Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,643
- 21,266
Binafsi nimeshakata Lowassa!
Umeskia majibu ya lowassa kwa mwandishi wa habari aliemwuliza kwa kingereza! Lowasa amejibu kama vile alizaliwa Amerca
Labda kama anamaanisha akifyekwa hatokubali matokeo.
Huku wanauliza iwe je wazalilishaji watoto watolewe jela
Hata vituo vya TV vinajua rais ni Lowassa ndiyo maana anaonyeshwa live.
Ameyasema hayo akihojiwa mara baada ya kupiga kura sasa hivi huko Ngarashi, Monduli.
Pia amehojiwa kwa lugha ya kiingereza na kujibu bila wasiwasi.
Source: Azam two
...lowassa!
Sio lazima kiingereza.rais wachina anajua i love you tu na anaongoza taifa kubwaNimeona baada ya lowassa kupiga kura kuna waandishi wa habari wa vyombo vya habari kitaifa na kimataifa, balaa kwa magufuli kuna baadhi wanahoji kwa kizungu, sielewii!
Hahahaha, naona hatakubari kuojiwa
Umeskia majibu ya lowassa kwa mwandishi wa habari aliemwuliza kwa kingereza! Lowasa amejibu kama vile alizaliwa Amerca
Tofautisha kizungu cha kusoma na kuandika na kile cha kuzungumza