Lowassa, Malecela na Sitta kunyimwa nishani maana yake nini?

Waziri Mkuu Mstaafu, John Malecela amesema Ikulu ndiyo inayojua sababu za yeye kutostahili kupata nishani na kwamba hakuzaliwa kwa ajili ya kupata tuzo hiyo.

::Mwananchi::
 
bwa ha ha ha ha !!!!!!!!!!!!!
mzeekaongea vyema..tuzo ndio nini bhana huyo makinda mwenye tuzo kalifanyia nini taifa?

Malecela: Waulizeni Ikulu nishani yangu Send to a friend
Sunday, 11 December 2011 21:35
0digg

malecela-1.jpg
LOWASSA ANG'AKA, ASEMA HAJUI KILICHOFANYIKA, SITTA AKATAA KUZUNGUMZIA
Boniface Meena
WAZIRI Mkuu Mstaafu, John Malecela amesema Ikulu ndiyo inayojua sababu za yeye kutostahili kupata nishani na kwamba hakuzaliwa kwa ajili ya kupata tuzo hiyo.Kauli hiyo Malecela ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais Mstaafu, imekuja siku tatu baada ya Rais Jakaya Kikwete kuwatunuku nishani ya Mwenge wa Uhuru Daraja la Pili, wanasiasa mbalimbali waliowahi kushika nyadhifa za Uwaziri Mkuu na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Muungano wa Tanzania, huku yeye, na viongozi wengine kadhaa wakikosa.

Viongozi wengine waliokosa ni nishani hizo ni Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa na Spika Mstaafu wa Bunge la tisa, Samuel Sitta. Hata hivyo, baada ya viongozi hao kuachwa katika orodha ya waliotunukiwa nishani hizo kumekuwa na maswali kuhusu vigezo vilivyotumika kuwaengua ingawa tayari Rais Kikwete alivitangaza, ikiwamo uadilifu katika kulitumikia taifa wakati wa kazi na baada ya kustaafu.

Akizungumzia sababu za yeye kukosa nishani hiyo jana, Malecela ambaye aliwahi kuwa waziri mkuu na makamu wa kwanza wa Rais kati ya mwaka 1990 hadi 1994 wakati wa utawala wa Rais Ali Hassan Mwinyi, alisema wanaojua sababu ni Ikulu kwa kuwa wao ndiyo waliokuwa na orodha hiyo.

Malecela alienda mbali zaidi akisema yeye hakuzaliwa ili apate nishani, hivyo ni muhimu vyombo vya habari vikaacha kukuza mambo ambayo hayana msingi.

Alisema:, "Mnataka kujua nini? Sikuzaliwa ili nipate nishani..., kaulizeni Ikulu na muache kukuza haya mambo, ninawasihi sana mbadilike na muandike mambo muhimu".

Alisema kwa kuwa yeye siyo mwenye orodha ya waliokuwa wanatakiwa kupata nishani hivyo, hawezi kujua nani alitakiwa apate na nani alitakiwa kukosa, hivyo Ikulu ndiyo wanaojua.

"Please don't make it an issue(tafadhali msifanye ni kitu cha muhimu), sikuzaliwa ili nipate nishani, acheni suala hilo ni uchonganishi, acheni,"alisema Malecela.

Alisema nishani zimekuwa zikitolewa nyingi katika sherehe mbalimbali zilizopita na hata hizi za juzi sio kitu cha ajabu na kwamba habari iliyoandikwa kwenye vyombo vya habari jana kuhusu yeye kukosa nishani ni kukuza mambo.

"Msitake kukuza mambo serikali imefanya mengi, mbona wakati wa kutoa degree(shahada) huwa kuna wengine wanakosa na wengine wanapata si sawa, please acheni hilo suala,"alisema Malecela.

Mbali na nyadhifa hizo za juu serikalini, mwanasiasa huyu pia aliwahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM mwaka 1995 hadi 2007, Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa (1964-1966), Waziri wa Mambo ya Nje (1972-1973), Waziri wa Jumuia ya Afrika Mashariki (1975-1976), Mkuu wa Mkoa wa Iringa (1980-1984) , pia amekuwa Balozi wa Tanzania katika nchi mbalimbali ikiwemo Uingereza.

Hata hivyo, inaelezwa kuwa huenda amekosa nishani hiyo kutokana na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere kutunga kitabu mwaka 1995 alichoikiita ‘Uongozi wetu na hatma ya uongozi Tanzania’ kilichoainisha udhaifu kadhaa kisiasa wa kiongozi huyo.

Lowassa

Kwa upande wake Waziri Mkuu aliyejiuzulu Lowassa, akizungumzia kukosa nishani hiyo, alisema hakuwa na taarifa yoyote ya kilichotokea kwa kuwa yuko kijijini kwao Monduli.

"Tumekosa mimi na nani? Niko kijijini na sijasoma gazeti mpaka nilipate ndiyo nijue andika hivyo,"alisema Lowassa kwa kifupi baada ya kuulizwa kwa njia ya simu.

Lowasa alikuwa Waziri Mkuu tangu mwaka 2005 hadi Februari mwaka 2008, katika Serikali ya Awamu ya Nne, chini ya Rais Jakaya Kikwete, alijiuzulu kufuatia kashfa ya utoaji zabuni ya kufua umeme wa dharura kwa kampuni tata ya Richmond Development LCC.

Sitta asema aachwe

Alipoulizwa Spika wa Bunge la Tisa, Sitta kuhusu kutopata nishani hiyo, alisema kwa sasa asingependa kulizungumzia suala hilo na kusisitiza, "hilo liache kwanza, sitaki kulizungumzia".

JK na nishani
Mbali ya kuwaacha viongozi hao wakuu wastaafu katika serikali, pia katika mhimili mwingine wa dola wa kutunga sheria (Bunge) Rais aliwatunuku nishani hiyo spika wa zamani, Pius Msekwa na wa sasa, Anne Makinda, lakini akamnyima Samuel Sitta ambaye aliongoza Bunge la Tisa, kabla ya kufanyika Uchaguzi Mkuu wa Rais na Wabunge, Oktoba mwaka jana.

Katika hafla hiyo iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam, kama sehemu ya maadhimisho ya kilele cha Kumbukumbu ya Miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika , Rais Kikwete alitunuku nishani za aina tatu kwa Watanzania 57 waliotoa michango mbalimbali ya kutukuka kwa maendeleo ya nchi katika kipindi cha miaka 50 ya uhuru wake, huku pia akimwacha aliyekuwa Rais wa Zanzibar Aboud Jumbe Mwinyi.

Nishani hizo ni ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Mwenge wa Uhuru Daraja la kwanza na Mwenge wa Uhuru Daraja la Pili.

Kikwete aliweka wazi kwamba, nishani hizo zimetolewa kwa Makamu Rais na mawaziri wakuu wastaafu walio hai ama waliokufa, walioondoka madarakani bila kashfa na hata baada ya kuondoka kwao madarakani, wameendelea kuwa na maadili mema na kuishi kwa heshima na maadili ya ofisi yao.

Viongozi wengine waliotunikiwa nishani hizo ni Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Hayati Mzee Abeid Aman Karume, Hayati Rashid Mfaume Kawawa, Hayati Edward Moringe Sokoine, Hayati Idrisa Abdul Wakili na Hayati Dk Omary Ali Juma.

Wengine ni Rais wa sasa wa Zanzibar ambaye aliwahi pia kuwa Makamu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kabla ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka jana , Dk Ali Mohamed Shein, na mawaziri wakuu wastaafu, Cleopa Msuya, Joseph Warioba, Dk Salim Ahmed Salim na Fredereck Sumaye.

Nishani ya juu kabisa iliyotolewa na Rais Kikwete ni ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ambayo walitunukiwa maraisi wa awamu zote tatu zilizopita, Hayati Mwalimu Nyerere ambayo ilipokelewa na Mama Maria Nyerere kwa niaba yake, Ali Hassan Mwinyi na Benjamin Mkapa.
 
Haya sasa,

Li-Katapila la taifa la miaka nenda rudi kutumika kwenda kusembua barabara hata penye milima ya mawe kusiko na dalili zozote kupitika na mtu yeyote halafu kesho yake tu lenye hujikuta la kwanza kuzuiliwa kwamba SI RUKSA KWAKE YEYE KUPITA TENA katika barabara hiyo alilolisembua!!!!!!!!!!

Mzee Malecela huenda kaponzwa na msimamo wake mkali kutaka MAFISADI wote kutimiliwa CCM kama si yale madai ya kutaka mama Tanganyika afufuliwe ndipo tupate kuendelea na siasa za Muungano kwa kibaba cha sawa kwa sawa.

Waziri Mkuu Mstaafu, John Malecela amesema Ikulu ndiyo inayojua sababu za yeye kutostahili kupata nishani na kwamba hakuzaliwa kwa ajili ya kupata tuzo hiyo.

::Mwananchi::
 
Mzee Malecela, kati ya Wa-Tanzania wachache waliotukonga nyoyo na tayari Umma wa Tanzani tumewaona na tunawaheshimu kupita maelezo hata wengine wasipowatambuahuko. Hawa ni pamoja na:

1. Wazee Sinde Warioba - HAKI KWA WALALAHOI,
2. Salim Ahmed Salim - DIPLOMASIA ILIOTUKUKA,
3. Getrude Mongela - MWANAMAMA ALIYETANGAZA TANZANIA MI-JUKWAA YOTE KIMATAIFA

4. Mzee Butiku / Shivji - KWA KUENDELEA KUKOKA MOTO WA MWALIMU NYERERE KATIKATI YETU
5. Prof Kironde - Mwelimishaji wa taifa asiyechoka hata uzeeni
6. Mengi / Bakhresa - Ajira za kumwaga kwa Wa-Tanzania kupitia ugumu ajabu huku mkipigwa vita na Masilingi.

7. Yule Konda wa Mbagala - Aliyeonyesha uaminifu wa ajabu kurudisha mamilioni ya fedha kwa abiria wake licha umasikini wake.
8. Kijana wa Kikosi cha Moto - Alivyojitolea maisha yake kuokoa Dar es Salaamna hatari kubwa ya janga la moto Ubungo.
9. Prof Baregu / Marandu - Kwa kulea wazo na mienendo ya 'Vyama vya USHINDANI' mpaka somo likaeleweka Tanzania.

10. Jenerali Kihwelu - Kwa kutuokoa na ujangili wa miaka nenda rudi Msitu wa Biharamulo.

11. Kamanda Maghufuli - Kwa kututoa Matongotongo kwa kutujengea barabara sehemu nyingi sana nchini na kuvipa heshima wizara za pembezoni na miradi ya mabilioni ya hela kupitia mikononi mwake LAKINI BILA KULAUMIWA UFISADI (Ulistahili kuzaliwa na Mwalimu Nyerere mwenyewe wewe)

12. Samuel Sitta - Kwa kutuletea aina ya Bunge lenye hadhi, heshma, utunzi wa sheria nyingi zaidi, na ulinzi wa mali ya umma kwa namna ambavyo itatuchukua miaka mingi kuliona tena maishani.

13. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya - Kwa kutumia busara hadimu kuokoa maisha ya Wa-Tanzania wenzetu wamachinga wasiuawe kama mauaji ya kusikitisha Igunga na Arusha huku akiwaacha waandamane kwa amani kumaliza hasira yao dhidi ya dhuluma kote nchini.

14. Mzee Edwin Mtei - Kwa kuzingatia kanuni za taaluma yake kumpa Mwalimu Nyerere njia mbadala ya kuendesha uchumi na kulinda hadhi ya shilingi yetu hadi kila sarufi kikawa kina thamani na kutumika; Nidhamu ya usimamiaji wa shilingi yetu.

15. Charles Keenja - Kwa kubadili mfumo wa uendeshaji wa Jiji la Dar es Salaam kwa mafanikio toka kwa akina Mzee Kitwana Kondo.
16. Wachezaji wa Taifa Stars walioitumikia timu miaka nenda rudi kwa mafanikio kama vile Mwameja, Steven Nemesi, Athumani China, Madaraka Selemani Mzee waKiminyio, Mtendawema, Sanifu Lazaro Tingisha, Machinga, na waanariadha wale waliotukuka.

17. Jaji Mwalusanya na Kisanga - kwa kuacha rekodi nyuma isiotikisika kwa kutokufanya uzembe katika kupitia sheria na hukumu nyingi mno huko duniani ndipo wapate kutoa hukumu usio na maswali hata baada ya miaka mingi na haki kuonekana kutendeka.

18. Mr II, Bananna Zoro, 20 per cent, Mrisho Mjomba, Prof J - kwa kuvumbua njia mpya ya kutuelimisha dhidi ya ukimwi na umasikini.

19. Ole Njolay / Arnold Kileo - Kwa utumishi uliotukuka
20. Dr Slaa - Kwalikwepesha taifa na machafuko hata baada ya kuchakachuliwa.

21. Jenerali Ulimwengu / Saed Kubenea / Rioba/ Mzee Simbeye kwakuchora upya ramani ya taaluma yao nchini

... listi bado ni ndefu mno.
 
bi kidude- kwa kuendelea kutupa burudani licha ya umri kumtupa mkono. na akiwa amekongoroka mwili mzima lkn anakomaa kuwapa watanzania wenzie raha ya burdani. orodha bado ni ndefu.
 
Uwezo Tunao said:
20. Dr Slaa - Kwalikwepesha taifa na machafuko hata baada ya kuchakachuliwa.

Hivi seriously JK hakushinda kiuhalali?

Ama ni maneno tu ya mtaani?

Kuna ushahidi?
 
Tundu Lisu kwa kuwa mbunge makini anayechangia hoja kwa kusema ukwel daima,pia mbunge aliyejadiliwa katika bunge badala ya kujadili muswada wa mabadiliko ya katiba.
 
  • Biniriti Satano Mahenge - Mbunge aliye fanya barabara za Makete zipitike angalau msimu wote wa Mwaka eg Mbeya - Makete
  • Sugu - kutuliza hasira za machinga za masaa 30 kwa chini ya dak 30 na kusababisha Mbeya iwe ya AMANI
  • January Makamba - Mbunge anayewapenda na kuwwaonea huruma WaTz kwa vitendo eg kukataa posho ya 280000
  • orodha bado ni ndefu sana............
 
bwa ha ha ha ha !!!!!!!!!!!!!
mzeekaongea vyema..tuzo ndio nini bhana huyo makinda mwenye tuzo kalifanyia nini taifa?

Malecela: Waulizeni Ikulu nishani yangu Send to a friend
Sunday, 11 December 2011 21:35
0digg

malecela-1.jpg
LOWASSA ANG'AKA, ASEMA HAJUI KILICHOFANYIKA, SITTA AKATAA KUZUNGUMZIA
Boniface Meena
WAZIRI Mkuu Mstaafu, John Malecela amesema Ikulu ndiyo inayojua sababu za yeye kutostahili kupata nishani na kwamba hakuzaliwa kwa ajili ya kupata tuzo hiyo.Kauli hiyo Malecela ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais Mstaafu, imekuja siku tatu baada ya Rais Jakaya Kikwete kuwatunuku nishani ya Mwenge wa Uhuru Daraja la Pili, wanasiasa mbalimbali waliowahi kushika nyadhifa za Uwaziri Mkuu na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Muungano wa Tanzania, huku yeye, na viongozi wengine kadhaa wakikosa.

Viongozi wengine waliokosa ni nishani hizo ni Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa na Spika Mstaafu wa Bunge la tisa, Samuel Sitta. Hata hivyo, baada ya viongozi hao kuachwa katika orodha ya waliotunukiwa nishani hizo kumekuwa na maswali kuhusu vigezo vilivyotumika kuwaengua ingawa tayari Rais Kikwete alivitangaza, ikiwamo uadilifu katika kulitumikia taifa wakati wa kazi na baada ya kustaafu.

Akizungumzia sababu za yeye kukosa nishani hiyo jana, Malecela ambaye aliwahi kuwa waziri mkuu na makamu wa kwanza wa Rais kati ya mwaka 1990 hadi 1994 wakati wa utawala wa Rais Ali Hassan Mwinyi, alisema wanaojua sababu ni Ikulu kwa kuwa wao ndiyo waliokuwa na orodha hiyo.

Malecela alienda mbali zaidi akisema yeye hakuzaliwa ili apate nishani, hivyo ni muhimu vyombo vya habari vikaacha kukuza mambo ambayo hayana msingi.

Alisema:, "Mnataka kujua nini? Sikuzaliwa ili nipate nishani..., kaulizeni Ikulu na muache kukuza haya mambo, ninawasihi sana mbadilike na muandike mambo muhimu".

Alisema kwa kuwa yeye siyo mwenye orodha ya waliokuwa wanatakiwa kupata nishani hivyo, hawezi kujua nani alitakiwa apate na nani alitakiwa kukosa, hivyo Ikulu ndiyo wanaojua.

"Please don't make it an issue(tafadhali msifanye ni kitu cha muhimu), sikuzaliwa ili nipate nishani, acheni suala hilo ni uchonganishi, acheni,"alisema Malecela.

Alisema nishani zimekuwa zikitolewa nyingi katika sherehe mbalimbali zilizopita na hata hizi za juzi sio kitu cha ajabu na kwamba habari iliyoandikwa kwenye vyombo vya habari jana kuhusu yeye kukosa nishani ni kukuza mambo.

"Msitake kukuza mambo serikali imefanya mengi, mbona wakati wa kutoa degree(shahada) huwa kuna wengine wanakosa na wengine wanapata si sawa, please acheni hilo suala,"alisema Malecela.

Mbali na nyadhifa hizo za juu serikalini, mwanasiasa huyu pia aliwahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM mwaka 1995 hadi 2007, Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa (1964-1966), Waziri wa Mambo ya Nje (1972-1973), Waziri wa Jumuia ya Afrika Mashariki (1975-1976), Mkuu wa Mkoa wa Iringa (1980-1984) , pia amekuwa Balozi wa Tanzania katika nchi mbalimbali ikiwemo Uingereza.

Hata hivyo, inaelezwa kuwa huenda amekosa nishani hiyo kutokana na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere kutunga kitabu mwaka 1995 alichoikiita ‘Uongozi wetu na hatma ya uongozi Tanzania' kilichoainisha udhaifu kadhaa kisiasa wa kiongozi huyo.

Lowassa

Kwa upande wake Waziri Mkuu aliyejiuzulu Lowassa, akizungumzia kukosa nishani hiyo, alisema hakuwa na taarifa yoyote ya kilichotokea kwa kuwa yuko kijijini kwao Monduli.

"Tumekosa mimi na nani? Niko kijijini na sijasoma gazeti mpaka nilipate ndiyo nijue andika hivyo,"alisema Lowassa kwa kifupi baada ya kuulizwa kwa njia ya simu.

Lowasa alikuwa Waziri Mkuu tangu mwaka 2005 hadi Februari mwaka 2008, katika Serikali ya Awamu ya Nne, chini ya Rais Jakaya Kikwete, alijiuzulu kufuatia kashfa ya utoaji zabuni ya kufua umeme wa dharura kwa kampuni tata ya Richmond Development LCC.

Sitta asema aachwe

Alipoulizwa Spika wa Bunge la Tisa, Sitta kuhusu kutopata nishani hiyo, alisema kwa sasa asingependa kulizungumzia suala hilo na kusisitiza, "hilo liache kwanza, sitaki kulizungumzia".

JK na nishani
Mbali ya kuwaacha viongozi hao wakuu wastaafu katika serikali, pia katika mhimili mwingine wa dola wa kutunga sheria (Bunge) Rais aliwatunuku nishani hiyo spika wa zamani, Pius Msekwa na wa sasa, Anne Makinda, lakini akamnyima Samuel Sitta ambaye aliongoza Bunge la Tisa, kabla ya kufanyika Uchaguzi Mkuu wa Rais na Wabunge, Oktoba mwaka jana.

Katika hafla hiyo iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam, kama sehemu ya maadhimisho ya kilele cha Kumbukumbu ya Miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika , Rais Kikwete alitunuku nishani za aina tatu kwa Watanzania 57 waliotoa michango mbalimbali ya kutukuka kwa maendeleo ya nchi katika kipindi cha miaka 50 ya uhuru wake, huku pia akimwacha aliyekuwa Rais wa Zanzibar Aboud Jumbe Mwinyi.

Nishani hizo ni ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Mwenge wa Uhuru Daraja la kwanza na Mwenge wa Uhuru Daraja la Pili.

Kikwete aliweka wazi kwamba, nishani hizo zimetolewa kwa Makamu Rais na mawaziri wakuu wastaafu walio hai ama waliokufa, walioondoka madarakani bila kashfa na hata baada ya kuondoka kwao madarakani, wameendelea kuwa na maadili mema na kuishi kwa heshima na maadili ya ofisi yao.

Viongozi wengine waliotunikiwa nishani hizo ni Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Hayati Mzee Abeid Aman Karume, Hayati Rashid Mfaume Kawawa, Hayati Edward Moringe Sokoine, Hayati Idrisa Abdul Wakili na Hayati Dk Omary Ali Juma.

Wengine ni Rais wa sasa wa Zanzibar ambaye aliwahi pia kuwa Makamu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kabla ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka jana , Dk Ali Mohamed Shein, na mawaziri wakuu wastaafu, Cleopa Msuya, Joseph Warioba, Dk Salim Ahmed Salim na Fredereck Sumaye.

Nishani ya juu kabisa iliyotolewa na Rais Kikwete ni ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ambayo walitunukiwa maraisi wa awamu zote tatu zilizopita, Hayati Mwalimu Nyerere ambayo ilipokelewa na Mama Maria Nyerere kwa niaba yake, Ali Hassan Mwinyi na Benjamin Mkapa.

Hapo ndipo mjue ushenzi wa serikali ya Kikwete. Hawa watu wamelitumikia taifa, hakuna aliyemsafi, No man is infalible, all men are falible!! ila tunatofautiana viwango. Kama ni kosa la Malecela kutaka Tanganyika,(na kushutumiwa na Nyerere) hili sio kosa ndio maoni yake Mzee malecela. Na Nyerere ana makosa yake, ila tunapima dhamira yake katika kutenda makosa yale kuwa ilikuwa safi. Ana makinda anadidimiza democrasia, mtu huyo anapata tuzo!! au ni chakula cha watu!!!!!!
 
Naona kama Mwalimu Julius Nyerere ametukanwa sana na Ikulu aliyoiheshimu kama mahali patakatifu. Nishani ya Mwalimu Julius Nyerere haikutakiwa (a) itolewe kwa Julius Nyerere mwenyewe tena kwa kupokelewa na mjane wake, (b) kutolewa kwa mazingira ya upendeleo bila kujali historia ya nchi. Pamoja na mambo yake yote:Jumbe, Malecela, Sitta na Mkwawa walitakiwa kupewa nishani hizo kwa sababu za kihistoria. Kwa bahati mbala Lowassa hakustahili tuzo hizo kwa sababu za kihistoria pia.
 
malecela-1.jpg

LOWASSA ANG'AKA, ASEMA HAJUI KILICHOFANYIKA, SITTA AKATAA KUZUNGUMZIA

Boniface Meena

WAZIRI Mkuu Mstaafu, John Malecela amesema Ikulu ndiyo inayojua sababu za yeye kutostahili kupata nishani na kwamba hakuzaliwa kwa ajili ya kupata tuzo hiyo.Kauli hiyo Malecela ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais Mstaafu, imekuja siku tatu baada ya Rais Jakaya Kikwete kuwatunuku nishani ya Mwenge wa Uhuru Daraja la Pili, wanasiasa mbalimbali waliowahi kushika nyadhifa za Uwaziri Mkuu na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Muungano wa Tanzania, huku yeye, na viongozi wengine kadhaa wakikosa.

Viongozi wengine waliokosa ni nishani hizo ni Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa na Spika Mstaafu wa Bunge la tisa, Samuel Sitta. Hata hivyo, baada ya viongozi hao kuachwa katika orodha ya waliotunukiwa nishani hizo kumekuwa na maswali kuhusu vigezo vilivyotumika kuwaengua ingawa tayari Rais Kikwete alivitangaza, ikiwamo uadilifu katika kulitumikia taifa wakati wa kazi na baada ya kustaafu.

Akizungumzia sababu za yeye kukosa nishani hiyo jana, Malecela ambaye aliwahi kuwa waziri mkuu na makamu wa kwanza wa Rais kati ya mwaka 1990 hadi 1994 wakati wa utawala wa Rais Ali Hassan Mwinyi, alisema wanaojua sababu ni Ikulu kwa kuwa wao ndiyo waliokuwa na orodha hiyo.

Malecela alienda mbali zaidi akisema yeye hakuzaliwa ili apate nishani, hivyo ni muhimu vyombo vya habari vikaacha kukuza mambo ambayo hayana msingi.

Alisema:, "Mnataka kujua nini? Sikuzaliwa ili nipate nishani..., kaulizeni Ikulu na muache kukuza haya mambo, ninawasihi sana mbadilike na muandike mambo muhimu".

Alisema kwa kuwa yeye siyo mwenye orodha ya waliokuwa wanatakiwa kupata nishani hivyo, hawezi kujua nani alitakiwa apate na nani alitakiwa kukosa, hivyo Ikulu ndiyo wanaojua.

"Please don't make it an issue(tafadhali msifanye ni kitu cha muhimu), sikuzaliwa ili nipate nishani, acheni suala hilo ni uchonganishi, acheni,"alisema Malecela.

Alisema nishani zimekuwa zikitolewa nyingi katika sherehe mbalimbali zilizopita na hata hizi za juzi sio kitu cha ajabu na kwamba habari iliyoandikwa kwenye vyombo vya habari jana kuhusu yeye kukosa nishani ni kukuza mambo.

"Msitake kukuza mambo serikali imefanya mengi, mbona wakati wa kutoa degree(shahada) huwa kuna wengine wanakosa na wengine wanapata si sawa, please acheni hilo suala,"alisema Malecela.

Mbali na nyadhifa hizo za juu serikalini, mwanasiasa huyu pia aliwahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM mwaka 1995 hadi 2007, Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa (1964-1966), Waziri wa Mambo ya Nje (1972-1973), Waziri wa Jumuia ya Afrika Mashariki (1975-1976), Mkuu wa Mkoa wa Iringa (1980-1984) , pia amekuwa Balozi wa Tanzania katika nchi mbalimbali ikiwemo Uingereza.

Hata hivyo, inaelezwa kuwa huenda amekosa nishani hiyo kutokana na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere kutunga kitabu mwaka 1995 alichoikiita ‘Uongozi wetu na hatma ya uongozi Tanzania' kilichoainisha udhaifu kadhaa kisiasa wa kiongozi huyo.

Lowassa

Kwa upande wake Waziri Mkuu aliyejiuzulu Lowassa, akizungumzia kukosa nishani hiyo, alisema hakuwa na taarifa yoyote ya kilichotokea kwa kuwa yuko kijijini kwao Monduli.

"Tumekosa mimi na nani? Niko kijijini na sijasoma gazeti mpaka nilipate ndiyo nijue andika hivyo,"alisema Lowassa kwa kifupi baada ya kuulizwa kwa njia ya simu.

Lowasa alikuwa Waziri Mkuu tangu mwaka 2005 hadi Februari mwaka 2008, katika Serikali ya Awamu ya Nne, chini ya Rais Jakaya Kikwete, alijiuzulu kufuatia kashfa ya utoaji zabuni ya kufua umeme wa dharura kwa kampuni tata ya Richmond Development LCC.

Sitta asema aachwe

Alipoulizwa Spika wa Bunge la Tisa, Sitta kuhusu kutopata nishani hiyo, alisema kwa sasa asingependa kulizungumzia suala hilo na kusisitiza, "hilo liache kwanza, sitaki kulizungumzia".

JK na nishani
Mbali ya kuwaacha viongozi hao wakuu wastaafu katika serikali, pia katika mhimili mwingine wa dola wa kutunga sheria (Bunge) Rais aliwatunuku nishani hiyo spika wa zamani, Pius Msekwa na wa sasa, Anne Makinda, lakini akamnyima Samuel Sitta ambaye aliongoza Bunge la Tisa, kabla ya kufanyika Uchaguzi Mkuu wa Rais na Wabunge, Oktoba mwaka jana.

Katika hafla hiyo iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam, kama sehemu ya maadhimisho ya kilele cha Kumbukumbu ya Miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika , Rais Kikwete alitunuku nishani za aina tatu kwa Watanzania 57 waliotoa michango mbalimbali ya kutukuka kwa maendeleo ya nchi katika kipindi cha miaka 50 ya uhuru wake, huku pia akimwacha aliyekuwa Rais wa Zanzibar Aboud Jumbe Mwinyi.

Nishani hizo ni ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Mwenge wa Uhuru Daraja la kwanza na Mwenge wa Uhuru Daraja la Pili.

Kikwete aliweka wazi kwamba, nishani hizo zimetolewa kwa Makamu Rais na mawaziri wakuu wastaafu walio hai ama waliokufa, walioondoka madarakani bila kashfa na hata baada ya kuondoka kwao madarakani, wameendelea kuwa na maadili mema na kuishi kwa heshima na maadili ya ofisi yao.

Viongozi wengine waliotunikiwa nishani hizo ni Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Hayati Mzee Abeid Aman Karume, Hayati Rashid Mfaume Kawawa, Hayati Edward Moringe Sokoine, Hayati Idrisa Abdul Wakili na Hayati Dk Omary Ali Juma.

Wengine ni Rais wa sasa wa Zanzibar ambaye aliwahi pia kuwa Makamu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kabla ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka jana , Dk Ali Mohamed Shein, na mawaziri wakuu wastaafu, Cleopa Msuya, Joseph Warioba, Dk Salim Ahmed Salim na Fredereck Sumaye.

Nishani ya juu kabisa iliyotolewa na Rais Kikwete ni ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ambayo walitunukiwa maraisi wa awamu zote tatu zilizopita, Hayati Mwalimu Nyerere ambayo ilipokelewa na Mama Maria Nyerere kwa niaba yake, Ali Hassan Mwinyi na Benjamin Mkapa.
 
Upuuzi mtupu huo, wapeane hizo nishani kadri wanavyoona inafaa. Wakumbuke kwamba wananchi wamepoteza matumaini na hawana imani tena na watawala wao.
 
(Texit with colr) EL hana maadili mema maana hata baada ya kujihuzuru hakutkiwa kujitete alitakiwa atulie hata kama wangemtangaza dunia nzima kuwa ni fisadi, sasa yeye kakosea kamuwasha mkuu wa kaya mbele ya wakuu wa magamba.
Samwel 6 alikosa maadili kwa kuruhusu maovu ya serikali ya magamba kuwekwa wazi, maadili mema ni vile anavyo fanya Bi Kidubwana.:yawn:
 
mbona hii issue waandishi wameigeuza dili? huko ni kumchomea utambi JK
Kwa upeo wako unaona ni swala dogo kwa Makinda kupewa nishani wakati amekaa kwenye uspika mwaka mmoja tu, na Samwel Sitta amenyimwa? do you think this normal? what about Chifu Adam Sapi Mkwawa?
 
Malecela: Waulizeni Ikulu nishani yangu Send to a friend
Sunday, 11 December 2011 21:35
0diggsdigg

malecela-1.jpg
ASEMA HAKUZALIWA KWA AJILI YA TUZO, LOWASSA HANA TAARIFA, SITTA KIMYA

Back
Top Bottom