MTRANSPARENT
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 740
- 205
umekwisha mwenyewe, tunafaham kaz aliyoifanya dhid ya wakurugenz michwa wamepumzka pinda alvoingia. tnahitaj mtekelezajnasio mlalamikaj. mbowe na slaawakewameifanya cdm saccos yao hvo ikulu wasahau kabxaaaaaa labdasiku ZZK akishika uenyekit coz anaweka maslah ya nchi mbele wanainchi watamuelewaMay God, naanza kupata woga juu ya Lowassa.
Hv itawezekana watu mara hii wamesahau madhambi ya Lowassa, na wanaendelea kulitajataja jina lake kwa presidency?
Tumekwisha.
Hapo ndipo ninapoamini wa TZ tuna njaa sana, yaani jambazi akikuingilia leo ndani akakuibia mali zako zote na kukuacha katika umaskini, kesho akikupa mwaliko ukala na kunywa kwa kutumia hela yako akakuomba umuonyeshe mali zako zote zilizobaki ili akusaidie, wewe unapiga makofi na kusema ni mtu mzuri, bila kuona achotumia ni chako, naanza kupata picha kwanini serikali haitaki kuboresha elimu ili iendelee kuzalisha mambululaMay God, naanza kupata woga juu ya Lowassa.
Hv itawezekana watu mara hii wamesahau madhambi ya Lowassa, na wanaendelea kulitajataja jina lake kwa presidency?
Tumekwisha.
Kumbeeee!After Kikwete follows Lowasa.
TZ needs lowasa like christians need Jesus
TZ needs lowasa like christians need Jesus
tena si lile la kukokotwa na ng'ombe, ni jembe la trekta, edo hoyeeeeeeee, wape baba, wape ma ccm hayooooo, rais raiS rais RAIS, EDO HOYEEEEEEEEEEE,Edo ni jembe
CCM watake wasitake, atakayeokoa jahazi la Urais NI MWANAMKE. Hata waseme nini, aliyebaki ni ASHA ROSE MIGIRO!
Huyo ndiye nyota aliyetabiriwa kuikomboa CCM kwenye suala la urais.
Nyerere alisema "Ukiona mtu anatumia fedha nyingi ili aingie Ikulu, mwulizeni: Kuna biashara gani pale Ikulu? Akasema mwulizeni mpango wake wa kurejesha hizo pesa. Akasema Ikulu ni mahali patakatifu."
Unadhani Mwalimu alikuwa anamzungumzia nani kama si huyu huyu Lowassa anayediriki kuingia kwenye Uislam ili mradi tu aweze kupata kura za Waislam?
NITAZIDI KUSEMA BILA WOGA!
Lowasa mwanaume wa shoka- Sofia Simba.
HAKUNA ATAKAYEIOKOA CCM ZAID YA LOWASA, Isitoshe walishakubaliana kabisa na kikwete kuwa baada ya kikwete ni lowasa, ccm kwa nini tugeuke ahadi tuliyowekeana na lowasa?! huu ni uhuni, isitoshe kikwete na lowasa hawakukutana barabarani. lowasa ndo chaguo sahihi la ccm.CCM watake wasitake, atakayeokoa jahazi la Urais NI MWANAMKE. Hata waseme nini, aliyebaki ni ASHA ROSE MIGIRO!
Huyo ndiye nyota aliyetabiriwa kuikomboa CCM kwenye suala la urais.
Nyerere alisema "Ukiona mtu anatumia fedha nyingi ili aingie Ikulu, mwulizeni: Kuna biashara gani pale Ikulu? Akasema mwulizeni mpango wake wa kurejesha hizo pesa. Akasema Ikulu ni mahali patakatifu."
Unadhani Mwalimu alikuwa anamzungumzia nani kama si huyu huyu Lowassa anayediriki kuingia kwenye Uislam ili mradi tu aweze kupata kura za Waislam?
NITAZIDI KUSEMA BILA WOGA!
Jamani siipendi CCM hata chembe, ila Lowasa namkubali maana hata Richmond si yeye ni Mkuu wa K.... Kumbukeni alivyosema pale Dodoma kwenye kikao cha CCM, Mkuu inamaana kuna ambacho hukijui au unataka niseme Mkuu wa K akakaa kimya. Hata hivyo Richmond kwani imeishia wapi? Naomba tusiwe wepesi wa kusahau Lowasa is a man of action, I admire his hard working spirit.
TZ needs lowasa like christians need Jesus
Hakika wewe si pepo, mzimu wala jini bali ni shetani mwenyewe.
Laana za viumbe wote tangu mwanzo wa ulimwengu ziwe juu yako ni kizazi chako chote mwana wa ushenzini wewe.
Laana za Buzwagi, IPTL, Richmond, Songas, Meremeta, Deep green na kuzimu yote zishikamane na maisha yako yote Dagoni wewe.