naona mitoto ya kigamba inafarijiana, ccm lazima itoke tu!
Mwaka huu iko kazi, punde nimetoka kuchukuwa lift ya bajaji ikiwa na bendera ya Chadema, nikamwuliza kijana, vipi kulikoni... mbona Maguguli jembe? Akajibu "kweli ni jembe, tatizo shamba alilopo halina mbolea!"