Kwani lazima achangie kila mwaka yeye,tumemuachia Nape achangie nae
Ataanza tena kuchangia 2020!!Kwani lazima achangie kila mwaka yeye,tumemuachia Nape achangie nae
Punguza ushabibi. Nani anajua unauza pampas wewe.Mtoa mada hivi milioni unajua ina sifuri ngapi baada ya namba tano..!!? Huenda tunaongea na mtu ambae hajui hata kuiandika achilia mbali kuishika..!! Acheni dharau kwa watu wanaojitolea kusaidia wengine. Kuna watu wanasema amepeleka pampas,pampas za milioni 5 hapo morogoro si angekusanya mtaa mzima!! Hakuna mfanyabiashara mwenye pampas za milioni 5 morogoro. Me nna duka la pampas tupu tandika,lkn mtaji haufiki milioni 5 na duka limejaa..!!! Mtu hujawahi kushika hata laki 3 unadharau milioni 5???
Nani kakuambia Lowassa hatoi michango makanisani? Nenda Dayosisi ya Kaskazini kati ukaulize michango aliyoitoa hivi karibuni.
ACHA KUPAYUKA KAMA HUJUI YANAYOENDELEA.
Hilo la kujitangaza au kutojitangaza mimi silijui labda ukamuulize yeye na ndugu zake. Nilichopinga ni kusema kwamba hatoi tena misaada,jitahidi kusoma na kuelewa.na wewe acha upopoma; mbona hapo kabla alikuwa akisikika kote makanisani na misikitini iweje leo afuatwe huko tu?
Alitakiwa atoe shilingi ngapi kwani?Leo katika taarifa ya habari ya ITV imeoneshwa M/Kiti wa BAWACHA-Taifa Halima Mdee akiwa na Mama Regina Lowassa wametoa shilingi milioni 5 katika Hospitali ya Morogoro.
Hio pesa ni ndogo sana kwa watu ambao wakati wa kuelekea kwenye uchaguzi walikuwa wakitoa mamilioni ya pesa. Mke wa Lowassa kufunga safari kutoka Monduli hadi Morogoro kwenda kutoa shilingi milioni 5 ni kuonesha mamilioni aliokuwa akiyamwaga Lowassa yameisha?.
Point ya kijinga sana hii, haujui hata kwa nini una hiyo avatar!Kwani lazima achangie kila mwaka yeye,tumemuachia Nape achangie nae
Mbona kwenye habari haoneshwi kama enzi zile??Nani kakuambia Lowassa hatoi michango makanisani? Nenda Dayosisi ya Kaskazini kati ukaulize michango aliyoitoa hivi karibuni.
ACHA KUPAYUKA KAMA HUJUI YANAYOENDELEA.
Tunajifunza kuwa ni lazima tujue kutofautisha kati ya maziwa na tui la nazi,kovu na ndui,alama ya msalaba na kujumlisha,alama ya X na kuzidisha.Kati ya mwaka 2011 hadi 2015 kulikuwa na changizo katika taifa lote, miskitini na makanisani. Katika kila Harambe ilikuwa lazima utasikia Mgeni wa heshima ni Lowassa. Akifika anasema nimechangiwa na marafiki zangu, mwisho anaweka milioni kadha.
Hali hii ilimfanya Lowassa aonekane kama "mtu wa watu". Akavuma nchi zima. Akateka mikoani na wilayani.
Mwaka huu, sijasikia tena akienda kuchangia tena.
Tunajifunza nini juu ya harakati zake?
Ina maana makanisa na miskiti haiitaji tena michango yake?
Nini tofauti ya watoa misaada wa nje na wa ndani?
Waulize waandishi wa habari waliokuwa wanamfuata wakati ule.Mbona kwenye habari haoneshwi kama enzi zile??
Nani kakuambia Lowassa hatoi michango makanisani? Nenda Dayosisi ya Kaskazini kati ukaulize michango aliyoitoa hivi karibuni.
ACHA KUPAYUKA KAMA HUJUI YANAYOENDELEA.