Lowassa na Majibu ya Hasira kwa Swali la Msingi

Lowassa na Majibu ya Hasira kwa Swali la Msingi

Kwani kutofungamana na upande wowote/chama maana yake ni kuwa CCM siasa hiyo imepitwa kabisa na wakati sasa siasa ni maarifa na maamuzi sio kuwa na kadi . . . . . . .tupo weeengi tu tusiokuwa na kadi wala hatutokuwa nazo kaaamwe unless mtu anataka kugombea uongozi. . . . .na katika kundi hilo wako watu wana misimamo na uzalendo wa hali ya juu sana. . . . . . Kwa sababu haihitaji kuwa na kadi ya chama ili kujua sera gani ya chama kipi ni sahihi, haihitaji kadi ya chama ili kupiga kura. . . .na wapo wengi wana kadi ila ni mizigo na ndumi la kuwili

Utu, ustawi wa jamii, heshima, uhuru wa kweli na wa wazi. . . . . . . haya yote yanahitaji kujielewa, na kupigia kura sahihi kwa wakati husika baaasi. . . . .hayana uhusiano wowote na kadi ya chama

Mkuu hii comment yako imenikosha...chukua like mkuu wangu..
 
Mtoa mada aache kuweweseka, Lowassa kamaliza kila kitu kuhusu Richond! Kuhusu kadi ya Chama Cha Mapinduzi hata mimi ninayo lakini leo hii ni mwanachama wa Chadema!

Hv n ww ndo umeprnt hch kitu,tazama mbele na ludi utazame mchakato mzima wa richmond mwanzo mwisho ndo ulud tena inawezekana kipind hicho haukuwa na uwelewa mzuri juu ya mambo hayo
 
Diamond ana msemo kaanzisha ambao umetamalaki: Unasema -Watanyooka tu!
 
Wadau Habari; jana ilikuwa siku ya kipekee sana kwa historia ya Tanzania ambayo tuliahidiwa na tuliisikia minong'ono mingi na tetesi za kila leo juu ya kuhama chama kwa aliyekuwa mgombea urais kwa tiket ya CCM ndugu, EL.

Binafsi nampongeza kwa kuitumia haki yake ya kidemocrasia na kufanya maamuzi magumu; kama mtanzania nisiyefungamana na upande wowote nimestaajabishwa sana na mambo mawili makubwa.

Mosi ni juu ya umiliki wake wa card ya CCM, EL inasemekana ana miliki card namba 15 ya Uwanachama ndani ya CCM, lakini siku ya jana alijivua uwanachama na kupewa rasmi card ya CDM, sasa bado najiuliza imekuaje kamanda huyu amejiondoa CCM na kwenda CDM lkn bado anamiliki card ya chama hicho? Maana jana sikuona akiirudisha card ya CCM ili ichanwe chanwe pale mbele ya macho yetu.

Lakini kama hiyo haitoshi bado najiuliza inawezekanaje Kiongozi mkubwa kama yeye anathubutu kutoa majibu ya hasira mbele ya Taifa hili juu ya swali la msingi ambalo lilimchafua yeye na baadhi ya Viongozi wa wizara husika.

Kwa kusema kwamba NANUKUU; "Nilipoitisha kikao cha "Government negotiation team" nikawauliza mbona nasikia huu mkataba una matatizo?

mimi nina uzoefu wa kuvunja mikataba na huu tuuvunje! wakaomba ruhusa watoke nje kwa saa moja, baada ya hapo waliporudi wakasema wamepigiwa simu toka mamlaka ya juu mkataba usivunjwe "what else could I have done?"

Mwisho wa KUNUKUU, Sasa najiuliza hapa inawezekanaje PM umeitisha kikao cha subordinates wako alafu anatokea wa kukuambia kuwa et nimewasiliana na wakuu wamekataa hilo, nani basi mwenye kupaswa kufanya consultation na Wakuu wenzake kati ya watu hawa wawili EL kama PM au Subordinates?

Lakini pia napata shaka pale namna ambavyo swali la msingi lilivyojibiwa kwa kusema kwamba, NANUKUU; "Am sick of Richmond, mtu yoyote mwenye ushahidi wa mimi kuhusika na Richmond aende mahakamani, kama huna just shut up. Nilichukua uamuzi kwa niaba ya serikali.

Nimeondoka madarakani miaka nane iliopita, mambo haya yameongezeka yamepungua, mikono yangu ni misafi na mtu mwenye ushahidi acha kupigapiga kelele, peleka mahakamani" mwisho wa KUNUKUU; Kwa uelewa wangu wa kawaida kabisa unyeti wa jambo hili haukutaka jibu la namna hii bali watanzania tungeridhishwa zaidi endapo tungepata majibu mazuri kwa kina na yenye kujitosheleza badala ya kuwa mkali kiasi ambacho inatuacha na maswali mengi kwamba ile ni namna ya kututisha na kutuziba midomo kama ambavyo ilitokea pale kwa wana habari wenzangu au ni nini hasa?

Kama hii haitoshi bado najiuliza, Je na ile hoja ya Dr.Slaa kwamba ushahidi wa jambo hili anao na yupo tayari kwenda kuthibitisha mahakamani leo hii sisi watanzania tunaibebaje hii statement kuwa naye alikuwa anabwabwaja tu au namna gani?

Lakini nathubutu kwenda mbali zaidi kwa kujiuliza Dr.Slaa na wenzake wanasimama vipi Jukwaani kumnadi kwa kumtakasa mtu huyu ambaye wao walikuwa wanachangia kumchafua?

Mambo haya yananipa shida kuyapatia majibu basi nabaki kujiuliza bila mafanikio naombeni wadau mnisaidie kung'amua.
"Majibu ya hasira kwa swali la Msingi"

Kuna binadamu hasiyekuwa na hasira? Labda unaongelea ku-control hasira lakini kiwango cha juu cha hasira cha Lowassa unakifahamu? Halafu yawezekana ametoa jibu hilo ni la ki-utu uzima.
 
nimuulize mleta mada ZITTO alivyohama chadema na kupewa kadi ACT uliona akichana kadi ya chadema,ukijibu hilo nitakupa jibu la lowassa kutochana kadi ya ccm
Mbona Dr Slaa na Mbowe kadi zao za ccm hawajawahi kuzichoma mpaka leo. Hii inamaanisha kwamba siasa is just a game of chance. You do know your tomorrow. Ukichana kadi then next day ukaamua kurudi ulikotoka itakuwaje. At least ukiwa nayo unaweza kuwa na maelezo mazuri ya kuanzia kushawishi watu tena.
 
Wadau Habari; jana ilikuwa siku ya kipekee sana kwa historia ya Tanzania ambayo tuliahidiwa na tuliisikia minong'ono mingi na tetesi za kila leo juu ya kuhama chama kwa aliyekuwa mgombea urais kwa tiket ya CCM ndugu, EL.

Binafsi nampongeza kwa kuitumia haki yake ya kidemocrasia na kufanya maamuzi magumu; kama mtanzania nisiyefungamana na upande wowote nimestaajabishwa sana na mambo mawili makubwa.

Mosi ni juu ya umiliki wake wa card ya CCM, EL inasemekana ana miliki card namba 15 ya Uwanachama ndani ya CCM, lakini siku ya jana alijivua uwanachama na kupewa rasmi card ya CDM, sasa bado najiuliza imekuaje kamanda huyu amejiondoa CCM na kwenda CDM lkn bado anamiliki card ya chama hicho? Maana jana sikuona akiirudisha card ya CCM ili ichanwe chanwe pale mbele ya macho yetu.

Lakini kama hiyo haitoshi bado najiuliza inawezekanaje Kiongozi mkubwa kama yeye anathubutu kutoa majibu ya hasira mbele ya Taifa hili juu ya swali la msingi ambalo lilimchafua yeye na baadhi ya Viongozi wa wizara husika.

Kwa kusema kwamba NANUKUU; "Nilipoitisha kikao cha "Government negotiation team" nikawauliza mbona nasikia huu mkataba una matatizo?

mimi nina uzoefu wa kuvunja mikataba na huu tuuvunje! wakaomba ruhusa watoke nje kwa saa moja, baada ya hapo waliporudi wakasema wamepigiwa simu toka mamlaka ya juu mkataba usivunjwe "what else could I have done?"

Mwisho wa KUNUKUU, Sasa najiuliza hapa inawezekanaje PM umeitisha kikao cha subordinates wako alafu anatokea wa kukuambia kuwa et nimewasiliana na wakuu wamekataa hilo, nani basi mwenye kupaswa kufanya consultation na Wakuu wenzake kati ya watu hawa wawili EL kama PM au Subordinates?

Lakini pia napata shaka pale namna ambavyo swali la msingi lilivyojibiwa kwa kusema kwamba, NANUKUU; "Am sick of Richmond, mtu yoyote mwenye ushahidi wa mimi kuhusika na Richmond aende mahakamani, kama huna just shut up. Nilichukua uamuzi kwa niaba ya serikali.

Nimeondoka madarakani miaka nane iliopita, mambo haya yameongezeka yamepungua, mikono yangu ni misafi na mtu mwenye ushahidi acha kupigapiga kelele, peleka mahakamani" mwisho wa KUNUKUU; Kwa uelewa wangu wa kawaida kabisa unyeti wa jambo hili haukutaka jibu la namna hii bali watanzania tungeridhishwa zaidi endapo tungepata majibu mazuri kwa kina na yenye kujitosheleza badala ya kuwa mkali kiasi ambacho inatuacha na maswali mengi kwamba ile ni namna ya kututisha na kutuziba midomo kama ambavyo ilitokea pale kwa wana habari wenzangu au ni nini hasa?

Kama hii haitoshi bado najiuliza, Je na ile hoja ya Dr.Slaa kwamba ushahidi wa jambo hili anao na yupo tayari kwenda kuthibitisha mahakamani leo hii sisi watanzania tunaibebaje hii statement kuwa naye alikuwa anabwabwaja tu au namna gani?

Lakini nathubutu kwenda mbali zaidi kwa kujiuliza Dr.Slaa na wenzake wanasimama vipi Jukwaani kumnadi kwa kumtakasa mtu huyu ambaye wao walikuwa wanachangia kumchafua?

Mambo haya yananipa shida kuyapatia majibu basi nabaki kujiuliza bila mafanikio naombeni wadau mnisaidie kung'amua.
"Majibu ya hasira kwa swali la Msingi"
Hayo majibu unayoyataka kayaulize kwenye mamlaka ya juu ikupe majibu mazuri unayoyataka.
 
Hakuna ubishi Lowasa ni fisadi. Hakuna asiyelijua wala anayebisha. Hata yeye amesema namna aliivyoshiriki katika kufanikisha ufirauni wa Richmond akiwa na wenzake kina kikwete, chenge n.k.

Ukimsikiliza Mbowe, alisema wamemchukua kwa sababu ya nafasi yake ndani ya ccm na wingi wa wafuasi alionao. Zaidi sana sababu kubwa ni uadui wao ndani ya ccm, ummemfanya aonekane ni adui wa kweli wa ccm na hivyo, atakuwa silaha ya kuimaliza ccm iliyojaza mafisadi, inayoyatengeneza na kuyafuga.

Anaamini Lowasa ataiua ccm na hivyo kiwanda cha kuzalisha mafisadi kitakufa. Na anapokuwa CHaDEMA, ni mfumo mpya ambao hautoi mwanya kwa mtu kuwaza ufisadi.

LOWASA HAJACHUKULIWA AJILI LYA USAFI WAKE, BALI AMECHUKULIWA KWA CHUKI ZAKE DHIDI YA CCM, NA UWEZO WAKE WA KUIUA. KWA HIYO NI SILAHA YA VITA KWA CHADEMA. USAFI HAUPO.

Njoo na ushahidi unaojitosheleza. Lowasa ni fisadi kwa vipi? Ameiba nini na wapi? Je ni Richmond? Mbona hilo amelieleza? Imetosha Tanzania kuzua tuhuma ambazo hatuna ushahidi nazo.
 
Yeye Ni Binadamu, Ktendo Cha Kujiuzulu Na Kuvumilia Na Kuwa Mkimya Ni Kitendo Cha Kuonesha Ukomavu Ktk Siasa, Kikubwa Tuwape Ukawa Nafasi Walau Miaka Mitano Ili Tuwaone Mapungufu Yao Uso Kwa Macho Kuliko Kutembea Na Hisia Bila Ithibati.
 
Haupo sahh inabdi tuachane na habar za ccm na ukawa tuangalie kiongozi bora tukiendelea na mawazo hayo ya kipumbavu tutaishia pabaya
 
Ww makatibu wa wizara ni namlaka ya mweny kaya naye PM hana maamuzi nao ss kitu gani usichokielewa alipoambiwa kwamba mamlaka ya juu imesema mkataba usivunjwe?ss baada ya kujitetea kwamba mamlaka ya juu ilitoa agizo hlo kosa lake nn kujibu mwenye ushahidi apeleke mahakama?kua kwanza inaonekana uelewa mdogo sana
 
Wewe mzigo sio wako jasho linakutoka waache ukawa wao watajua namna ya kumsafisha
 
Afadhali yako ww umejua hilo siasa za tanzania n upuuzi mtupu yan hakuna wanalofanya zaid ya kujali matumbo yao tu,Hakuna chama knachoangalia maisha ya watanzania n polojo na usalit tu

We should learn from the past, but not be stuck in it. Sometimes life circumstances and personal setbacks can haunt and prevent us from seeing our true potential and recognizing new opportunities. What has already happened we cannot change, but what is yet to happen we can shape and influence. At times the first step is simply to break from the past and declare that it is you, not your history, who’s in charge. Goethe reminds us: “Nothing is worth more than this day.” Don’t dwell on the past. Make better choices today and move on.
 
Fisadi ni Fisadi tu hata ukamsafisha vipi.

Kwanza hajaungama. Kuungama maana yake kukubali dhambi (ufisadi) zako ulizozifanya na kuwaomba msamaha wananchi na kukiri kuwa hutarudia tena.

Nawashangaa CHADEMA kumpokea Lowasa bila kukiri makosa yake. Vyama uchwara bana vitaitafuna Tanzania. CHADEMA SASA IPO KATIKA LIST OF SHAME. Tutafute chama kingine kitachotutoa katika janga la mafisadi.

Kwa mtindo huu CCM itakaa sana madarakani.
 
Majibu ya rais wako wa maamuzi magumu....hawezi kukaa kukubembeleza
 
Njoo na ushahidi unaojitosheleza. Lowasa ni fisadi kwa vipi? Ameiba nini na wapi? Je ni Richmond? Mbona hilo amelieleza? Imetosha Tanzania kuzua tuhuma ambazo hatuna ushahidi nazo.

Lazima ukubali kwamba ufahamu tunatofautiana. Wewe alipoeleza umeona ni safi hana hatia wala hatakiwi kuulizwa na hakuna sheria yoyote ya utumishi wa umma aliyoikiuka kwa ku endorse ufisadi huku akijua.

Wengine, wanaona zaidi ya hapo. Ukitaka kujua uliza, ukikimbilia kutukana, unadharauliwa na unaachwa na ujinga wako.
 
Back
Top Bottom