singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,538
utajijuHumu mbona wote ni wa masaki.
utajijuHumu mbona wote ni wa masaki.
Babu Duni kaingia mitini
Hivi babu duni yuko wap kweli
au amestaaf siasa
Magufuli atawafanya mchanganyikiwe mwaka huu
kubalin tu ndie rais wetu
hapa kazi tu
Mimi huwa najiuliza hizo kura za Magufuli za Ushindi zitatokea wapi ?
Mkiambiwa ukweli siku zote mnahamaki na mitusi, je, matusi yanaweweza kubadili ukweli ukageuka kuwa uongo? Mwingine anathubutu kusema eti ccm itashinda kwa kura za kutoka wapi, mbona ujiulizi huo utitiri wa watu wanaovaa nguo za chama na kujaza mikutano ya ccm wanatoka wapi? Au unadhani wanatoka nchi jirani? Ni kweli mabadiliko yangetarajiwa kutoka ukawa lakini kwa bahati mbaya yenu wengi tumeishastuka kuwa mabadiliko ya kweli yataletwa na JEMBE, TINGATINGA MAGUFULI.
CCM NI ILE ILE TENA NI ILE ILEEE
Wameshindwa kuimarisha na Kuwa na Umeme wa uhakika zaidi ya miaka 50 !! Kweli ni ile ile.
Wameshindwa kuimarisha kilimo cha uhakika na kisasa ili kujenga uchumi Imara zaidi ya kuanzisha kauli mbiu za kifisadi eti Kilimo kwa wakati hakuna export hata Ndege moja kwa mwezi kwenda nje kibiashara , hebu chungulia hapo Nairobi Airport uone mamboz !! TAFAKARI
Wameshindwa kutoa huduma bora ya afya zaidi ya mika 50 , kina mama wana lala mzungu wa nne hospital. Kweli ni ile ile !!
Mchango ya madawati kila siku elimu taabani baada ya miaka 50 ! NDUGU TAFAKARI.
Ufisadi kila kona, kweli ni ile ile !
Wasalaam !
Huo msemo huwa nausikia kwa dada yanguMwaka huu watajibeba
Tatizo la kuleta mada ukiwa chooni unasahau kuchamba...
Duni yuko Dodoma acheni kujitekenya jana kafanya mikutano kondoa kule...ccm bye byeee
Na ivi sasa ukiuangalia ukawa kama unaakili inayofanya kazi vizuri utagundua kunakitu hakiko sawa sababu utamuona lowasa tu yule mwenzie hayoko tena. (duni) anasikika kwa kukatakata.
Mgombea wa urais kupitia Chadema amezidi kupata wakati mgumu, hasa baada ya maelfu ya wana CHADEMA kuendelea kukimbia chama hicho na kujiunga na CCM.
Hata hivyo, bado maelewano yake na mgombea mwenza wake yamekuwa ni madogo, hali inayozidi kudhoofisha uwezo wake.
Zitatokea vunjo
Arusha yote
Kilimanjaro kwa kina lema
Moshi
Rombo kwa wanaume wavivu
Hedaru
Same
Meru
Na kwa wamasai wote
Bdo hujui zitatokea wap?
Mgombea wa urais kupitia Chadema amezidi kupata wakati mgumu, hasa baada ya maelfu ya wana CHADEMA kuendelea kukimbia chama hicho na kujiunga na CCM.
Hata hivyo, bado maelewano yake na mgombea mwenza wake yamekuwa ni madogo, hali inayozidi kudhoofisha uwezo wake.