BALI AMECHUKULIWA KWA CHUKI ZAKE DHIDI YA CCM, NA UWEZO WAKE WA KUIUA. KWA HIYO NI SILAHA YA VITA KWA CHADEMA. USAFI HAUPO.
 
Hakujibu kwa jasba bali alikasirishwa kwa kuulizwa swali lilelile kila mara ndio akasema ni qmri kutoka juu na pia kama kuna mwenye ushaidi apeleke mahakamani. Kama unao peleka utuokoe na utakuwa shujaa kweli.
 
Eti mimi sifungamani na chama chochote! Sentensi ya kwanza tu utupu wa gamba hadharani. Hoja haziibuliwi au kujibiwa kijinga hivyo wewe.

Kwani kutofungamana na upande wowote/chama maana yake ni kuwa CCM siasa hiyo imepitwa kabisa na wakati sasa siasa ni maarifa na maamuzi sio kuwa na kadi . . . . . . .tupo weeengi tu tusiokuwa na kadi wala hatutokuwa nazo kaaamwe unless mtu anataka kugombea uongozi. . . . .na katika kundi hilo wako watu wana misimamo na uzalendo wa hali ya juu sana. . . . . . Kwa sababu haihitaji kuwa na kadi ya chama ili kujua sera gani ya chama kipi ni sahihi, haihitaji kadi ya chama ili kupiga kura. . . .na wapo wengi wana kadi ila ni mizigo na ndumi la kuwili

Utu, ustawi wa jamii, heshima, uhuru wa kweli na wa wazi. . . . . . . haya yote yanahitaji kujielewa, na kupigia kura sahihi kwa wakati husika baaasi. . . . .hayana uhusiano wowote na kadi ya chama
 
Wadau Habari; jana ilikuwa siku ya kipekee sana kwa historia ya Tanzania ambayo tuliahidiwa na tuliisikia minong'ono mingi na tetesi za kila leo juu ya kuhama chama kwa aliyekuwa mgombea urais kwa tiket ya CCM ndugu, EL.
Binafsi nampongeza kwa kuitumia haki yake ya kidemocrasia na kufanya maamuzi magumu; kama mtanzania nisiyefungamana na upande wowote nimestaajabishwa sana na mambo mawili makubwa.
Mosi ni juu ya umiliki wake wa card ya CCM, EL inasemekana ana miliki card namba 15 ya Uwanachama ndani ya CCM, lakini siku ya jana alijivua uwanachama na kupewa rasmi card ya CDM, sasa bado najiuliza imekuaje kamanda huyu amejiondoa CCM na kwenda CDM lkn bado anamiliki card ya chama hicho? Maana jana sikuona akiirudisha card ya CCM ili ichanwe chanwe pale mbele ya macho yetu.
Lakini kama hiyo haitoshi bado najiuliza inawezekanaje Kiongozi mkubwa kama yeye anathubutu kutoa majibu ya hasira mbele ya Taifa hili juu ya swali la msingi ambalo lilimchafua yeye na baadhi ya Viongozi wa wizara husika.
Kwa kusema kwamba NANUKUU; "Nilipoitisha kikao cha "Government negotiation team" nikawauliza mbona nasikia huu mkataba una matatizo? mimi nina uzoefu wa kuvunja mikataba na huu tuuvunje! wakaomba ruhusa watoke nje kwa saa moja, baada ya hapo waliporudi wakasema wamepigiwa simu toka mamlaka ya juu mkataba usivunjwe "what else could I have done?" Mwisho wa KUNUKUU, Sasa najiuliza hapa inawezekanaje PM umeitisha kikao cha subordinates wako alafu anatokea wa kukuambia kuwa et nimewasiliana na wakuu wamekataa hilo, nani basi mwenye kupaswa kufanya consultation na Wakuu wenzake kati ya watu hawa wawili EL kama PM au Subordinates?
Lakini pia napata shaka pale namna ambavyo swali la msingi lilivyojibiwa kwa kusema kwamba, NANUKUU; "Am sick of Richmond, mtu yoyote mwenye ushahidi wa mimi kuhusika na Richmond aende mahakamani, kama huna just shut up. Nilichukua uamuzi kwa niaba ya serikali.
Nimeondoka madarakani miaka nane iliopita, mambo haya yameongezeka yamepungua, mikono yangu ni misafi na mtu mwenye ushahidi acha kupigapiga kelele, peleka mahakamani" mwisho wa KUNUKUU; Kwa uelewa wangu wa kawaida kabisa unyeti wa jambo hili haukutaka jibu la namna hii bali watanzania tungeridhishwa zaidi endapo tungepata majibu mazuri kwa kina na yenye kujitosheleza badala ya kuwa mkali kiasi ambacho inatuacha na maswali mengi kwamba ile ni namna ya kututisha na kutuziba midomo kama ambavyo ilitokea pale kwa wana habari wenzangu au ni nini hasa?
Kama hii haitoshi bado najiuliza, Je na ile hoja ya Dr.Slaa kwamba ushahidi wa jambo hili anao na yupo tayari kwenda kuthibitisha mahakamani leo hii sisi watanzania tunaibebaje hii statement kuwa naye alikuwa anabwabwaja tu au namna gani?
Lakini nathubutu kwenda mbali zaidi kwa kujiuliza Dr.Slaa na wenzake wanasimama vipi Jukwaani kumnadi kwa kumtakasa mtu huyu ambaye wao walikuwa wanachangia kumchafua?
Mambo haya yananipa shida kuyapatia majibu basi nabaki kujiuliza bila mafanikio naombeni wadau mnisaidie kung'amua.
"Majibu ya hasira kwa swali la Msingi"

Vuta subira utapata majibu stahiki wakati utakapofika na hatua zitachukuliwa,hakuna mwenye hatimiliki ya nchi hii!
 
Iseee magamba safari hii kazi mnayo, mnatafuta kila kona madhaifu ya Lowasa lkn Hakuna mashiko juu ya pumba ulizoandika hapo juu.Na mimi nakuambia Wewe mleta mada kama huna kazi ya Kufanya "just shut up!"

Mtoa mada aache kuweweseka, Lowassa kamaliza kila kitu kuhusu Richond! Kuhusu kadi ya Chama Cha Mapinduzi hata mimi ninayo lakini leo hii ni mwanachama wa Chadema!
 
Back
Top Bottom