Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 57,936
- 134,004
Nilishamuomba msamaha Lowasa siku nyingi,
Ccm walitishwa wakakwepa Jab, wamepigwa upper cut!Lowasa ndiye mtu aliyeimbwa sana kuwa ni Fisadi ndani ya nchi hii. Alishambuliwa Sana,, akadhalilishwa, akaonewa Sana kutokana na hila za kisiasa, mpaka ikafika sehemu watu wakasema ile mahakama hewa ya mafisadi imeanzishwa kwa ajili yake. Lakini cha ajabu hizi report zote zilizosomwa tangu kuingia awamu ya 5 Jina la Lowasa halijapata kuonekana wala kusikika kwenye report hizo,
Je sababu ni nini..?
Naomba maoni yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
ukimfatilia kwa kumnanga unaangukia pua kama waleee wengine waliotangulia MBERRE!Lowassa ni baba wa uvumilivu, we mtukane usiku na mchana anakupuuza anasonga mbele.
ThibitishaNi mwongo, fisadi, mwigizaji na sio mzalendo ni uchu wa madaraka tu hana lolote
Sent using Jamii Forums mobile app
Wrong quotedPale aliposema "hii ni zamu yetu walutheri"ndipo nilipomdharau kabisa hana uzalendo wowote ni mdini namba moja na anataka kutugawa watanzania.
Nje ya Richmond lowasa hatajwi eneo jingine lolote
Chuki Dhidi ya aliyefanikiwa haiwezi kumsaidia maskiniLowasa ndiye mtu aliyeimbwa sana kuwa ni Fisadi ndani ya nchi hii. Alishambuliwa Sana,, akadhalilishwa, akaonewa Sana kutokana na hila za kisiasa, mpaka ikafika sehemu watu wakasema ile mahakama hewa ya mafisadi imeanzishwa kwa ajili yake. Lakini cha ajabu hizi report zote zilizosomwa tangu kuingia awamu ya 5 Jina la Lowasa halijapata kuonekana wala kusikika kwenye report hizo,
Je sababu ni nini..?
Naomba maoni yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwongo- alisema hata katika kipindi hiki cha mabadiliko, bado mabadiliko ya kweli yatatoka ccm, pia alisema na kupongeza utawala wa kikwete mzuri, alisema hawezi kuhama ccm. Wiki moja ru baadae akaongea kunyume na hayo maneno., fisadi- tuliaminishwa kuwa ni fisadi nna chadema wenyewe na hata walisema wana ushahidi na ufisadi wa babu wakiutangazia umma wa watz kuwa babu mpigaji, MWIGIZAJI - wakati wa kampeni alifikia hata kipanda daladala na wananchi eti akizuga kiwapenda, alipita tandale sokoni kuangalia shuguli mbalimbali akionuesha upendo kwa wananchi, siku hizi hatumwoni tena. Nafikiri nitakuwa nimekujibi vyema
Hata kama,lakini ni kitu kama hicho au tuweke audio?
Habari wakuu
Mzee lowassa hakutajwa kwenye ripoti yeyote ya ufisadi nchini
Makada mbali mbali wa ccm wametajwa katika ufisadi lakini hadi Leo hawaja tumbuliwa na kupelekwa mahakama ya mafisadi
Mzee lowassa shikamoo wewe nywele nyeupe,moyo mweupe na kamaadili upo clean
Sent using Jamii Forums mobile app