Joto Balaa
JF-Expert Member
- Sep 14, 2016
- 1,141
- 770
HIVI NI MAFISADI GANI WALIKIHAMA CCM NA KUZAMA KWENYE VYAMA VINGINE VYA SIASA?
Habari wakuu
Mzee lowassa hakutajwa kwenye ripoti yeyote ya ufisadi nchini
Makada mbali mbali wa ccm wametajwa katika ufisadi lakini hadi Leo hawaja tumbuliwa na kupelekwa mahakama ya mafisadi
Mzee lowassa shikamoo wewe nywele nyeupe,moyo mweupe na kamaadili upo clean
Sent using Jamii Forums mobile app
Unao ushahidi?Mtu hawi safi kwa kuwa tu kanunua Chama chenu, ilikuaje mwanzo muamini ni Mwizi halafu baada ya manunuzi mkabadilika
Habari wakuu
Mzee lowassa hakutajwa kwenye ripoti yeyote ya ufisadi nchini
Makada mbali mbali wa ccm wametajwa katika ufisadi lakini hadi Leo hawaja tumbuliwa na kupelekwa mahakama ya mafisadi
Mzee lowassa shikamoo wewe nywele nyeupe,moyo mweupe na kamaadili upo clean
Sent using Jamii Forums mobile app
Umemjibu vizuuuuri huyo msukuleAlipata nafasi ya kueleza ukweli na akaeleweka vizuri. Shida iko wapi?
Hata Mandela nchi nyingi za magharibi zilimuorodhesha kama gaidi (kitu ambacho ni kibaya zaidi kuliko fisadi) lakini alipo pata nafasi ya kujieleza kafa akijulikana kama shujaa.
Habari wakuu
Mzee lowassa hakutajwa kwenye ripoti yeyote ya ufisadi nchini
Makada mbali mbali wa ccm wametajwa katika ufisadi lakini hadi Leo hawaja tumbuliwa na kupelekwa mahakama ya mafisadi
Mzee lowassa shikamoo wewe nywele nyeupe,moyo mweupe na kamaadili upo clean
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuuAcha kujikweza Wewe nani ndani ya Chadema?
Makubaliano ya kumteua kuwa Mgombea Urais walifanya Gwajima na Mbowe halafu Kamati kuu ikaitwa kupewa Taarifa tu ya utekelezaji!
kaka vipi, mbona unahangaika kama kuku wa kienyeji anaetaga kwa mara ya kwanza? tulia na ccm yako. endeleeni kuuumbuana kwani huo ndio uwanja wa mijizi.Kwani Fisadi Lowasa ni Babako hadi utoke povu kumtetea? Kwa nini hata watoto na familia yake hawamtetei hivyo? Get life, house nigger, angalia maisha yako, bitch!
Tumia akili kidogo, mikataba huingiwa na chama Tawala.Kila ufisadi unaotajwa ni ukoo wa panya tu ndio wapo.
Jibu hoja kama mchafu mbona hatajwi sio kutuonyesha chukiMtu hawi safi kwa kuwa tu kanunua Chama chenu, ilikuaje mwanzo muamini ni Mwizi halafu baada ya manunuzi mkabadilika
kwa hyo mlijua ukwel kuwa lowasa sio fisad baada ya kuhamia chadema;;Alipata nafasi ya kueleza ukweli na akaeleweka vizuri. Shida iko wapi?
Hata Mandela nchi nyingi za magharibi zilimuorodhesha kama gaidi (kitu ambacho ni kibaya zaidi kuliko fisadi) lakini alipo pata nafasi ya kujieleza kafa akijulikana kama shujaa.