Consigliere
Platinum Member
- Sep 9, 2010
- 12,691
- 26,581
Mh.. Kunfu!
Ama kweli hii ni "Long walk to freedom"
Alafu magamba yanatumia nguvu kubwa sana kumdhibiti lakini wapiiMagamba wanachukua tifuz za mbavu tu. Full kukemaa hadi huruma aiseee.
Jack chen
chou man chuck
yuen bi hau
you chung Li
master woung
Ngoyali Lowasa yung
hawa jamaa kwa drunken style hawajambo
Jack chen
chou man chuck
yuen bi hau
you chung Li
master woung
Ngoyali Lowasa yung
hawa jamaa kwa drunken style hawajambo
Nimeupenda uandishi wa hadithi wa huyu kamanda Nyamsusa JB. Hii hadithi yako nimeipenda, sinema hii ninaipenda sana na nitafanya upload hap kama kuna mtu anaihitaji
View attachment 286400Starring
Jackie Chan
Yuen Siu-tien
Hwang Jang Lee
Dean Shek
Hiyo movie umenikumbusha mbali sana, yule master snitch ndo alikuwa kiboko. Alimuwekea Jack Chain kijiti cha moto, akishuka tuu kaungua tako.