Lowassa kuzungumza na Taifa Jumapili hii

Lowassa kuzungumza na Taifa Jumapili hii

Lowassa chama cha majipu kinakuogopa sana.Angalia uchwara asije akakuua maana amechanganyikiwa
1469909287847.jpg
 
Hiki chama cha majambazi hakiaminiki. Mara umeme umekatika. Nina wasiwasi na hujuma kutoka mtaa wa lumumba.
 
CCM wameshapanga kujibu hata kabla ya kujua anaongea nini.....!
 
Lowasa anazungumza na Taifa ama anazungumza na Tido Mhando kupitia Azam Two? Acheni kujitowa ufahamu, Lowasa hana wadhifa wowote kiasi cha kusema anaongea/anahutubia taifa, yeye na Dovutwa au Hashim Rungwe ni sawa sawa.
Sawa gigy money
 
kusikia lowasa ujue mwendo kasi fc hawalali na uko kwenye ziara watasahau yaliyowapeleka waanze kuimba lowasa loh mnatia aibu had huruma
 
Naona vijana wa Lumumba sasa hivi itakua imeongezwa, sio buku saba tena maana wanapiga sana kazi kutwa nzima mitandaoni
 
Watanzania wengi watakuwa wanamsubiri kwa hamu kubwa sana kumsikia Mhe.Edward Lowasa akiongea na watanzania kupitia kituo cha TV Azamu 2 kuanzia saa tatu asubuhi asante sana kwa taarifa mkuu Molemo
Anayemuunga mkono Lowasa akapimwe akili ~~~ Msigwa


Ni heshima kwa Mungu kumzomea fisadi Lowasa ~~~~ Lema



Huwezi amini Hawa Leo ndio wapangusa viatu wakuu wa Lowasa!!!!


Acha pesa iitwe pesa
 
ukawa boy leo mnamwita jamaa mhesimiwa hahahaha kweli siasa haitaki hasira
 
Lowasa kiongozi na mmiliki mkuu Wa chadema jpili utuambie kwa nini hautimizi ahadi zako??

1. Ahadi ya kumleta Daudi Balali ili tuwaumbue ccm, ulikuwa unatudanganya??


2. Ahadi ya kwenda kuchunga Ng'ombe lini utatimiza??
 
Inaweza ikawa akatangaza kuachana na CHADEMA maana siyo baba wala mama yake. Alipolazwa Muhimbili wala hawakwenda kumjulia hali. Waliokwenda kumjulia hali ni wa CCM.

Muonekano wake kwenye hicho kikao kilichounda UKUTA ilionesha wazi haungi mkono. Yeye msimamo wake ni CHADEMA kuachana na siasa za uanaharakati. Kwa vile wamekaidi ushauri wake anaachana nao na hatajiunga na chama kingine cha siasa na kuonekana hana mkia. Atajikita kwenye biashara zake. Anatarajia kujenga viwanda vikubwa vikubwa zaidi ya vile vya Dangote.

We salute you our hero if you will accomplish this.
 
Babu Seya angekua ashatoka sahv. Viva Lowassa |2020| tupo nawe Baba
 
Back
Top Bottom