Lowassa,Mbowe,Seif,Kingunge msiniangushe,msituangushe

Sisi asilimia zaidi ya 60% ya watanzania tuliwaomba Lowasa agombee kupitia Ukawa,mkakubali na sisi tukafurahi tukafurahi sana.

Tukampigia kampeni,tukampenda,tukashawishi watu wampende na Tanzania ikaimba Lowasa,ikaimba mabadiliko!

Mimi najua tumeshinda huu uchaguzi na ninyi mnajua hilo.Nilisema sana humu juu ya kuwa na mpango mbadala na nikaelezea sana hulka na tabia za Kikwete.Utabiri ulikuwa wazi,wazi sana kwamba yanayotokea yangetokea!

Msizizike ndoto na matumaini yetu,msiwe na ustaarabu uliozidi,hii ni kazi chafu na hatuwezi kuifanya bila kuchafua mikono.

Maalim yuko peke yake na anafanya mambo,sisi tunashindwaje?
Vijana tuko tayari,mbona hamtoi neno la maana,mbona mnatudhalilisha jamani??

Vijana hawafanyi chochote kwasababu hamna operational statement.Mbowe uko wapi Mbowe?
Mbona nakuamini sana kamanda,mbona unasubiri mpaka mkondo wa maji utuzidi morali ife??

Fanyeni kitu jamani,ongeeni jambo viongozi wetu.

Kwa hiyo Mchuuzi Mbowe peke yake ni asilimia 60%. Kawauzia Jambazi Sugu kwenye gunia mnaanza kusema ni asilimia 60% kwa hiyo kama nyinyi ni asilimia 60% then kwa nini mnalia nyau?
 
Elungata,natamaani tucheze game ya find me,I find you.Atakayeonekana Jf baada ya wiki moja ameshinda.Uko tayari? just bet!
naomba nipewe mamlaka ya kutangaza matokeo kwa ambae hataonekana i.e refa
 
Sisi asilimia zaidi ya 60% ya watanzania tuliwaomba Lowasa agombee kupitia Ukawa,mkakubali na sisi tukafurahi tukafurahi sana.

Tukampigia kampeni,tukampenda,tukashawishi watu wampende na Tanzania ikaimba Lowasa,ikaimba mabadiliko!

Mimi najua tumeshinda huu uchaguzi na ninyi mnajua hilo.Nilisema sana humu juu ya kuwa na mpango mbadala na nikaelezea sana hulka na tabia za Kikwete.Utabiri ulikuwa wazi,wazi sana kwamba yanayotokea yangetokea!

Msizizike ndoto na matumaini yetu,msiwe na ustaarabu uliozidi,hii ni kazi chafu na hatuwezi kuifanya bila kuchafua mikono.

Maalim yuko peke yake na anafanya mambo,sisi tunashindwaje?
Vijana tuko tayari,mbona hamtoi neno la maana,mbona mnatudhalilisha jamani??

Vijana hawafanyi chochote kwasababu hamna operational statement.Mbowe uko wapi Mbowe?
Mbona nakuamini sana kamanda,mbona unasubiri mpaka mkondo wa maji utuzidi morali ife??

Fanyeni kitu jamani,ongeeni jambo viongozi wetu.

Safari ya Matumaini
Safari ya Mabadiliko
Safari ya Monduli.
 
nafuu ufe kwa hiyo pressure kuliko kujitoa uhai
Uhai wa yesu ambaye aliukomboa ulimwengu ni ghali sana kuliko uhai wa huyu ndugu anayetaka kuokoa nyie wenye macho lakini hamuoni!!! isingekuwa baadhi ya watu kuona uhai wa si mali kitu kuliko uhai wa hili taifa leo idd amin angekuwa anatawala? tsu ilikuwa ni mwanamke aliyeporwa urais nchini burma utawala wa kidhalimu ambao ulikuwa chini ya mwanajeshi aliyegombea urais na kushindwa na Tsu utawala wa kidhalimu uliuwa watu,ulifunga watu jera yule mama aliwekwa kizuizini. dunia iliutambua mchango wa nobel aliyopokelewa na mwanaye yeye akiwa kizuizini nchini inasikitisha lakini udhalimu una mwisho.
 
acheni ujing nyny wenznu wamachochea ugomvi alfu wanaenda kukaa nje ya nchi alfu wanawaacheni muuwane wenyew
 
Sisi asilimia zaidi ya 60% ya watanzania tuliwaomba Lowasa agombee kupitia Ukawa,mkakubali na sisi tukafurahi tukafurahi sana.

Tukampigia kampeni,tukampenda,tukashawishi watu wampende na Tanzania ikaimba Lowasa,ikaimba mabadiliko!

Mimi najua tumeshinda huu uchaguzi na ninyi mnajua hilo.Nilisema sana humu juu ya kuwa na mpango mbadala na nikaelezea sana hulka na tabia za Kikwete.Utabiri ulikuwa wazi,wazi sana kwamba yanayotokea yangetokea!

Msizizike ndoto na matumaini yetu,msiwe na ustaarabu uliozidi,hii ni kazi chafu na hatuwezi kuifanya bila kuchafua mikono.

Maalim yuko peke yake na anafanya mambo,sisi tunashindwaje?
Vijana tuko tayari,mbona hamtoi neno la maana,mbona mnatudhalilisha jamani??

Vijana hawafanyi chochote kwasababu hamna operational statement.Mbowe uko wapi Mbowe?
Mbona nakuamini sana kamanda,mbona unasubiri mpaka mkondo wa maji utuzidi morali ife??

Fanyeni kitu jamani,ongeeni jambo viongozi wetu.

Na ujiandae maana sitashangaa nikisikia kesho umewekwa kusikojulikana.
 
wakichelewa watakuta tushapoaa,

wapi behind keyboard?!

UKAWA BARA MMESHINDWA KIHALALI.... ILA ZANZABAR KUNA MUSHKELI HATA MI SIKUBALIANI NA ZEC.. ILA HUKU BARA UKAWA KUBALINI YAISHE.. ASHINDWAE NI MUME PIA....
 
Viongozi mmezidi kuwa wa pole hapa jatuhitaji busara.Tulifaifanya kwenye sanduku la Kura hapa ni mwendo wa Uturuki hadi kieleweke
 
unataka waseme nini na wamesema tuwe watulivu na walisema piga kura linda amani sasa unataka nini tuendelee kulinda amani jamani
 
2Nasubr watamke 2 tufanyie kazi tamko naona wanataka ku2zoea

Acha hizo weye!

Tunajua wewe ni miongoni mwa wana familia wa Mbowe, Lowassa, Sumaye mliohamishiwa ulaya. Halafu mnataka kuchochea machafuko!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom