The Khoisan
Platinum Member
- Jun 5, 2007
- 18,639
- 18,272
Hata mimi sipingani na wewe kwenye issue ya kutumia au kutotumia Kiswahili katika mambo mbali mbali. Ni watawala wetu tu waliotufikisha hapa. Tujiulize ni kwa nini tulazimishe kujieleza kwa Kiingereza kama hatufahamu vizuri?
Kwani umefariki mwaka gani wewe? Maana walioko hai wanajua Gooooogle
Mkuu wala usiishie hapo. Ni kwa nini tufundishwe lugha nusu nusu!!??
Kama utafatilia mijadala mingi humu utagundua kuwa Watanzania wengi hatujui hata kuandika kiswahili sawasawa. Conclusion yangu ambayo nimeitoa mara nyingi ni kwamba Watanzania Kiswahili hatukijui sawasawa na Kiingereza vilevile!! Hii ni Hatari sana kwa Taifa!! Hao hao wanaodai kuwa Kiingereza siyo lazima ungiangalia michango yao ya Kiswahili utachoka mwenyewe!! Structure imewapiga chini na spelling mistake ni kibao!! Imagine, majority ya wachangiaji humu ni GRADUATES!!

Wewe Ni Muongo Namba Moja Dunia Hii!
Watanzania tunajua Kiswahili kuliko Mtu yoyote yule Dunia hii, na hayo mapungufu tuliyo nayo kwenye lugha yetu ni ya kawaida ni kila nchi inayo hata Uingereza kuna Wazungu wengi na shida na kiingereza pia, Ufaransa nako pia kuna wazaliwa wa Ufaransa wana shida na Kifaransa, Uchina kuna watu wengi wana shida na kichina ingawaje wamezaliwa Uchina, hali kadhalika Uhispania lkn kwa ujumla Watanzania tunajua sana Kiswahili klk lugha yoyote ile na mtu yoyote yule Dunia hii!
Mkuu wala usiishie hapo. Ni kwa nini tufundishwe lugha nusu nusu!!??
Kama utafatilia mijadala mingi humu utagundua kuwa Watanzania wengi hatujui hata kuandika kiswahili sawasawa. Conclusion yangu ambayo nimeitoa mara nyingi ni kwamba Watanzania Kiswahili hatukijui sawasawa na Kiingereza vilevile!! Hii ni Hatari sana kwa Taifa!! Hao hao wanaodai kuwa Kiingereza siyo lazima ungiangalia michango yao ya Kiswahili utachoka mwenyewe!! Structure imewapiga chini na spelling mistake ni kibao!! Imagine, majority ya wachangiaji humu ni GRADUATES!!
Sasa uongo wangu uko wapi wakati unakubali mwenyewe kuwa hili tatizo lipo kila mahali!!??
Nilichoaandika hapa kuwa asilimia kubwa ya wachangiaji humu naamini ni magraduate lakini hawajui kuandika Kiswahili vizuri. Sasa nenda huko England, Spain ..... kama utakuta magraduate wanastruggle na lugha yao kama magraduate wa Kitanzania wanavyostruggle na Kiswahili!!? Ukubali ukatae, Watanzania Kiswahili shida Kiingereza shida!!
Humu humu kuna watu wamedai kuwa Watanzania wanajua kuandika Kiingereza lakini kuongea ndiyo wanapata shida kwa vile siyo lugha yao. At the same time wewe unakubali kuwa wanajua kuongea lugha lakini kukosea kuandika ni kawaida duniani!!?? What is what here!!
Unajua ni sisi tu watanzania ndiyo tunaoamini kuwa unaweza ukaandika Kiingereza vizuri lakini ukashindwa kukiongea!!
hajiwezi ni relative. Hebu mlinganishe na mkwere uone kama EL hajapata A+bila ushabiki ni kweli kabisa EL kwa kingereza hajiwezi kabisa
Mkuu nchi hii inashida yaani wakati mataifa mengine yakiwekeza kwenye elimu kwa Kuwa elimu ni ufunguo wa maisha sisi tunaona hata akina division zeros akina lusinde wana deliver kisa wanaweza kupiga porojo bungenina kujikombo kwa akina joke lenye makengeza ili angalau wapate cha kupeleka majimboni mwaoAlaaa!kumbe hata vilaza kama Ole sendeka,Ephraim Kibonde,Joseph Mbilinyi "mr 2" wanaweza kuwa vioongozi na kufanya kazi zao ipasavyo sio?sasa nongwa ya ukilaza huwa mnaitoa wapi??
Sasa uongo wangu uko wapi wakati unakubali mwenyewe kuwa hili tatizo lipo kila mahali!!??
Nilichoaandika hapa kuwa asilimia kubwa ya wachangiaji humu naamini ni magraduate lakini hawajui kuandika Kiswahili vizuri. Sasa nenda huko England, Spain ..... kama utakuta magraduate wanastruggle na lugha yao kama magraduate wa Kitanzania wanavyostruggle na Kiswahili!!? kUkubali ukatae, Watanzania Kiswahili shida Kiingereza shida!!
Humu humu kuna watu wamedai kuwa Watanzania wanajua kuandika Kiingereza lakini kuongea ndiyo wanapata shida kwa vile siyo lugha yao. At the same time wewe unakubali kuwa wanajua kuongea lugha lakini kukosea kuandika ni kawaida duniani!!?? What is what here!!
Unajua ni sisi tu watanzania ndiyo tunaoamini kuwa unaweza ukaandika Kiingereza vizuri lakini ukashindwa kukiongea!!
Kiingereza ni rahisi kuongea hata cha kuchapia kama vidada vya Mlimani City. Kuandika ndio issueSasa uongo wangu uko wapi wakati unakubali mwenyewe kuwa hili tatizo lipo kila mahali!!??