Lowassa kwa sasa CHADEMA ni jipu, litumbuliwe

Mimi simkubali Mh Magufuli, na hata policy zake hivi sasa am done. but I chose Lowassa kwani there was no option.

Lowassa alidai mwenyewe akihojiwa na BBC Swahili kuwa baada ya uchaguzi ataenda kuchunga mbuzi, sasa mbona bado yupo Masaki?

Lowassa alikubaliwa kwa sababu ya popularity na kuchokwa kwa kiasi kikubwa kwa CCM na si kwa sababu ya political integrity.

Mpaka leo hajaweka wazi ushiriki wake katika ufisadi wa Richmond amebaki kusema mwenye ushahidi aende mahakamani, tuliaminishwa kuwa akija CHADEMA atasema ukweli wote what is Richmond na uhuska wake kstika sakata iyo, he never did.

Kusema CHADEMA iache harakati ni usaliti na dhambi kubwa kisiasa. CHADEMA imeundwa kiharakati na kiukombozi wa haki za raia, watu wamekufa, wameteswa,wameonewa, wamebaki vilema wakidai haki leo huyu mvaa suti na mashati ambaye hata hajawahi vaa gwanda maisha yake yote, aseme vueni magwanda. This is insult.

The time for Edward Lowassa has passed, is just a history. CHADEMA amkeni tafuteni new blood for the next contest. Lowassa hana tena political future.

Huu mchezo hautaki hasira, fanyeni evaluation enyi viongozi wa CHADEMA

Sema ukweli hata kama unauma, kwani kweli itakuweka huru.

Mnalialia nin?Si mahakama ya mafisadi iko tayari?Tunasubiri mumpeleke huko!Msipofanya hivyo tutajua hamna lolote na mpigaji yuko msoga!
 
Lowassa ameongea kikomavu kabisa, amesema chama chenu kiache siasa za kihuni kifanye siasa safi.sasa bavichaaa povu linawafumuka.
 
Hakuna kosa Chadema tumelifanya kama hili.

2015 ulikuwa mwaka wa kubadili chama tawala. Ila Mbowe na wengine wameturudisha nyuma sana.

Mpaka sasa naichukia siasa.
sikubaliani na wewe...mngeitoa CCM kwa kutumia slaa???? big noooo
 
licha ya mtoa post kukili kwamba yeye ni fisiem lakini kuna kaukweli ndani yake nafikiri niwakati chadema kuanza mapema kutafuta kusawazisha mambo sio sawa taasisi kubwa kama chadema kuwe na mtu mmoja tu qualified for presidency kinacho takiwa watu wasijue ni nani safari hii atateuliwa na chama kugombea sio kama nionavyo sasa
 
Mimi simkubali Mh Magufuli, na hata policy zake hivi sasa am done. but I chose Lowassa kwani there was no option.

Lowassa alidai mwenyewe akihojiwa na BBC Swahili kuwa baada ya uchaguzi ataenda kuchunga mbuzi, sasa mbona bado yupo Masaki?

Lowassa alikubaliwa kwa sababu ya popularity na kuchokwa kwa kiasi kikubwa kwa CCM na si kwa sababu ya political integrity.

Mpaka leo hajaweka wazi ushiriki wake katika ufisadi wa Richmond amebaki kusema mwenye ushahidi aende mahakamani, tuliaminishwa kuwa akija CHADEMA atasema ukweli wote what is Richmond na uhuska wake kstika sakata iyo, he never did.

Kusema CHADEMA iache harakati ni usaliti na dhambi kubwa kisiasa. CHADEMA imeundwa kiharakati na kiukombozi wa haki za raia, watu wamekufa, wameteswa,wameonewa, wamebaki vilema wakidai haki leo huyu mvaa suti na mashati ambaye hata hajawahi vaa gwanda maisha yake yote, aseme vueni magwanda. This is insult.

The time for Edward Lowassa has passed, is just a history. CHADEMA amkeni tafuteni new blood for the next contest. Lowassa hana tena political future.

Huu mchezo hautaki hasira, fanyeni evaluation enyi viongozi wa CHADEMA

Sema ukweli hata kama unauma, kwani kweli itakuweka huru.

Lowassa kwa sasa CHADEMA ni jipu, litumbuliwe
Mi nadhani kuna tatizo kubwa sana kwenye uongozi wa CHADEMA, Mbowe amefanya kazi kubwa ktk harakati za kuikomboa Tz, sasa ampe kijiti mwingine, yeye inatosha
 
Back
Top Bottom