Lowassa, maji ya shingo

Lowassa, maji ya shingo

Mwisawa naona Pumzi mnaishiwa CCM fisadi mwaka huu ni ABADILIKOoooo
 
Magufuli na VIWANDA VYA POWER BANK au? Ha ha ha ha haaaaa lowasa kiboko yenu.
 
Kw hali ya umeme wa taifa hili nilitegemea makufuli angekuja na sera ya kuanzisha soko la ushindani kwenye sekta ya umeme km iliyo kwy simu za mikononi leo hii ttcl iko wp. Hivyo viwanda vya magufuli anavyoubiri ni vitendeshwa na power bank au
 
Hapo ndo CCM mtasema wameiba kura sisi kushinda ni asubuh
 
Mgombea wa urais kupitia Chadema amezidi kupata wakati mgumu, hasa baada ya maelfu ya wana CHADEMA kuendelea kukimbia chama hicho na kujiunga na CCM.

Hata hivyo, bado maelewano yake na mgombea mwenza wake yamekuwa ni madogo, hali inayozidi kudhoofisha uwezo wake.

Kofuli maji ya utosi
 
Huyo mama Samia mmemtelekeza kabisaa sijui mfumo dume utawapeleka wapi!

Mfumo dume wa lowasa kumkataa mkuu wa wilaya ya monduli kisa mwanamke na kusema wamasai hawawez kutawaliwa na mwamamke
 
Mnajitekenya na kucheka wenyewe.... Leo anatua Mkoa wa Mara....

Mara ni mikoa ambayo Lowassa atashinda kwa asilimia 90..... Kule ni vitha ni vitha Mura

Ushasahau kama kule tarime walimrushia mawe wakimtuhumu kwa wz wa raslimali wakati akitafuta wazamini leo atashinda kule kwa asilimilia 90!!!! Ndugu yangu sio rahisi kama unavyofikiria, mwaka huu najua ukawa watashangaa sana wakishindwa kwakuwa wanasahau kuwa siasa ni sayansi na vita pia, nina uhakika magu atashinda uchaguzi huu tena kirahisi sana tofauti na tunavyokuwa tynababaishwa na mafuriko
 
Ccm kwisha habari yake mnajidanganya tu lazima 25 mng'oke
 
Hahahahaha nilizani umu kuna ccm mwenye akili timamu katika kuangalia kwenye dirisha la chumbani kwangu nikagundua nimazombie yamevamia Jf kwa binadamu wenye akili hahaha mnavamia vampire etie nyie zombie's Wa ccm
 
Hahahahaha nilizani umu kuna ccm mwenye akili timamu katika kuangalia kwenye dirisha la chumbani kwangu nikagundua nimazombie yamevamia Jf kwa binadamu wenye akili hahaha mnavamia vampire etie nyie zombie's Wa ccm
Kamalizie kimbowe (kiroba)
Chako
 
Back
Top Bottom