Baada ya huyu bwana mkubwa kutupa manyanga kwenye uwaziri mkuu alionekana akitoa misaada huku na kule kama miss Tanzania tulipata wasiwasi na kiwango kikubwa cha fedha zilizokuwa zikitolewa ukilinganisha kwa maisha yake yote amekuwa mtumishi wa umma ndo tukaambiwa ana marafiki vibopa ndo wanaomweka mjini.
Cha kushangaza baada ya uchaguzi hatoi tena hiyo mihela ndo maana marafiki zake wamechukizwa na yeye kugombea urais au wameona maslahi waliyoyategemea kutoka kwake hayapo tena, au?
Wakati akidai kuna marafiki nyuma yake hakuwahi kuwataja hata siku moja lakini kuna minong'ono kuwa kati ya washirika wake ni majizi wapiga dili na watu wamjini, mfano kuna tetesi kuwa mtu wake wa karibu anahusishwa na upigaji hela katika hazina yetu wakati akiwa kigogo katika benki moja ya kizungu hivyo kuonyesha wazi kuwa huyu mtu alikuwa na nia ovu na taifa letu.