Lowassa,Mbowe,Seif,Kingunge msiniangushe,msituangushe

Lowassa,Mbowe,Seif,Kingunge msiniangushe,msituangushe

Ndugu wananch wanaochangia hapa, tumesikia na tumeona kwa macho matukio ya wizi na dhuluma ktk uchaguzi. Wizi ni mojawapo ya dhambi ambayo Mungu anaichukia sana. Na madhara yake ni makubwa kwa jamii. Madhara ya wizi ni kama ifuatavyo.
1. Unaleta laana,ukipata kiongozi mwenye laana hiyo laana haitaishia kwake tu bali hata watu anaowaongaza na aliowachagua kuongoza wengine. Sumu hiyo inasambaa. Utashangaa kiongozi anachagua watu ambao wanaonekana ni wazuri lakini gafla wanakuwa wezi na sio waaminifu tena. Alafu anawaondoa na kuchagua wengine wanakuwa vile vile.
2.pia kuna watu wanaoshabikia wizi nao laana haiwaachi, hawatakuwa tofauti na hao waliofanya kitendo hicho.
3.kibaya zaidi kama kiongozi wenu ameingia madarakani kwa hiyo dhambi basi na kwa sababu yeye ndiye amekalia mamlaka basi adhabu ya Mungu sio kwake tu bali kwa wananchi wote.
Ushauri wangu, tujitenge na jambo hili na tuombe Mungu atusamehe na kuepusha na hili balaa. Nawatakia upendo amani na utulivu.
 
Sisi asilimia zaidi ya 60% ya watanzania tuliwaomba Lowasa agombee kupitia Ukawa,mkakubali na sisi tukafurahi tukafurahi sana.








Tukampigia kampeni,tukampenda,tukashawishi watu wampende na Tanzania ikaimba Lowasa,ikaimba mabadiliko!

Mimi najua tumeshinda huu uchaguzi na ninyi mnajua hilo.Nilisema sana humu juu ya kuwa na mpango mbadala na nikaelezea sana hulka na tabia za Kikwete.Utabiri ulikuwa wazi,wazi sana kwamba yanayotokea yangetokea!

Msizizike ndoto na matumaini yetu,msiwe na ustaarabu uliozidi,hii ni kazi chafu na hatuwezi kuifanya bila kuchafua mikono.

Maalim yuko peke yake na anafanya mambo,sisi tunashindwaje?
Vijana tuko tayari,mbona hamtoi neno la maana,mbona mnatudhalilisha jamani??

Vijana hawafanyi chochote kwasababu hamna operational statement.Mbowe uko wapi Mbowe?
Mbona nakuamini sana kamanda,mbona unasubiri mpaka mkondo wa maji utuzidi morali ife??

Fanyeni kitu jamani,ongeeni jambo viongozi wetu.




Kama kawaida yenu, ingieni barabarani. Sanduku la kura limetamka nyie mnataka nini? Tatizo ni kuwa badala ya kuwa na mkakati wa kampeni, mlitegemea nyomi ya wapambe na wadeki barabara.

Ni aibu sana kwa viongozi kama Mh. EL na Sumaye kufanya haya wanayofanya. Halafu bila aibu akina Kubenea wanamwita EL "Mheshimiwa Rais" ni muhimu kuwa na ustaarabu wa kuheshimu waliopiga kura kumchagua yeyote yule. Kuna sehemu JPM hakupata hata aslimimia 15 (Northern Block), je na huko kuna ujanja fulani? Wewe unayeandika haya ya kuschochea vurugu si ajabu uko London au USA! EL any nyumba za kukimbilia nje, Mbowe na Sum aye kadhalika. Waache kuwatumia vijana kwa maslahi yao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom