Lowassa,Mbowe,Seif,Kingunge msiniangushe,msituangushe

Jifanye kujitoa akili, ukihitajika utapatikana tu. Wenzio 192 walikuwa mpaka na wakorea walipomaliza ku update software ya uhalifu wakatambua kuwa " Ulipo tupo".

Sina tatizo na kwenda sero,wala wasitumie nguzu kunitafuta.Andaani tu sero ya kutosha zaidi ya 60% ya watanzania.Mimi nitakuwa natangulia tu na wale 191
 
Sisi asilimia zaidi ya 60% ya watanzania tuliwaomba Lowasa agombee kupitia Ukawa,mkakubali na sisi tukafurahi tukafurahi sana.

Tukampigia kampeni,tukampenda,tukashawishi watu wampende na Tanzania ikaimba Lowasa,ikaimba mabadiliko!

Mimi najua tumeshinda huu uchaguzi na ninyi mnajua hilo.Nilisema sana humu juu ya kuwa na mpango mbadala na nikaelezea sana hulka na tabia za Kikwete.Utabiri ulikuwa wazi,wazi sana kwamba yanayotokea yangetokea!

Msizizike ndoto na matumaini yetu,msiwe na ustaarabu uliozidi,hii ni kazi chafu na hatuwezi kuifanya bila kuchafua mikono.

Maalim yuko peke yake na anafanya mambo,sisi tunashindwaje?
Vijana tuko tayari,mbona hamtoi neno la maana,mbona mnatudhalilisha jamani??

Vijana hawafanyi chochote kwasababu hamna operational statement.Mbowe uko wapi Mbowe?
Mbona nakuamini sana kamanda,mbona unasubiri mpaka mkondo wa maji utuzidi morali ife??

Fanyeni kitu jamani,ongeeni jambo viongozi wetu.
wewe mpumbavu tu wengi hatumtaki huyo mgombea wenu tumemchagua magufuli. kwani hii nchi yakwenu hadi mkatae maamuzi ya wengi. huko moshi na arusha mkimchagua lowassa ndio hamuamini wengine tumechagua magufuli? kweli nyie hamnazo!
 
Sisi asilimia zaidi ya 60% ya watanzania tuliwaomba Lowasa agombee kupitia Ukawa,mkakubali na sisi tukafurahi tukafurahi sana.

Tukampigia kampeni,tukampenda,tukashawishi watu wampende na Tanzania ikaimba Lowasa,ikaimba mabadiliko!

Mimi najua tumeshinda huu uchaguzi na ninyi mnajua hilo.Nilisema sana humu juu ya kuwa na mpango mbadala na nikaelezea sana hulka na tabia za Kikwete.Utabiri ulikuwa wazi,wazi sana kwamba yanayotokea yangetokea!

Msizizike ndoto na matumaini yetu,msiwe na ustaarabu uliozidi,hii ni kazi chafu na hatuwezi kuifanya bila kuchafua mikono.

Maalim yuko peke yake na anafanya mambo,sisi tunashindwaje?
Vijana tuko tayari,mbona hamtoi neno la maana,mbona mnatudhalilisha jamani??

Vijana hawafanyi chochote kwasababu hamna operational statement.Mbowe uko wapi Mbowe?
Mbona nakuamini sana kamanda,mbona unasubiri mpaka mkondo wa maji utuzidi morali ife??

Fanyeni kitu jamani,ongeeni jambo viongozi wetu.

chief, ni kweli tunahitaji hawa viongozi wetu wa mabadiliko wasituangushe lakini pia tunahitajika kuuthibitishia ulimwengu kuwa ni kweli kuna udhalimu umefanyika kwenye uchaguzi huu. tukiweza kufanya hivyo hata Watanzania wenzetu wale walio wagumu kubadilika nina uhakika watarudisha moyo na kutuunga mkono, tena bila figisufigisu.

tufanye kama alivyofanya mwanabadiliko mwenzetu Maalim Seif...tu-publish matokeo yetu yenye viambatanisho vyenye ushahidi kutoka kwenye respective polling centres. hapo hakutawapo wa kusema a wala be!
 
Angalia tusi hili mkuu Paul Alex
 
Attachments

  • 1446048928379.jpg
    1446048928379.jpg
    27.1 KB · Views: 85
Last edited by a moderator:
Hahahahahahahahahahahahah watajua kuwa muda wa mabadiliko ni sasa hakuna atakae ruhusu ujinga huu utokee hivi hivi lazima ukweli ujulikane
 
Sina tatizo na kwenda sero,wala wasitumie nguzu kunitafuta.Andaani tu sero ya kutosha zaidi ya 60% ya watanzania.Mimi nitakuwa natangulia tu na wale 191

Toka nyuma ya keyboard ukatafutiwe barobaro Ukonga
 
Sisi asilimia zaidi ya 60% ya watanzania tuliwaomba Lowasa agombee kupitia Ukawa,mkakubali na sisi tukafurahi tukafurahi sana.

Tukampigia kampeni,tukampenda,tukashawishi watu wampende na Tanzania ikaimba Lowasa,ikaimba mabadiliko!

Mimi najua tumeshinda huu uchaguzi na ninyi mnajua hilo.Nilisema sana humu juu ya kuwa na mpango mbadala na nikaelezea sana hulka na tabia za Kikwete.Utabiri ulikuwa wazi,wazi sana kwamba yanayotokea yangetokea!

Msizizike ndoto na matumaini yetu,msiwe na ustaarabu uliozidi,hii ni kazi chafu na hatuwezi kuifanya bila kuchafua mikono.

Maalim yuko peke yake na anafanya mambo,sisi tunashindwaje?
Vijana tuko tayari,mbona hamtoi neno la maana,mbona mnatudhalilisha jamani??

Vijana hawafanyi chochote kwasababu hamna operational statement.Mbowe uko wapi Mbowe?
Mbona nakuamini sana kamanda,mbona unasubiri mpaka mkondo wa maji utuzidi morali ife??

Fanyeni kitu jamani,ongeeni jambo viongozi wetu.

Acha ujinga wewe,si uanze wewe mwenyewe ili wengine wakufuate,hapo umekaa numa ya keyboard unaandika ambayo moyoni mwako hayatekelezeki,acheni kujijaza ujinga.
 
polisi wetu wako tayari kwa lolote..ole wake panya ywyote aonekane analeta upuuzi
gaddafi aliwaita jina hilo hilo la mende hili jambo linahitaji busara kule libya si kwamba wengi walikuwa hawampendi gadaffi bali wachache walipoanza kuandamana mataifa ya wazungu yakapata upenyo na kuanza kuwapa support wapinzani busara inahitajika mtafurahia kuwa hawa ni wachache ila wakianza huwa ni kama kipindupindu punguzeni maneno yatakayozidisha jazba kwa wenzenu bora mkae kimya
 
chief, ni kweli tunahitaji hawa viongozi wetu wa mabadiliko wasituangushe lakini pia tunahitajika kuuthibitishia ulimwengu kuwa ni kweli kuna udhalimu umefanyika kwenye uchaguzi huu. tukiweza kufanya hivyo hata Watanzania wenzetu wale walio wagumu kubadilika nina uhakika watarudisha moyo na kutuunga mkono, tena bila figisufigisu.

tufanye kama alivyofanya mwanabadiliko mwenzetu Maalim Seif...tu-publish matokeo yetu yenye viambatanisho vyenye ushahidi kutoka kwenye respective polling centres. hapo hakutawapo wa kusema a wala be!

Wafanye fasta sasa kabla tume haijamtangaza Magufuli hiyo kesho maana sasa hivi Kikwete amesimamia kwenye exileta na miguu miwili mpaka atangazwe.
 
Mkuu nakushauri upunguze munkari na ghadhabu za mkizi
kwani inakubidi ukumbuke kuwa "kuna maisha baada ya uchaguzi".

Ngoja tu nikae kimya lakini kati ya kauli ninayoichukia kwa sasa ni hiyo uliyoibold
 
Tuipasue tanzania katikati tupate nchi mbili. mashariki wachukue ukawa waondoke na bahari na west wachukue ccm mwendo wa lakes. Hq ya ukawa iwe dar ilihali ya ccm ikiwa dodoma. Kwisha habari yake
 
ACHENI UJINGA WA KUPINDUKIA HATA TAFITI ZA KIMATAIFA ZILIONA WAZI CCM inashinda
 
Tuipasue tanzania katikati tupate nchi mbili. mashariki wachukue ukawa waondoke na bahari na west wachukue ccm mwendo wa lakes. Hq ya ukawa iwe dar ilihali ya ccm ikiwa dodoma. Kwisha habari yake

No we fight for the whole until when we can't,Ila vita sio ngumu hivyo,just occupy gvt offices in Dsm and Dodoma with a few masked men.Put snipers at the tallest buildings and let the rioters do the work on the ground.Just that!
 
Walipoagiza magari 776 walijua nini kitatokea, wamejipanga tayari
 
Mkuu naumwa na roho,halafu nahisi nimeanza kupata matatizo ya moyo kwaajili ya huu uchaguzi,frankly speaking I dnt care anymore,nna watoto wawili wa kiume na wanatosha.It is CCM out or Paul is a dead man

paul alex,nikufananishe na nani? Alexander mkuu wa uyunani?,napolean wa ufaransa? au mars mungu wa vita wa Rumi? HAKIKA WEWE NI ZAIDI YA SHUJAA,una moyo wa kifalme na nguvu za kiungu,sisi tupo nawe kamanda!
 
Walipoagiza magari 776 walijua nini kitatokea, wamejipanga tayari

ndugu yangu ni uoga tu,gari moja inahitaji molotov moja tu ambapo molotov haigarimu zaidi ya elfu tatu.
 
ukiitwa NYUMBU ukatae unasubiri mpaka low assa akuambie andamana, acha, choma nyumba.

una tofauti gani na nyumbu. alafu unasema una watoto 2 ukizimishwa nani awalee acha u bata mzinga bob kaa ulee familia

unapigania wajinga waende ikulu alafu familia yako ituhangaishe sisi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom