Lowassa, marafiki zako hawakuchangii tena?

Lowassa, marafiki zako hawakuchangii tena?

nyie kina na nihihii mmetoa bei gani tujuze kazi umbeya tu unawaweka mjini hapa jitu zima eti milioni tano ndogo wewe unayo
Aipate wapi huyo ndumilakuwili?kutwa kucha ni kugema tembo tu
 
Heri yao hawa walio toa mil 5 kusaidia hospitali. Vipi yule aliye nunua magari 779 ya washawasha?
Teeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeeh, kisa?kuwadhibiti wapinzani wasiingie ikulu kugundua wizi uliofanywa na familia yake?Anajisumbua maana ndio tunaanza na uda
 
Mtoa mada hivi milioni unajua ina sifuri ngapi baada ya namba tano..!!? Huenda tunaongea na mtu ambae hajui hata kuiandika achilia mbali kuishika..!! Acheni dharau kwa watu wanaojitolea kusaidia wengine. Kuna watu wanasema amepeleka pampas,pampas za milioni 5 hapo morogoro si angekusanya mtaa mzima!! Hakuna mfanyabiashara mwenye pampas za milioni 5 morogoro. Me nna duka la pampas tupu tandika,lkn mtaji haufiki milioni 5 na duka limejaa..!!! Mtu hujawahi kushika hata laki 3 unadharau milioni 5???
Nina uhakika hajawai kuishika kabisa
 
Kati ya mwaka 2011 hadi 2015 kulikuwa na changizo katika taifa lote, miskitini na makanisani. Katika kila Harambe ilikuwa lazima utasikia Mgeni wa heshima ni Lowassa. Akifika anasema nimechangiwa na marafiki zangu, mwisho anaweka milioni kadha.

Hali hii ilimfanya Lowassa aonekane kama "mtu wa watu". Akavuma nchi zima. Akateka mikoani na wilayani.

Mwaka huu, sijasikia tena akienda kuchangia tena.

Tunajifunza nini juu ya harakati zake?
Ina maana makanisa na miskiti haiitaji tena michango yake?
Nini tofauti ya watoa misaada wa nje na wa ndani?
Wewe tunakujua kwa kutumia ugoro sana hivyo hautusumbui kiwavi
1457501515343.jpg
 
Leo katika taarifa ya habari ya ITV imeoneshwa M/Kiti wa BAWACHA-Taifa Halima Mdee akiwa na Mama Regina Lowassa wametoa shilingi milioni 5 katika Hospitali ya Morogoro.

Hio pesa ni ndogo sana kwa watu ambao wakati wa kuelekea kwenye uchaguzi walikuwa wakitoa mamilioni ya pesa.

Mke wa Lowassa kufunga safari kutoka Monduli hadi Morogoro kwenda kutoa shilingi milioni 5 ni kuonesha mamilioni aliokuwa akiyamwaga Lowassa yameisha?.
Kwani milion 5 ni hela ndogo nyie magamba mmetoa ngapi acha madharau . Kuna hospital nyingi zinahitaji msaada kama huo . Hongera sana Mama Regina Lowasa. Mungu akuzidishie
 
hata mie nimestuka sana genge lote lile tena likiwa na mama lowasa kubebelea pampasi za mil tano kweli?
Frankly speaking nami nilishangaa mnoo kwa kweli! Hawa ndio waliokuwa na nia ya kuwasaidia wananchi? Kuna suala la matatizo ya madawati hawa UKAWA hivi wamefanya nini zaidi ya kugombea Umeya wa DSM?!?!?!
 
Kwani milion 5 ni hela ndogo nyie magamba mmetoa ngapi acha madharau . Kuna hospital nyingi zinahitaji msaada kama huo . Hongera sana Mama Regina Lowasa. Mungu akuzidishie
hela ndogo / kubwa inategemea anatoa nani
kwa mtu kama Regina hiyo ni hela ya saloon kwa siku moja
kumbuka hawa kwenye harambee walikuwa wanatoa hadi tsh 200M
 
Mla viwavi utamjua tu kwa kauli zake za kijinga
we nitukane tu, ila heshima ya mama imeshuka sana, inaonekana mzee keshastika kagoma kutoa mkwanja.
 
Mtoa mada pumbavu kbs pesa walionayo familia ya lowassa watakula mpk vilembwe na vilembwe hujui unachokiongea una bwabwaja tuu funga bakuli
 
KILA KITU KINA MAJIRA YAKE KUNA MUDA WA KUPANDA NA KUVUNA, MUDA WA KUTUPA MAWE NA MUDA WA KUKUSANYA MAWE, BAADA YA LOWASA KUCHANGIA SASA NI ZAMU YAKO NA BABA YAKO WA KAMBO KUCHANGIA
 
Mzee mamvi vp mbona harambee zimekwisha au pochi la Masai kwishney?
 
Haya ngoja waje kina Ben Saanane na Malisa, ulipo tupo, friends of el, teams el na wengineo
 
ndio utajua alikuwa mhuni tu....sijasilia kabisa akitoa michango huyu mtu

hivi bado kuna mtu anaamini Lowassa alikuwa anaipenda nchi? anayeamini hivyo aje hapa tusemezane
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom