Ng'egera
JF-Expert Member
- Jun 12, 2013
- 766
- 420
Kuna mambo ya kisiasa na ya ukweli lazima ujuekwa hyo mlijua ukwel kuwa lowasa sio fisad baada ya kuhamia chadema;;
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mambo ya kisiasa na ya ukweli lazima ujuekwa hyo mlijua ukwel kuwa lowasa sio fisad baada ya kuhamia chadema;;
Hizi habari aambiwe Lema, Msigwa,Lissu, Mnyika, Mbowe na CDM wote wamuombe radhi hadharani na KUKIRI kuwa ushahidi waliokuwanao ulikuwa ni wa uongo,Japo inabidi watuonyeshe kwanza huo ushahidi ili tuamue kama wa uongo au ukweli.Habari wakuu
Mzee lowassa hakutajwa kwenye ripoti yeyote ya ufisadi nchini
Makada mbali mbali wa ccm wametajwa katika ufisadi lakini hadi Leo hawaja tumbuliwa na kupelekwa mahakama ya mafisadi
Mzee lowassa shikamoo wewe nywele nyeupe,moyo mweupe na kamaadili upo clean
Sent using Jamii Forums mobile app
Hats yeye lowassa alijua hayo ni mambo ya kisiasa ndio maana akahamia cdm bila kinyongo kwani anatambua ccm kuna mijizi na ukweli ndio huu sasaHizi habari aambiwe msigwa,Lissu, Mnyika, Mbowe na CDM wote wamuombe radhi hadharani na ushahidi waliokuwanao ulikuwa ni wa uongo,Japo inabidi watuonyeshe kwanza huo ushahidi ili tuamue kama wa uongo au ukweli.
Tafadhali Bwana, Lowasa ameinunua CDM, sema kweli.Hats yeye lowassa alijua hayo ni mambo ya kisiasa ndio maana akahamia cdm bila kinyongo kwani anatambua ccm kuna mijizi na ukweli ndio huu sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikweli ikiundwa kamati kupitia tena yale ya richimond tukiacha ile ya mwakyembe asipo pitiwa humor basis ndio tusemeMtu hawi safi kwa kuwa tu kanunua Chama chenu, ilikuaje mwanzo muamini ni Mwizi halafu baada ya manunuzi mkabadilika
Kwani Mwizi hawi Mwizi kwa kuwa hajatajwa kwny report za Wizi?
Mnacho takiwa kufanya, ni kutumia miaka mingine mingi kumsafisha kama mlivyo hubiri ufisadi wake kwa muda mrefu.Mjinga kweli wewe ripot zaidi ya tatu zimeundwa hajatajwa popote kama kanunua chama mtajeni na ushahidi sas
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kuwa Mwakyembe ni CHADEMA.unajisahulisha mkuu, wa kumtaka radhi ni Chadema
fisadi?? Ulishawahi kusikia pombe akimuita fisadi?? Kuna kesi mahakamani juu yake? Wacha kutumia tumbo kuwaza
Ndiyo hivyo. Hasa baada ya kutoa ushahidi wa usafi wake juu ya tuhuma za Richmond kwa Kamati kuu ya Chama. Na aliweka wazi kuwa kama kuna mwenye ushahidi kuwa kahusika yuko tayari kwenda mahakamani. Huo ni ujasiri wa hali ya juu, tunataka na wale waliowapa ndugu zao nyumba za serikali, walio nunua vivuko (sijataja kipi kwani kuna ambavyo havitajwi) nk nao watuambie hivyohivyo kuwa wako tayari kwenda mahakamani kama kuna ushahidi.kwa hyo mlijua ukwel kuwa lowasa sio fisad baada ya kuhamia chadema;;
HAPANA LABDA KWA KUA HUYU NI CCMKwa kuwa Mwakyembe ni CHADEMA.
Sina mengi ya kuandika nataka kusema yaliyomo moyoni mwangu.
Ninani tena Tanzania yetu hii anayeweza kukubali makosa yake na kuamua kuwajibika kwa kuachia ngazi?
Nawakumbuka watu wawili tuu na historia itawakumbuka kama wazalendo halisi wa nchi yetu.
Wengine wamebaki wanaimba wimbo wa uzalendo bila ladha. Wanachosema na wanachofanya haviakisi neno uzalendo.
Madudu kibao wamefanywa na hawa wazalendo jina lkn hawapo tayari kusema hata sorry kwa hasara walizoliletea taifa.
Nyumba za serikali zimeuzwa no sorry, barabara chini ya kiwango no sorry, bunge kutunga sheria za kimauzauza no sorry.
Je ni Lowassa tuu na mzee Mwinyi ndio wenye ujasiri wa uzalendo wa kustep down na kusema sorry?
Viva wazalendo wa kweli
Sent using Jamii Forums mobile app