Ukweli hauogopi nguvu ya majeshi.polisi wetu wako tayari kwa lolote..ole wake panya ywyote aonekane analeta upuuzi
Sisi asilimia zaidi ya 60% ya watanzania tuliwaomba Lowasa agombee kupitia Ukawa,mkakubali na sisi tukafurahi tukafurahi sana.
Tukampigia kampeni,tukampenda,tukashawishi watu wampende na Tanzania ikaimba Lowasa,ikaimba mabadiliko!
Mimi najua tumeshinda huu uchaguzi na ninyi mnajua hilo.Nilisema sana humu juu ya kuwa na mpango mbadala na nikaelezea sana hulka na tabia za Kikwete.Utabiri ulikuwa wazi,wazi sana kwamba yanayotokea yangetokea!
Msizizike ndoto na matumaini yetu,msiwewe
WEWE MRUNDI hauijui bongo,,,wadanganye kama haijala kwao mazima,,,,
Mkuu naumwa na roho,halafu nahisi nimeanza kupata matatizo ya moyo kwaajili ya huu uchaguzi,frankly speaking I dnt care anymore,nna watoto wawili wa kiume na wanatosha.It is CCM out or Paul is a dead man
Mkuu naumwa na roho,halafu nahisi nimeanza kupata matatizo ya moyo kwaajili ya huu uchaguzi,frankly speaking I dnt care anymore,nna watoto wawili wa kiume na wanatosha.Mimi naomba tamko la uelekeo jamani
Sisi asilimia zaidi ya 60% ya watanzania tuliwaomba Lowasa agombee kupitia Ukawa,mkakubali na sisi tukafurahi tukafurahi sana.
Tukampigia kampeni,tukampenda,tukashawishi watu wampende na Tanzania ikaimba Lowasa,ikaimba mabadiliko!
Mimi najua tumeshinda huu uchaguzi na ninyi mnajua hilo.Nilisema sana humu juu ya kuwa na mpango mbadala na nikaelezea sana hulka na tabia za Kikwete.Utabiri ulikuwa wazi,wazi sana kwamba yanayotokea yangetokea!
Msizizike ndoto na matumaini yetu,msiwe na ustaarabu uliozidi,hii ni kazi chafu na hatuwezi kuifanya bila kuchafua mikono.
Maalim yuko peke yake na anafanya mambo,sisi tunashindwaje?
Vijana tuko tayari,mbona hamtoi neno la maana,mbona mnatudhalilisha jamani??
Vijana hawafanyi chochote kwasababu hamna operational statement.Mbowe uko wapi Mbowe?
Mbona nakuamini sana kamanda,mbona unasubiri mpaka mkondo wa maji utuzidi morali ife??
Fanyeni kitu jamani,ongeeni jambo viongozi wetu.
paul alex,nikufananishe na nani? Alexander mkuu wa uyunani?,napolean wa ufaransa? au mars mungu wa vita wa Rumi? HAKIKA WEWE NI ZAIDI YA SHUJAA,una moyo wa kifalme na nguvu za kiungu,sisi tupo nawe kamanda!
Pamoja ndugu yangu,nafarijika sana kumuona mwana wa Mungu kama wewe hapa.Historia imetuleta kwenye ukingo wa machafuko,tumejikusanyia matatizo mengi sana na sasa ni wakati wa kuyatatua.Woga ni ugonjwa,woga ni sawa na homa ya tumbo ikikuingia inakumalizia nguzu na upeo wa kufikiria.
Hii ni kazi chafu na hatuwezi kuifanya bila kuchafua mikono,ni Tanzania sasa na watanzania ndio sisi.
Ila tupige hatua moja kwanza kabla ya mia zilizo mbele,ila kabla tuusikilize uongozi!
Ni Mungu,Lowu
utachafua mikono kuibeba mitondoo ya segerea
Viroba bhana! Hiyo asilimia 60 imetoka wapi mbona mabox ya kura hayaonyeshi hivyo?