In simple terms, it is fair to conclude that the guy has nothing between his ears!Kwani nini asiongee kupitia mkalimani? kama wanavyofanya wachina na wengine ambao hawajui hiyo lugha ya mkoloni wa zamani na sasa wa Tanganyika. Mimi ningejivunia kama angemtumia mkalimani, kuliko ku-distort maana ya baadhi ya vitu halafu watu wanatafuta justification, mfano sikiliza hiyo link mpaka mwisho usikie ku- improve poverty! au ameelezwa vizuri what they are really doing on ground in the pretext of developement.
Wewe na huyo mnayelumbana, the difference is the same! Lakini mzee naona umeumia sana kuona watu wanakosoa Mungu wako, alkini ukweli unabaki kwamba huyu bwana anahitaji kujinoa kwa lugha na hoja kama anataka kuwa rais wa nchi hii.Weka thread zenye mashiko siyo upuuzi huu! Halafu eti umefuatilia comments zangu!!! Inaonekana wewe umekulia uswahilini kwenye taarabu na raha yako ni kufuatilia maisha ya watu. Hii inadhihirishwa na thread yako ya kiingereza cha Lowassa. Sikulaumu sana maana hukujitakia. Ni malezi tu ya kutaka kujua nani kala nini, kalala na nani, n.k. ndiyo yamekufikisha hapo. Wewe nakuweka kwenye kundi watu wanaotakiwa kutulia nyumbani na kujipamba na hina vifoleni huku mkisubiri kuwaburudisha 'wazee' wakitoka kwenye mihangaiko.
Weka thread zenye mashiko siyo upuuzi huu! Halafu eti umefuatilia comments zangu!!! Inaonekana wewe umekulia uswahilini kwenye taarabu na raha yako ni kufuatilia maisha ya watu. Hii inadhihirishwa na thread yako ya kiingereza cha Lowassa. Sikulaumu sana maana hukujitakia. Ni malezi tu ya kutaka kujua nani kala nini, kalala na nani, n.k. ndiyo yamekufikisha hapo. Wewe nakuweka kwenye kundi watu wanaotakiwa kutulia nyumbani na kujipamba na hina vifoleni huku mkisubiri kuwaburudisha 'wazee' wakitoka kwenye mihangaiko.
.
Shindwa na uleegee kwa kusema uwongo,mwakiembe ana kansa ya ngozi,mkome lowassa yule ni mpiga kazi mambo ya uchawi mwiko kwakw,na kwa akili ndogo tu lowassa angempatia wapi mwakiembe ampe sumu?mwakiembe ni mtu wa fitina je katika historia ya maisha yake ni lowassa tu aliwahi kukosana naye?
Wanajamii jaribuni kumuelewa "The Romantic" hapa mnapotosha maana halisi "The Romantic" alikuwa anaongea Edward Lowassa kama waziri mkuu mstaafu mwenye elimu ya masters tena kasoma UDSM shahada ya kwanza na ya uzamili kasoma Uingereza tulitegemea aongee kiingereza cha kueleweka vizuri zaidi, hatuitaji aongee kama muingereza ila kutokana na kiwango chake cha elimu alitakiwa aeleweke vizuri kwa sababu alitumia kiingereza toka shule ya sekondari kujielimisha mpaka elimu ya chuo kikuu.
Tunapotoa mfano wa China au Japan au Uarabuni hiyo mifano inakuwa irrelevant kwasababu hao wamesoma elimu zao kwa lugha zao wenyewe kuazia elimu ya msingi mpaka shahada za vyuo vikuu kwahiyo waliandika paper kwa lugha zao wenyewe lakini sisi watanzania tumesoma kwa kiingereza na kuandika paper kwa kiingereza kwa hiyo tunategemea tukijue cha kueleweka maana kama Lowassa hakijui vizuri vile paper aliandikaje? Ukizingatia pia masomo aliyosoma ya Economic Development yanahitaji strong command of english hata pia aliyesoma uhandisi au udaktari bado tunamtegemea aongee kwa kueleweka maana kuna masomo mwaka wa kwanza kila mwanafunzi huyasoma vyuo vikitegemea watakuiwa na uwezo wa kuongea ile lugha na kueleweka
Sasas Lowassa anaposema "they don't listen to the teachers" hiki kiingereza hakijatulia maana alitakiwa kusema "they don't pay attention to the teachers' kusema they dont listen anamaanisha kama watoto ni watukutu hawasikilizi tofauti na ya pili yenye maana ya kuwa wanafunzi wanashindwa kuwaelewa walimu sababu ya njaa. Watanzania tuache sababu ya kusema mbona wajapani, mbona wachina, mbona warusi, mbona wahispania hawaongei kiingereza? wale wamejifunza elimu zao kwa lugha zao wenyewe na sisi watanzania tumejifunza elimu kwa kiingereza kwahiyo tunategemea mtanzania akiongee kwa kueleweka kama hawezi manake alikuwa mweupe darasani maana uliwakilisha vipi majibu na mawazo yako kama lugha ilikuwa haipandi? hapa wa kujitetea ni yule alisoma mathematics peke yake wengine wote hakuna sababu.
Kwa maana hiyo Tanzania hatuendelei sababu ya viongozi kuwa wabovu walikuwa vilaza darasani utajuaje mtu huyu anauwezo? ni pale anapoulizwa maswali na kujibu hapo kwa hapo bila kutegemea hotuba za kuandikiwa pia pale anapotoa mihadhara ndio maana Marekani na nchi za Ulaya kuna midaharo ya viongozi ili kujua uwezo wa kiongozi sio kuchagua kiongozi kwa kuangalia sura isingekuwa midaharo Obama asingekuwa Rais wa Marekani maana walimjua katika uwezo wa kuchambua issues mbalimbali kutoka na midaharo.
kingereza sio ishu hicho anachoongea kinatosha na ndicho cha wabongo au katiba inasema kuwa rais huwe unapiga slain za kibritish, afu huo urais utampa wewe au? be great thinker
Wewe na huyo mnayelumbana, the difference is the same! Lakini mzee naona umeumia sana kuona watu wanakosoa Mungu wako, alkini ukweli unabaki kwamba huyu bwana anahitaji kujinoa kwa lugha na hoja kama anataka kuwa rais wa nchi hii.
Je hu jin ntao,au wale masheikh viongozi wa dubai,walihitaji kuwa na kiingereza kizuri au idea za maendeleo kwanza!?
Huyu ndugu yetu wa bagamoyo anajitahidi,achilia mbali umahiri wa lugha zote tatu anazozijua,ana interpersonal skills na public speaking skills za kufa mtu.,,je ametufikisha wapi!??
Siyo kwamba tu intonation yake ni mbofumbofu, lakini pia it makes you wonder what exactly he's talking about anapokuja na kauli kama "to improve poverty". Kusema kweli, the guy's a joke, and I have no idea wtf motivates him to make a moronic video appearance of the kind provided above.
Unategemea nini kama wapambe wenyewe ni Hamisi Mgeja, Deo Sanga (Jah People), Guninita, Nchimbi na wengineo? Mzee aume jongoo kwa meno na ajinoe maana hii tuliyiona humu ni aibu. Natamani angemsikia Pinda akiwa anapiga lugha, tena bila kusoma popote wala kukaririshwa!Tena ana muda wa kutosha tu kufanya hivyo,sema hawa wapambe wake wanaompenda kupita kiasi na kumsifia kwa kila jambo ndio watamtia ujinga aendelee kuamini kwamba uwezo alionao kwenye angle hizo unatosha!kama anaingia humu mzee wangu yule ningemuomba atusikilize sisi zaidi aachane na hawa wapambe wake wanamdanganya!
Ingawaje nakubaliana na yeye kwamba vitendo vyake vya ufisadi vina-improve poverty ya watanzania na inta-improve zaidi akiingia madarakani!tumpe muda ila asiwazikilize hawa wapambe wake wanaopigia makofi kila atakachosema ama kufanya hata kama anakosea;wanamuua mpenzi wao kwa kumpenda kupita kiasi na kumlamba miguu,atusikilize sisi tunaomchallenge atafanikiwa sana!
Tatizo liko wapi? Ameongea vizuri na zaidi alichoongea ni kizuri zaidi na kinaonesha jinsi gani alivyo makini. kamwe mtoto hawezi kusoma vema na kuelewa kile anachofundishwa kama ana njaa.
wangapi wanaongea kiingereza kama waingereza wenyewe lakini wanachofanya ni utumbo mtupu.