Elections 2010 Lowassa lowassa

Masika

JF-Expert Member
Sep 18, 2009
723
30
Lowassa ameshinda
kura 30,000+
mpinzani mchungaji 2,000
hii ni noma si ana kashfa huyu jamaa
wamasai wamemsamehe
 
hao walioongeza kura ni masai wa Kenya....ambao hawajui habari zake
 
aaah sina habari

wewe ni mgeni wa Galilaya eeeh....mbona hata wa kwetu huwa wanaenda kupiga kura Kenya...majamaa wana vitambulisho viwili viwili...si unajua hawanaga makazi maalumu, hawana cha balozi wala katibu kata
 
tumuombee ububu tuuuuuuuuuuuuu
wote walioingia kwa njia ya udanganyifu ndo mwisho wao wa siasa lol
 
wewe ni mgeni wa galilaya eeeh....mbona hata wa kwetu huwa wanaenda kupiga kura kenya...majamaa wana vitambulisho viwili viwili...si unajua hawanaga makazi maalumu, hawana cha balozi wala katibu kata

no no no
nimeishi monduli 6 years +
kama hujui kupiga kampeni ki lugha imekula kwako
pia vituo hewa vya porini, mti mmoja +++
tukubali matokeo
lowasa mubabe ameleta shule++ameleta maji++ ameweka lamii hureeeee!!!!!
 
hao walioongeza kura ni masai wa Kenya....ambao hawajui habari zake
Nadhani ni ubnafisi wa wana Moduli kwa sababu huwa wanaona ametekeleza ahadi zake huwa hawajali ufisadi wake na elimu ndogo kwa wamasai huwezi amini Preta kuna sehemu nilikuwa nasimamia wa masai walikuwa wana kuja wanasema wanataka mmasai mwezake ukimuuliza jina la chama hajui hata nembo hajui nilikutana na watu 3 wa namna hiyo sasa sijui huko Moduli ukijumlisha na ufisadi wa Lowasa....
 
no no no
nimeishi monduli 6 years +
kama hujui kupiga kampeni ki lugha imekula kwako
pia vituo hewa vya porini, mti mmoja +++
tukubali matokeo
lowasa mubabe ameleta shule++ameleta maji++ ameweka lamii hureeeee!!!!!

Weee masika acha ushabiki kwa fisadi.
 
no no no
nimeishi monduli 6 years +
kama hujui kupiga kampeni ki lugha imekula kwako
pia vituo hewa vya porini, mti mmoja +++
tukubali matokeo
lowasa mubabe ameleta shule++ameleta maji++ ameweka lamii hureeeee!!!!!
Mi hapo ndio nyumbani kabisa, lakini jamaa hang'oleki kabisa.....! Ukitaka lowasa akufahamu we nenda katete kule...! Ukionekana kuwa na hoja za kishule hapo utakuwa adui mara moja...!
 
dU!!! Hivi jamani watu na akili zao wanampa kura Lowassa! amaKweli binadamu tumetofautiana kuna wanaoishi ili mradi anapumua na kuna sie wenye fikra za haki na maendeleo! MUNGU IBARIKI TZ NA WALIOPUNGUKIWA NA FIKRA WAKE!
 
Nasikia jana alienda Arusha mjini na kumuahidi Mhe. Lema, kwa kama angekubali kumuachia something yake (Batilda) ubunge, angmlipa Milioni 200! Mhe. Lema akamtoa baru!! Bravo Mhe. Lema!!
 
Ha ha! Wengi mmekumbwa na upepo wa ushabiki wa kisiasa,waliomchagua wameridhika nae na wamemchagua awe mwakilishi wao bungeni,acheni gubu!
 
Lowassa kwa kuchakachua ndiye mwenyewe.juzi alikuwa Arusha akijaribu mbinu zile zile lakini kashindikana kwa sababu hapa ni down town............
 
Back
Top Bottom