Lowassa, maji ya shingo

Lowassa, maji ya shingo

Magufuli kimbiza hao hawakkutambui,wafundishe kazi
 
Wamefarakana hao. Na bado

Mbona mafarakano yao yalianzia Dodoma siku alipoteuliwa Magufuli kuwa mgombea,Magufuli alianza kujinadi kama mgombea binafsi kwa kuwa kafarakana na CCM.
 
Ccm ndio waliofarakana na kusambaratika! Timu yao ya watu. 32 ipo wapi? Wamepoteana kabisa, wengine ndo hata kupanda kwenye majukwaa ya kampeni hawathubutu maana watakuwa wanabwabwaja tu hawana la kuwaambia wananchi..wengine walijaribu mwanzoni wakajishtukia wameishiwa sera! Sasa mgombea wao ananadi madiwani kwa kuwapgisha pushup,
 
Mgombea wa urais kupitia Chadema amezidi kupata wakati mgumu, hasa baada ya maelfu ya wana CHADEMA kuendelea kukimbia chama hicho na kujiunga na CCM.

Hata hivyo, bado maelewano yake na mgombea mwenza wake yamekuwa ni madogo, hali inayozidi kudhoofisha uwezo wake.

Nani amemkimbia chama, na alipokimbia alileta madhara gani. Lowasa na duni wameshndwa kuelewana ktk lip? acha uongo. Utawajua tu kazi yao ni kututukana, kusema uongo, kupiga push up na kuruka vichura badala ya kuuza sera
 
Mgombea wa urais kupitia Chadema amezidi kupata wakati mgumu, hasa baada ya maelfu ya wana CHADEMA kuendelea kukimbia chama hicho na kujiunga na CCM.

Hata hivyo, bado maelewano yake na mgombea mwenza wake yamekuwa ni madogo, hali inayozidi kudhoofisha uwezo wake.

Hivi babu duni yuko wap kweli
au amestaaf siasa

Magufuli atawafanya mchanganyikiwe mwaka huu
kubalin tu ndie rais wetu

hapa kazi tu
 
Mgombea wa urais kupitia Chadema amezidi kupata wakati mgumu, hasa baada ya maelfu ya wana CHADEMA kuendelea kukimbia chama hicho na kujiunga na CCM.

Hata hivyo, bado maelewano yake na mgombea mwenza wake yamekuwa ni madogo, hali inayozidi kudhoofisha uwezo wake.
Chama chetu ni maskin atuwez kumudu wagombea wawil nchi nzima, ila kwa kuwa ccm mmezoea kuwacheka maskin nyie endeleen ila 25/10 mungu atatusimamia

Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
 
Ndo unaanzisha uzi gani huu sasa yaan meishiwa sera kabisa naona mnajifariji na bado lowassa kawakalia kooni mwaka huu hamchomoki hii inaitwa roba ya mbao UKAWA mbele kwa mbele HAPA MABADILIKO TUU NDO KAZI ZINAWEZA PATIKANaA
 
Uchizi Uwa Hauponi, Mbaya Zaidi Anapopatiwa Bange, Ndio Hali Ya Vibweka Inazidi!!! Hivi Ni Wapi Sammia Suluhu Na Magufuli Wanaenda Pamoja Kufanya Kampeni Zao, Mtukumbushe!! Kama Wao Hao Wanaenda Pamoja Kufanya Kampeni, Na Leo Kila Mmoja Yuko Kivyake!! Basi Nao WATAKUWA Wamefarakana Pia!! Tokea 1995 Napiga Kura Na Kuona Kampeni Za Wagombea Wenza Na Wagombea Urais Wakipambana Kila Mmoja Na Chaka Lake!! Labda Kwa VYAMA Ambavyo Uwezo Wa Kifedha Ni Mdogo!! But Kwa VYAMA Vikubwa, Hawaendi Pamoja!!! Ndio Maana Mh. Lowassa Yuko Arusha, Mh. Duni Haji Yupo DODOMA!! Same Na Mh. Saluhu Yupo Mwanza, Magufuli Pwani!!! HEBU Mtukumbushe Wapi Hapo Hukuna Mfarakano!!!??? Tehe! Tehe! Tehe!! 2015 Mwaka Wa Kupata Idadi Kubwa Ya Mazombi!!
 
CCM NI ILE ILE TENA NI ILE ILEEE
Wameshindwa kuimarisha na Kuwa na Umeme wa uhakika zaidi ya miaka 50 !! Kweli ni ile ile.

Wameshindwa kuimarisha kilimo cha uhakika na kisasa ili kujenga uchumi Imara zaidi ya kuanzisha kauli mbiu za kifisadi eti Kilimo kwa wakati hakuna export hata Ndege moja kwa mwezi kwenda nje kibiashara , hebu chungulia hapo Nairobi Airport uone mamboz !! TAFAKARI

Wameshindwa kutoa huduma bora ya afya zaidi ya mika 50 , kina mama wana lala mzungu wa nne hospital. Kweli ni ile ile !!

Mchango ya madawati kila siku elimu taabani baada ya miaka 50 ! NDUGU TAFAKARI.

Ufisadi kila kona, kweli ni ile ile !

Wasalaam !
 
Mgombea wa urais kupitia Chadema amezidi kupata wakati mgumu, hasa baada ya maelfu ya wana CHADEMA kuendelea kukimbia chama hicho na kujiunga na CCM.

Hata hivyo, bado maelewano yake na mgombea mwenza wake yamekuwa ni madogo, hali inayozidi kudhoofisha uwezo wake.

Source? unapiga ramli wewe
 
Mkiambiwa ukweli siku zote mnahamaki na mitusi, je, matusi yanaweweza kubadili ukweli ukageuka kuwa uongo? Mwingine anathubutu kusema eti ccm itashinda kwa kura za kutoka wapi, mbona ujiulizi huo utitiri wa watu wanaovaa nguo za chama na kujaza mikutano ya ccm wanatoka wapi? Au unadhani wanatoka nchi jirani? Ni kweli mabadiliko yangetarajiwa kutoka ukawa lakini kwa bahati mbaya yenu wengi tumeishastuka kuwa mabadiliko ya kweli yataletwa na JEMBE, TINGATINGA MAGUFULI.
 
Back
Top Bottom