Leak
Platinum Member
- Feb 22, 2012
- 52,939
- 43,569
Ruttashobolwa akili yako iko sawa kabisa?
Sound mind!
Last edited by a moderator:
Ruttashobolwa akili yako iko sawa kabisa?
Huyo jamaa ni wa kumuonea huruma Chadema wamevuruga akili yake yote na sasa anasound kama pimbi
mimi ninampenda tu coz ajibizani majukwaani, wala hamtukani mtu, huyu mtu sijawahi msikia hata akitamka Mboye, Dr. Silaa wala akitamka neno CHADEMA, MUCH RESPECT. ANA SIASA NZURI SANA ZA KUTOCHAFUA WENZAKE, UMAARUFU WAKE NI VITENDO
ASUME ASINGEKUWA NA KASHFA YA RICHMOND, NANI ANGEMKAMATA HAPA TZ
Huyo jamaa ni wa kumuonea huruma Chadema wamevuruga akili yake yote na sasa anasound kama pimbi
TZ needs lowasa like christians need Jesus
Lowassa kiboko yake Sumaye 2015
Team Lowassa jipelekeni kwa Sumaye kabla hapajaharibika zaidi
mkuu naomba usinitafutie ban sidhani kama ni busara kuchanganya imani za watu na siasa
wadau!!
Ni waz sasa lowassa hakamitki,katika kile kinachoonekana kwamba mh lowassa ni moto wa kuotea mbali,juma pili hii atafnya harambee ya aina yake ili kuwawezesha waendesha boda kila mmoja kumiliki boda boda,ni jana tu mahasimu wa lowassa wamekuwa wakimshambulia,ila lowassa ameamuwa kupiga kimya anafnya kwa vitendo,
Makonda juzi alitumika na membe na sitta kuja kumshambulia mh lowassa,lakin kutokana na busara za lowassa hakutaka kujibizna naye kwasabu cyo saiz yake.namshauri makonda amesha washa moto kwasabu hao wenyew walio mtuma wanaujuwa moto wa lowassa na ndio mana wao wamemuweka front makonda wasikilizie kinacho endelea,
Lowassa mwaka huu atawaonyesha subir moto zaid unakuja
TZ needs lowasa like christians need Jesus
TZ needs lowasa like christians need Jesus
Usimchukie Lowasa kwa sababu ya Ukaskazini wake na Ukristo wake.Lowasa ni Jembe kuliko Kiongozi yeyote wa CCM kwa sasa.
May God, naanza kupata woga juu ya Lowassa.
Hv itawezekana watu mara hii wamesahau madhambi ya Lowassa, na wanaendelea kulitajataja jina lake kwa presidency?
Tumekwisha.
TZ needs lowasa like christians need Jesus
TZ needs lowasa like christians need Jesus