Lowassa mzalendo wa kweli

Lowassa mzalendo wa kweli

mzee wa kijiwe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2012
Posts
947
Reaction score
690
Sina mengi ya kuandika nataka kusema yaliyomo moyoni mwangu.

Ninani tena Tanzania yetu hii anayeweza kukubali makosa yake na kuamua kuwajibika kwa kuachia ngazi?

Nawakumbuka watu wawili tuu na historia itawakumbuka kama wazalendo halisi wa nchi yetu.

Wengine wamebaki wanaimba wimbo wa uzalendo bila ladha. Wanachosema na wanachofanya haviakisi neno uzalendo.

Madudu kibao wamefanywa na hawa wazalendo jina lkn hawapo tayari kusema hata sorry kwa hasara walizoliletea taifa.

Nyumba za serikali zimeuzwa no sorry, barabara chini ya kiwango no sorry, bunge kutunga sheria za kimauzauza no sorry.

Je ni Lowassa tuu na mzee Mwinyi ndio wenye ujasiri wa uzalendo wa kustep down na kusema sorry?

Viva wazalendo wa kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzalendo gani kuucha kutwa ni kwenda kupigia kampeni wakenya wakati ya kwake yanamshinda.
 
Mzee wa system huyo, kachezesha watu makida wakidhani ni mpinzani kweli kumbe ni mtuliza amani
 
Kuna watu wamenunua vivuko vibovu, wamevunja mikataba ambayo ambayo imeliingiza taifa hili hasara ya mabilioni lkn Leo eti wanajifanya mzalendo namba moja
Fyuuuuuu
 
Sina mengi ya kuandika nataka kusema yaliyomo moyoni mwangu.

Ninani tena Tanzania yetu hii anayeweza kukubali makosa yake na kuamua kuwajibika kwa kuachia ngazi?

Nawakumbuka watu wawili tuu na historia itawakumbuka kama wazalendo halisi wa nchi yetu.

Wengine wamebaki wanaimba wimbo wa uzalendo bila ladha. Wanachosema na wanachofanya haviakisi neno uzalendo.

Madudu kibao wamefanywa na hawa wazalendo jina lkn hawapo tayari kusema hata sorry kwa hasara walizoliletea taifa.

Nyumba za serikali zimeuzwa no sorry, barabara chini ya kiwango no sorry, bunge kutunga sheria za kimauzauza no sorry.

Je ni Lowassa tuu na mzee Mwinyi ndio wenye ujasiri wa uzalendo wa kustep down na kusema sorry?

Viva wazalendo wa kweli

Sent using Jamii Forums mobile app

Ni Mzalendo wa Muzungu lkn siyo wa kwetu kwani amemsaidia Muzungu zaidi isitoshe kama unampenda sana chukua familia yako muhamie kwake kama mke wake atawaruhusu!
 
Sina mengi ya kuandika nataka kusema yaliyomo moyoni mwangu.

Ninani tena Tanzania yetu hii anayeweza kukubali makosa yake na kuamua kuwajibika kwa kuachia ngazi?

Nawakumbuka watu wawili tuu na historia itawakumbuka kama wazalendo halisi wa nchi yetu.

Wengine wamebaki wanaimba wimbo wa uzalendo bila ladha. Wanachosema na wanachofanya haviakisi neno uzalendo.

Madudu kibao wamefanywa na hawa wazalendo jina lkn hawapo tayari kusema hata sorry kwa hasara walizoliletea taifa.

Nyumba za serikali zimeuzwa no sorry, barabara chini ya kiwango no sorry, bunge kutunga sheria za kimauzauza no sorry.

Je ni Lowassa tuu na mzee Mwinyi ndio wenye ujasiri wa uzalendo wa kustep down na kusema sorry?

Viva wazalendo wa kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa kuingiza siku wahi fasta mikocheni ukajipatie bahasha yako kwa kazi nzuri
 
Lowasa ndiye mtu aliyeimbwa sana kuwa ni Fisadi ndani ya nchi hii. Alishambuliwa Sana,, akadhalilishwa, akaonewa Sana kutokana na hila za kisiasa, mpaka ikafika sehemu watu wakasema ile mahakama hewa ya mafisadi imeanzishwa kwa ajili yake. Lakini cha ajabu hizi report zote zilizosomwa tangu kuingia awamu ya 5 Jina la Lowasa halijapata kuonekana wala kusikika kwenye report hizo,
Je sababu ni nini..?
Naomba maoni yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom