Lowassa,Mbowe,Seif,Kingunge msiniangushe,msituangushe

Lowassa,Mbowe,Seif,Kingunge msiniangushe,msituangushe

jina lenyewe limekaa kilokole lokole unataka kufanya battle na Elungata,,,ha ha ha hunijui wewe,,,,am baaaad news man,,,watchout,,,,,
lemme me go and feed my face,then will be back on your case here...
 
Nyie Ukawa naona mmerogwa na aliyewaroga kafa!! Mwenzenu Mr Zero hana hamu amejificha ke Hanang anachunga Kondoo.

Yaani tofauti ya kura milioni 2 bado mnaona mmeibiwa duh! Kweli kuna watu wanatumia vichwa kufugia nywele.
 
wapi behind keyboard?!

Ukawa bara mmeshindwa kihalali.... Ila zanzabar kuna mushkeli hata mi sikubaliani na zec.. Ila huku bara ukawa kubalini yaishe.. Ashindwae ni mume pia....

ukweli hutuweka huru kweli wameshindwa je kihalali? Kama ccm imepata kura 10 ukawa wamepata kura 5. Lakini ukawa wakasema hapana ccm wameshinda kwa kura 8 na wao wamepata kura 7 huoni kuna tofauti? Hatukatai kushindwa au kushinda hoja ni uhalali wa matoke ukizingatia kura za urais huamua mgawanyo wa viti maalumu vya ubunge.
 
Nyie Ukawa naona mmerogwa na aliyewaroga kafa!! Mwenzenu Mr Zero hana hamu amejificha ke Hanang anachunga Kondoo.

Yaani tofauti ya kura milioni 2 bado mnaona mmeibiwa duh! Kweli kuna watu wanatumia vichwa kufugia nywele.
Kwani ulitaka wapishane kura 2 ndo ukubali kuwa wameibiwa hoja ya msingi mtu ashinde kwa halali hata tofauti ingekuwa kura milion 10 swali litabaki pale pale je ni ushindi halali? kama ni halali maneno hayapo watu watajipanga kwaajili ya uchaguzi mwengine. lakini kama mambo ndo yatakuwa tofauti watu lazima wahoji na wawe na dukuduku mioyoni mwao
 
Sisi asilimia zaidi ya 60% ya watanzania tuliwaomba Lowasa agombee kupitia Ukawa,mkakubali na sisi tukafurahi tukafurahi sana.

Tukampigia kampeni,tukampenda,tukashawishi watu wampende na Tanzania ikaimba Lowasa,ikaimba mabadiliko!

Mimi najua tumeshinda huu uchaguzi na ninyi mnajua hilo.Nilisema sana humu juu ya kuwa na mpango mbadala na nikaelezea sana hulka na tabia za Kikwete.Utabiri ulikuwa wazi,wazi sana kwamba yanayotokea yangetokea!

Msizizike ndoto na matumaini yetu,msiwe na ustaarabu uliozidi,hii ni kazi chafu na hatuwezi kuifanya bila kuchafua mikono.

Maalim yuko peke yake na anafanya mambo,sisi tunashindwaje?
Vijana tuko tayari,mbona hamtoi neno la maana,mbona mnatudhalilisha jamani??

Vijana hawafanyi chochote kwasababu hamna operational statement.Mbowe uko wapi Mbowe?
Mbona nakuamini sana kamanda,mbona unasubiri mpaka mkondo wa maji utuzidi morali ife??

Fanyeni kitu jamani,ongeeni jambo viongozi wetu.

sorry kabla yakuandika ulichanganya akili yakuambiwa na yakwako??
 
Watu wana hamu ya kupata vilema vya ukubwani.
When you are trouble bse of fujo ni familia yako ndo itahenya sio chama
 
Tupo tayari kuingia barabarani.waseme neno moja tu.tumeichoka ccm
 
Mkuu naumwa na roho,halafu nahisi nimeanza kupata matatizo ya moyo kwaajili ya huu uchaguzi,frankly speaking I dnt care anymore,nna watoto wawili wa kiume na wanatosha.Mimi naomba tamko la uelekeo jamani

tutolee ushoga apaa Kama umeichoka familia yako kagawe tigo sio kutuletea shombo la upumbavu na ulofa wako umu
 
Sisi asilimia zaidi ya 60% ya watanzania tuliwaomba Lowasa agombee kupitia Ukawa,mkakubali na sisi tukafurahi tukafurahi sana.

Tukampigia kampeni,tukampenda,tukashawishi watu wampende na Tanzania ikaimba Lowasa,ikaimba mabadiliko!

Mimi najua tumeshinda huu uchaguzi na ninyi mnajua hilo.Nilisema sana humu juu ya kuwa na mpango mbadala na nikaelezea sana hulka na tabia za Kikwete.Utabiri ulikuwa wazi,wazi sana kwamba yanayotokea yangetokea!

Msizizike ndoto na matumaini yetu,msiwe na ustaarabu uliozidi,hii ni kazi chafu na hatuwezi kuifanya bila kuchafua mikono.

Maalim yuko peke yake na anafanya mambo,sisi tunashindwaje?
Vijana tuko tayari,mbona hamtoi neno la maana,mbona mnatudhalilisha jamani??

Vijana hawafanyi chochote kwasababu hamna operational statement.Mbowe uko wapi Mbowe?
Mbona nakuamini sana kamanda,mbona unasubiri mpaka mkondo wa maji utuzidi morali ife??

Fanyeni kitu jamani,ongeeni jambo viongozi wetu.

OSHA kwanza mk....u then uingie road ili usiwape tabu ya haruf with watakao kila tgoo
 
Ngoja tu nikae kimya lakini kati ya kauli ninayoichukia kwa sasa ni hiyo uliyoibold

Shauri yako , ila mimi ushauri wangu kwako ni kwamba
jitahidi uwe na akiba ya maneno katika majibu yako uyatoayo.
kuna siku hayo maneno unayo yachukia sasa utaomba yawe kinyume chake.
 
Tuandamane makamanda.Tuanzie pale Ngome ili watuambie alipo na CDF.Teh teh qwi qwi qwr qwi
 
Ndugu yangu nilikuwa wakala na nnajua baadhi ya mambo,Lowassa ameshinda.
Box la kura linaondoka kwenye kituo na karatasi zilizobaki na seal zilizobaki na wasimamizi wa nec wenye fomu zilizobaki na kalamu.Hapo unasemaje?
Paul, Ulikuwa wakala wa vituo vingapi?
 
Mkuu naumwa na roho,halafu nahisi nimeanza kupata matatizo ya moyo kwaajili ya huu uchaguzi,frankly speaking I dnt care anymore,nna watoto wawili wa kiume na wanatosha.It is CCM out or Paul is a dead man

Mkuu i support u, mabadiliko yana gharama yake, na mimi niko tayari kuilipa ili watanzania wenzangu wapate ukombozi, niko tayari kwa lolote hata uhai wangu, ili tupate ukombozi
 
wapumbavu hamtaisha hata kimya nalo ni jibu hiv unadhan low hasa hajui matokeo au mboowe hayafahamu kafe peke yako
Well said,actually Mh.Lowassa hana pressure wenye kuchochea ghasia ni wale waliokuwa na ndoto za kuhukwaa Uwaziri Mkuu na watu wengine baki wengi wao wamejificha nyuma ya k/board kulaghai wenzao,hawana ubavu wa kuingia barabarani - maneno tu! Watanzania walio wengi wamekwisha fanya uhamuzi wa busara.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom