KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,149
- Thread starter
-
- #41
Kweli bado kuna watu wako ktk ukoloni.
Halafu eti anajisifia anaijua cnn kuliko mtu yeyote.
Kuna watu na viatu!
Weka thread zenye mashiko siyo upuuzi huu! Halafu eti umefuatilia comments zangu!!! Inaonekana wewe umekulia uswahilini kwenye taarabu na raha yako ni kufuatilia maisha ya watu. Hii inadhihirishwa na thread yako ya kiingereza cha Lowassa. Sikulaumu sana maana hukujitakia. Ni malezi tu ya kutaka kujua nani kala nini, kalala na nani, n.k. ndiyo yamekufikisha hapo. Wewe nakuweka kwenye kundi watu wanaotakiwa kutulia nyumbani na kujipamba na hina vifoleni huku mkisubiri kuwaburudisha 'wazee' wakitoka kwenye mihangaiko.Halafu mdau nimefuatilia comment zako nyingi lazima umtaje lowassa na camerun!!vipi huko nyuma ulikua hivyo hivyo au???napata mashaka pengine mwenzetu ni muumini wa ile "don't ask don't tell" (google utaelewa namaanisha nini) ngoja tukuachie raha zako!but according to my post issue hapa ni lowassa na kiingereza chake twende kwenye angle hiyo urais bado sana!
.Dhambi ya kumuua Mwakyembe haitakuacha
mchukue huyo jambazi na mwizi awe rais wa kijiji chenu cc watz hatumtaki. mpeni nafasi ccm agombee 2015 ili tumzike jumla na chama chenu cha mafisadi kwenye kaburi la milele..
Shindwa na uleegee kwa kusema uwongo,mwakiembe ana kansa ya ngozi,mkome lowassa yule ni mpiga kazi mambo ya uchawi mwiko kwakw,na kwa akili ndogo tu lowassa angempatia wapi mwakiembe ampe sumu?mwakiembe ni mtu wa fitina je katika historia ya maisha yake ni lowassa tu aliwahi kukosana naye?
Nina wasiwasi na umri na uwezo wa kufikiri wa mleta maada, tutoke kwenye utumwa wa fikra, mbona china sasa hivi inakaribia kuendesha Dunia, mbona viongozi wake wengi hawajui Kiingereza, tulishapata uhuru wa bendera lakini kwenye mawazo naona wengi bado watumwa hivi kujua tu kiingereza inatosha?
Huji usemalo wewe! Command ya lugha ni kitu muhimu sana na sasa naelewa kwa nini huyu bwana katika historia yake ya uongozi hajawahi kufanya interview na chombo chochte cha habari cha kimataifa. Hana eloquence wala fluence ya lugha, vitu ambavyo ni muhimu sana kwa uongozi. Kikubwa ambacho hakisemwi ni kwamba jamaa hata intelligence yake ni ya chini sana na hilo hata kwenye vikao vya kamati ya bunge tumeliona.Uongozi haupimwi kwa kuongea bali vitendo. Wa kale wanasema "action speaks louder than word"