Lowassa kuzungumza na Taifa Jumapili hii

Nashangaa wenye imani na Huyu mtu asiyeweza kuongea Hata nusu saa.This guy will never become president of this country,I repeat "NEVER", Atabaki kuwa raisi wa mioyo yenu tu na humu JF,msiotaka kukubaliana na hilo hili swala litawasumbua kisaikolojia Kwa miaka mingi baadae.
 
Anataka kuzungumzia kuachiwa kwa uamsho na babu Seya nini? Ndio Sera za CDM hizo siku hizi ati!
 
WIKI moja baada ya kuwa gumzo kuu katika mkutano mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Edward Lowassa, Waziri Mkuu Mstaafu ambaye aligombea urais katika uchaguzi mkuu mwaka jana, Jumapili 31 Julai 2016 saa 3.00 asubuhi atafunguka juu ya mengi yanayosemwa juu yake.

Lowassa ambaye ni mjumbe wa Kamati kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na mwanasiasa maarufu zaidi nchini kwa sasa atazungumza kupitia kipindi cha “Funguka” kinachoendeshwa na mwandishi wa habari nguli Tiddo Mhando kupitia kituo cha televisheni cha Azam 2.

Katika taarifa iliyotolewa leo na Azam 2 inasema “Lowassa atafafanua na kueleza mengi kuhusu maisha yake marefu kisiasa

Aidha, Lowassa ambaye aligombea urais kwa tiketi ya Chadema, huku akiungwa mkono na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) amekuwa kimya kwa muda mrefu licha ya kuzungumzwa, kuandikwa kuelezwa na kutendewa mengi yanayomhusu bila yeye binafsi kujitokeza hadharani na kujibu.

Gumzo la Lowassa ndani ya mkutano mkuu wa CCM lililoenda sambamba na baadhi ya viongozi na wazungumzaji kumshambulia wazi wazi huku wakishidwa kujadili kwa kina mambo yanayohusu chama, linatajwa kuwa ni hofu ya CCM dhidi ya Lowassa.

Hayo yatajiri ikiwa ni siku tatu tangu aadhimishe mwaka mmoja tangu kuhama CCM na kuwataka wanaomuunga mkono wakiwa CCM waendelee kumpa siri za mambo yanayojiri CCM ikiwemo mikakati ya Rais Magufuli.
Ana nn cha kuxungumza anataka kurudisha ela zetu?
 
Daahh amechelewaaa habari ya mjini kwa sasa ni kuhamia dodoma hata watu washike ukuta
 
Wewe usipotoshe umma. Lowasa alistaafu lini ? Lowasa alilazimishwa kujiuzuru
 
Lowasa anazungumza na Taifa ama anazungumza na Tido Mhando kupitia Azam Two? Acheni kujitowa ufahamu, Lowasa hana wadhifa wowote kiasi cha kusema anaongea/anahutubia taifa, yeye na Dovutwa au Hashim Rungwe ni sawa sawa.
Cheo:mjumbe wa kamati kuu chadema, uliza swali jingine
 
Lowasa anazungumza na Taifa ama anazungumza na Tido Mhando kupitia Azam Two? Acheni kujitowa ufahamu, Lowasa hana wadhifa wowote kiasi cha kusema anaongea/anahutubia taifa, yeye na Dovutwa au Hashim Rungwe ni sawa sawa.
Hahahahaha uwiiiiiiiiii[emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Anayemuunga mkono Lowasa akapimwe akili ~~~ Msigwa

Ni heshima kwa Mungu kumzomea fisadi Lowasa ~~~~ Lema

Huwezi amini Hawa Leo ndio wapangusa viatu wakuu wa Lowasa!!!!

Acha pesa iitwe pesa
Mpaka leo hujajua nini maana ya siasa? pole sana.Viwanda vip? Mwaka unakaribia kuisha kuna kilichoaanzishwa ??? Kwa umri wako naona bado unaamini mtoto ananunuliwa dukani.
 
Hizo siasa wakafanye na wake zao ,siyo kwa nchi yetu
 
Watanzania wengi watakuwa wanamsubiri kwa hamu kubwa sana kumsikia Mhe.Edward Lowasa akiongea na watanzania kupitia kituo cha TV Azamu 2 kuanzia saa tatu asubuhi asante sana kwa taarifa mkuu Molemo
acheni kujitutumua. lowassa aongee na taifa kwani yeye ndio rais wa nchi hii?
 
K
Anayemuunga mkono Lowasa akapimwe akili ~~~ Msigwa

Ni heshima kwa Mungu kumzomea fisadi Lowasa ~~~~ Lema

Huwezi amini Hawa Leo ndio wapangusa viatu wakuu wa Lowasa!!!!

Acha pesa iitwe pesa
Kaanzishe thread yako kuhusu hayo tutakuja kukujibu natambua kuna mtu mkisikia jina la Lowasa mnatetemeka kama wagonjwa wa kifafa
 
Hat
Lowasa kiongozi na mmiliki mkuu Wa chadema jpili utuambie kwa nini hautimizi ahadi zako??

1. Ahadi ya kumleta Daudi Balali ili tuwaumbue ccm, ulikuwa unatudanganya??

2. Ahadi ya kwenda kuchunga Ng'ombe lini utatimiza??
Wewe inaonekana uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana ngoja nkupuuzie
 
Back
Top Bottom