KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,149
Umeandika vizuri sana maana Larry King hatarudi milele kuwa kwenye CNN TV, kama alivyo LOWASSA.
Kama unaona anafaa, muite kwako na mwambie Mkeo ampikie kitumbua ale.
Tatizo liko wapi? Ameongea vizuri na zaidi alichoongea ni kizuri zaidi na kinaonesha jinsi gani alivyo makini. kamwe mtoto hawezi kusoma vema na kuelewa kile anachofundishwa kama ana njaa.
wangapi wanaongea kiingereza kama waingereza wenyewe lakini wanachofanya ni utumbo mtupu.
English, french mention lugha zooote, wala haina tija kujua, muhim ni lugha yako: ila kitu pekee ambacho naamini ni kuwa, b'se mfumo wa education in TZ, frm sec na kuendelea uko kwa english, zen mimi naamini kuwa kama umesoma at least kwa level ya shahada ya kwanza in TZ zen lazma uwe unajua english. Sasa itokeapo mtu kasoma hadi 2 zat level zen english inampga chenga ni lazma kudoubt hiyo elimu aliipata vp here in TZ. But kwa nchi ambazo mfumo wa edu ni kwa lugha zao like france zen kutojua english is not a big deal @ all: but, note zat kiongoz mzur hatumpimi kwa uwezo wa speaking english or level yake ya elimu
Absolutely!! Nimependa sana ujengaji wake wa hoja na nakubaliana nae kabisa jinsi anavyo-link upatikanaji wa chakula kwa wanafunzi na uwingi wa wanafunzi kwenda shule na ubora wa elimu. Mtoa hoja ameelekeza akili yake kwenye kiingereza japo sioni tatizo lolote kwa jinsi rais wetu ajaye alivyojieleza. Ama kweli waingereza walifanikiwa kututawala na hii ndiyo dalili yake.Actually I like his reasoning ''an empty stomach leads to an empty head'' . huwezi ku-concetrate darasani wakati una njaa. he is trying to link the right to education to the right to food. That means poverty has to be fought on various fronts....
Alaaa!kumbe hata vilaza kama Ole sendeka,Ephraim Kibonde,Joseph Mbilinyi "mr 2" wanaweza kuwa vioongozi na kufanya kazi zao ipasavyo sio?sasa nongwa ya ukilaza huwa mnaitoa wapi??
acha ulimbukeni....kiingereza ni lugha ya waingereza. we leo ukijifunza kispanish, au kirussia, tukucheke kwa sababu hujui vizuri?? kwani ni lugha yako ya kuzaliwa?....kujua kingereza sana sio sifa nzuri, ni dalili ya kutawaliwa kiutamaduni (cultural imperialism)[/QUOT E]
Bora mkuu, nami umenisadia ktk hili, aisey! Jamvini kuna mambo! Cjui niite v2ko! Leo ndy nime'gain k2 kipya kwmb kingereza ndy kigezo cha urais! Nakumbuka marehemu mjomba alikua houseboy wa mzungu ktk mashamba ya mkonge kule Mtindiro Tanga miaka ile ya 70's then mzungu yule alipomaliza mkataba aliondoka nae uncle, mjomba alikaa Cardif uingereza almost 4 abt 20 years na alirejea Tz early 90's. Uncle alikua akiongea fluet english utadhani alizaliwa Britain! Bt kuandika ndy ilikua mtihani c kingereza tu ht kiswhl hakuwa akiweza kukiandika! Kw kua ktk maisha yake hakuwahi kwnd shule kbs! Je kw mujibu wa mtoa post mjomba wng angekua hai angeweza kua rais anaemfaa?