Lowassa, marafiki zako hawakuchangii tena?

Lowassa, marafiki zako hawakuchangii tena?

Hivi Mh Lowassa kutotoa michango ni kosa? N hoja ya kuijadili? Unataka yey atoe michango kila iitwapo Leo? Je unajua kama kaalikwa kwenye harambee? Je,ni lazima awatangazie kwamba katoa mchango?

We umewahi hata kuchangia kwenye harambee yeyote ama kupayuka maneno tu?
 
Hivi Mh Lowassa kutotoa michango ni kosa? N hoja ya kuijadili? Unataka yey atoe michango kila iitwapo Leo? Je unajua kama kaalikea kwenye harambee? Je,ni lazima awatangazie kwamba katoa mchango?

We umewahi hata kuchangia kwenye harambee yeyote ama kupayuka maneno tu?
Si kosa baada ya uchaguzi kachangia wapi ?
 
malisa kilaza wa nn sasa kwa mfano mi mtu nlompita matokeo ni kilaza tu kama wewe na huyo unamsubiri

Hao madogo hawajielewi kabisa.

Mmoja kakataliwa kwao Dongobesh hakomi inshort aligaragazwa mbaya
 
Hivi Mh Lowassa kutotoa michango ni kosa? N hoja ya kuijadili? Unataka yey atoe michango kila iitwapo Leo? Je unajua kama kaalikea kwenye harambee? Je,ni lazima awatangazie kwamba katoa mchango?

We umewahi hata kuchangia kwenye harambee yeyote ama kupayuka maneno tu?
Lowasa aliingia kichwakichwa kwa mfalme Mbowe akaliwa kila kitu, ameuza hadi Nyumba..

Baada tu ya Lowasa kujiunga chadema ,Mr zero Mbowe akaripotiwa anatorosha mabillioni nje ya nchi!!!
 
Unataka ujibiwe vp?! Mtu mzima Kuwa na Akili isiyokua na akili ni janga la karne!
Urais mtamu bwana fitna lazima ziwepo mtu kachangia makanisa na misikiti miaka kadhaa alafu tukalitia pancha Basi la safari ya matumaini hata ubungo halijatoka mchezo
 
Kwani hamjui kama mzee ana degree ya Sanaa?
Anasubiri 2020 aanze maigizo yake.
 
hata ujumbe wa NEC chali kwa wenzetu kapewa zawadi.

Yaaani dogo hajitambui totally,
kama on ads basi sio lake kaingia kingi bila kujua, mchana wanaimba mapambio usiku ni kasino ile.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom