assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,905
- 4,054
Mimi simkubali Mh Magufuli, na hata policy zake hivi sasa am done. but I chose Lowassa kwani there was no option.
Lowassa alidai mwenyewe akihojiwa na BBC Swahili kuwa baada ya uchaguzi ataenda kuchunga mbuzi, sasa mbona bado yupo Masaki?
Lowassa alikubaliwa kwa sababu ya popularity na kuchokwa kwa kiasi kikubwa kwa CCM na si kwa sababu ya political integrity.
Mpaka leo hajaweka wazi ushiriki wake katika ufisadi wa Richmond amebaki kusema mwenye ushahidi aende mahakamani, tuliaminishwa kuwa akija CHADEMA atasema ukweli wote what is Richmond na uhuska wake kstika sakata iyo, he never did.
Kusema CHADEMA iache harakati ni usaliti na dhambi kubwa kisiasa. CHADEMA imeundwa kiharakati na kiukombozi wa haki za raia, watu wamekufa, wameteswa,wameonewa, wamebaki vilema wakidai haki leo huyu mvaa suti na mashati ambaye hata hajawahi vaa gwanda maisha yake yote, aseme vueni magwanda. This is insult.
The time for Edward Lowassa has passed, is just a history. CHADEMA amkeni tafuteni new blood for the next contest. Lowassa hana tena political future.
Huu mchezo hautaki hasira, fanyeni evaluation enyi viongozi wa CHADEMA
Sema ukweli hata kama unauma, kwani kweli itakuweka huru.
Lowassa kwa sasa CHADEMA ni jipu, litumbuliwe