mpinga shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 3,234
- 960
Inaelekea unaishi mwezini. Magraduate wa bongo HAWAJUI KUANDIKA KISWAHILI KI UFASAHASIYO KWELI! Hakuna huyo unayemuita graduate aliyezaliwa TanZania akakulia TanZania, akasomea shule ya msingi hapa akafaulu darasa la saba, akaenda sekondari akafaulu kidato cha nne akaenda kidato cha tano na sita akafaulu akaenda chuo Kikuu hakafu asijue kuandika Kiswahili!
Huko kote alipitaje?
Hakuna kitu kama hicho! ukisema kwamba kuna WatanZania ambao hawajabatika kwenda shule wana shida ya kuongea na kuandika Kiswahili fasaha hapo sawa, mfano hai mimi Bibi yangu hajasoma hata darasa la kwanza kuandika na kusoma Kiswahili tumemfundisha sisi na leo anaweza kuandika barua ya Kiswahili fasaha kabisa!
Eti? Halafu ujue hatuna wakalimani Tanzania. Maana nchi nzima lugha ya malkia ni issuesasa nyie vilaza asipojua kiingereza hao wenzake mikutanoni na kina obama ataongeaje nao?
Mdau umewahi kumsikia Lowassa akizungumza kiingereza????hebu mtazame hapa rais wetu huyu mpya halafu just imagine siku yuko cnn anahojiwa na Larry King na hivi vingereza vya kuandika kwanza then kukariri
Inaelekea unaishi mwezini. Magraduate wa bongo HAWAJUI KUANDIKA KISWAHILI KI UFASAHA
Inaelekea unaishi mwezini. Magraduate wa bongo HAWAJUI KUANDIKA KISWAHILI KI UFASAHA
bila ushabiki ni kweli kabisa EL kwa kingereza hajiwezi kabisa
SIYO KWELI! Hakuna huyo unayemuita graduate aliyezaliwa TanZania akakulia TanZania, akasomea shule ya msingi hapa akafaulu darasa la saba, akaenda sekondari akafaulu kidato cha nne akaenda kidato cha tano na sita akafaulu akaenda chuo Kikuu hakafu asijue kuandika Kiswahili!
Huko kote alipitaje?
Hakuna kitu kama hicho! ukisema kwamba kuna WatanZania ambao hawajabatika kwenda shule wana shida ya kuongea na kuandika Kiswahili fasaha hapo sawa, mfano hai mimi Bibi yangu hajasoma hata darasa la kwanza kuandika na kusoma Kiswahili tumemfundisha sisi na leo anaweza kuandika barua ya Kiswahili fasaha kabisa!
Mkuu, jaribu kufuatilia mijadara utaliona hilo!! Au Muulize Faiza Fox anayewasahihisha watu kila siku kwa kuandika Kiswahili kibovu!! Tatizo la kuandika Kiswahili fasaha Tanznainia ni kubwa kuliko unavyofikiria!!
By the way, Tanzania Kiswahili kinafundishwa shule ya msingi tu, kuanzia sekondari mpaka Chuo Kikuu watu wengi huwa wana-memorize na kufaulu mitihani!!