Lowassa, marafiki zako hawakuchangii tena?

Mimi sina cha kujifunza kwani kama ni kuwafahamu wanasiasa basi nina u-profesa (sio kama wa Kikwete lakini). Mwanasiasa wa kiafrika anaji-behave kulingana na mazingira aliyopo na upepo unavyovuma. Akiona upepo unaovuma ni ''safari za nje kwa wingi'' basi atatetea kuwa zina tija na kusifia kabisa. Akiona upepo unaovuma ni ''kukataza safari za nje'' basi atasifu na kusema kusafiri nje ni uzezeta. Hivyo kwa Lowassa wala sishangai kwani hakuona umuhimu wa tume huru ya uchaguzi wala wizi wa kura alipokuwa CCM lakini mara baada ya kutoka macho yakafumbuka.
hii comment ni zaidi ya thread ilioanzishwa
 
Alikuwa akialikwa kisha ndio anachangia ume mwaalika aka kataa??.je umefanya utafiti kwakiasi gani ndio uka gundua kwamba hachangii??. Kwani nilazima akutangazie??.
 
Sie umoja wa bodaboda wa Bagamoyo tunataka kuja kumshawishi ten aje kuchukua form 2020 Mtaa Ufipa andaeni Matulubai na Ubwabwa na Mshiko wetu wa kujitoa akili hadharani.
 
Huyu jamaa anawapa shida sana hawa NGUMBARU WENYE WIVU WA KIKE
 
Juzi tu katangaza 2020 huenda akagombea mkanza kujikojolea na kutoa povu,akianza kufanya harambeee si mtakunya kabisa
 
Pesa nyingi ya Lowassa kachukua Mbowe na Mtei baada ya kufanya biashara.
 
Bora ziishe zawizi
Pia zilileta shida mtaani
Hatulali NA Hawa Wanywa Viroba
kuna matajiri hapo AR wameungua vibaya yaani wameingia kichwakichwa kutoa MABILION yao kumchangia lowasa ili ashinde waendelee kutolipa kodi na kupewa upendeleo . kwa sasa hali yao tete , maana wanafuatiliwa kuanzia miaka 4 nyuma kuangalia rekodi zao za ulipaji kodi
 
Leo katika taarifa ya habari ya ITV imeoneshwa M/Kiti wa BAWACHA-Taifa Halima Mdee akiwa na Mama Regina Lowassa wametoa shilingi milioni 5 katika Hospitali ya Morogoro.

Hio pesa ni ndogo sana kwa watu ambao wakati wa kuelekea kwenye uchaguzi walikuwa wakitoa mamilioni ya pesa.

Mke wa Lowassa kufunga safari kutoka Monduli hadi Morogoro kwenda kutoa shilingi milioni 5 ni kuonesha mamilioni aliokuwa akiyamwaga Lowassa yameisha?.

Wewe umatoa ngapi?
 
Nadhani ungejiuliza namna ambavyo watawala ambao ni CCM walivyojinyakulia mabilioni na ya kuficha Uswis
 
Leo katika taarifa ya habari ya ITV imeoneshwa M/Kiti wa BAWACHA-Taifa Halima Mdee akiwa na Mama Regina Lowassa wametoa shilingi milioni 5 katika Hospitali ya Morogoro.

Hio pesa ni ndogo sana kwa watu ambao wakati wa kuelekea kwenye uchaguzi walikuwa wakitoa mamilioni ya pesa.

Mke wa Lowassa kufunga safari kutoka Monduli hadi Morogoro kwenda kutoa shilingi milioni 5 ni kuonesha mamilioni aliokuwa akiyamwaga Lowassa yameisha?.
Hata hivyo makusanyo yameongezeka toka Billion 900 kwa mwezi hadi Trillion 1.9 kwa mwezi hivyo serikali ina uwezo wa kutoa huduma za jamii kwa kutumia makusanyo
 
gharama za kuonga waandishi na kuwasafirisha mpk Morogoro- 1milion mchango wa over value 5 mil
 
Leo katika taarifa ya habari ya ITV imeoneshwa M/Kiti wa BAWACHA-Taifa Halima Mdee akiwa na Mama Regina Lowassa wametoa shilingi milioni 5 katika Hospitali ya Morogoro.

Hio pesa ni ndogo sana kwa watu ambao wakati wa kuelekea kwenye uchaguzi walikuwa wakitoa mamilioni ya pesa.

Mke wa Lowassa kufunga safari kutoka Monduli hadi Morogoro kwenda kutoa shilingi milioni 5 ni kuonesha mamilioni aliokuwa akiyamwaga Lowassa yameisha?.
Akili yako ni ya kizwazwazwa ngedere kipofu
 
hata mie nimestuka sana genge lote lile tena likiwa na mama lowasa kubebelea pampasi za mil tano kweli?
Wala viwavi naona mmeanza kutapika jukwaani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom