Lowassa kwa sasa CHADEMA ni jipu, litumbuliwe

Lowassa kwa sasa CHADEMA ni jipu, litumbuliwe

japo simpendi point yake yakuacha maandamao na uanaharati ni sahihi!!huwezi kuendekeza maanadamano na uanaharakati katika nchi yenye Uhuru ,mahakama,na democrasia!!ni muda Wa watu kufanya Kazi!! maandamano yanachelewe na uanaharakati yanachelewesha maendeleo ya watu na nchi kuwa ujumla
 
Mkuu kweli huyu jamaa hajui kusoma bali anajua kuandika tu maana hakuna sehemu ambayo UMEANDIKA UPUUZI MTUPU
 
japo simpendi point yake yakuacha maandamao na uanaharati ni sahihi!!huwezi kuendekeza maanadamano na uanaharakati katika nchi yenye Uhuru ,mahakama,na democrasia!!ni muda Wa watu kufanya Kazi!! maandamano yanachelewe na uanaharakati yanachelewesha maendeleo ya watu na nchi kuwa ujumla
hakuna Uhuru wala demokrasia acha uongp
 
chadema elite must rethink twice
kafanye wewe harakati kwenye kile KIKOBA chenu mnachokiita ACT WASALITI.Kikoba kimekimbiwa na katibu mkuu, mwenyekiti naye kabwaga manyanga mmebaki na Ayatullah tu anafanya harakati tweeter na Facebook!
 
are serious?
 
when it white say white when it is black say black
 
Hahaha haoooo!!!
Nabado kitaeleweka tu
Mrudishe kwanza pesa zake
 
Mimi siyo mpenzi wa Lowassa wala si CHADEMA lakini kwa hili lazima niseme, Lowassa alishasema mhusika mkuu wa Richmond ni yule aliekuwa raia namba moja ambae baada ya kustaafu alichukuliwa na helikopta kutoka Magogoni. Ukiunganisha doti raia yule ameshapewa kinga na raia namba moja wa sasa hivi kuwa atawalinda wasaafu. Sina mengi ya kusema.
 
Yaani Mimi nilishutuka tu alipoenda tume kuondoa mawakala baada ya uchaguzi
 
Lowasa si kama anaipenda chadema kutoka moyoni ila tu ametokea kuichukia ccm kutoka moyoni yeye na chadema ni sawa tu na Tevez alivyoenda westham ilikuwa ni mbinu tu.
 
Kuna kaukweli, kuacha harakati tubaki sasa sijui tunafanya nini??? Hata mimi naanza kuamini huyu jamaa anatekeleza siasa za Pombe kwamba CDM iwe kimya mpaka 2020. Hili sio sawa!
Me nashauri sio afukuzwe,ajipime tu mwenyewe akae pembeni mana kwakweli kama bado ana ndoto za kupata Urais!!!!....
 
thubutu!!!!mna ubavu Wa kumfukuza!???labda mtumie mandamano na uanaharakati wenu!!japo napo itawagarimu sana!!
Hivi huyu Assady anafanyaje kujitekenya na kijichekesha.Tangu lini wewe Syria uwe mshauri wa CDM? Acha hizo
 
Back
Top Bottom