Kweli hujielewi kabisa, pale wanaongea ILANI siyo kushindana kwa kombolela. Haina haja kuongea kwa sauti kubwa ukafikiri unashawishi bali hata maneno mawili yenye mguso kwa wananchi na msikilizaji.soon zitaanza kwa wagombea mbalimbali wa uraisi.
imagine mh. lowasa kwenye debate huku anatetemeka na akipewa maswali magumu itakuwa hatari. magufuli, bibi ana mughirwa wako vizuri
option
kukimbia debates zote au kutuma mwalilishi like mbowe,mbatia ama lissu.
sema ukweli hata kama unauma
.. Kama kuna magombea wa urais atakwepa mdahalo basi atakuwa ametunyima haki ya kumhoji juuya dhamira yake ya kutaka kuwa kiongozi wetu. Hali hii itatupa mashaka juu ya uwezo wake wa kuelezea, kupambanua au kuamua mambo ambayo ni changamoto za kila siku kwenye ofisi hio kubwa kwenye nchi yetu!. Atakuwaje Amiri jeshi Mkuu kama hawezi kuongea na wananchi wake sembuse makamanda wakati wa vita?? .. Mdahalo lazima ili tujue nani kondoo na nani mbwa mwitu!!.Soon zitaanza kwa wagombea mbalimbali wa urais.
Imagine Lowassa kwenye mdahalo huku anatetemeka na akipewa maswali magumu itakuwa hatari. Magufuli, Mamana Mughwira wako vizuri
Option
Kukimbia debates zote au kutuma mwalilishi like Mbowe,Mbatia ama Lissu.
Sema ukweli hata kama unauma.
Really??.. utaelezea wananchi ajenda ya maendeleo yako kwa maneno mawili na kuyafanyia kazi mika mitano kwa vipindi vya dakika kumi kumi???Kweli hujielewi kabisa, pale wanaongea ILANI siyo kushindana kwa kombolela. Haina haja kuongea kwa sauti kubwa ukafikiri unashawishi bali hata maneno mawili yenye mguso kwa wananchi na msikilizaji.
Lowasa ni rais anaesubiri kuapishwa
Haina haja ya kutumia masaa mengi kwa kitu cha kueleweka kwa dk.5,Lowassa atosha.Rais atafungua bunge kwa hotuba ya dakika tano? Eti maneno yenye mvuto. Rais utahutubia UN kwa Dakika 5. Acheni masihara ninyi hata kama mna mahaba naye si kihivyo. Rais ni lazima aonyeshe uwezo wa kueleza kwa kina kile achoamini.
Ha ha ha ha ha ha ha! Fisadi wenu mwaka huu ataata maana hata kusimama ni shida.
hahaaaa......lowasa ni maarufu sanaa.....kila mahal anatajwaaa....
Mdahalo ccm wamekuwa wakikimbia kila mwaka imekuwaje mwaka huu?
Ccm mmeshachemsha lowassa hana muda wa kupoteza
Haina haja ya kutumia masaa mengi kwa kitu cha kueleweka kwa dk.5,Lowassa atosha.
fisadi wetu?sawa;
1.andrew chengen
2.rostam azizia
3.william ngeleya
3.first son
4.first father
5.ezekiel maigo
6.february mauzi
7.John Kilevi Padlock
the list goes on and on and on .ni wana cco wote hao.hauwaoni?wewe itakua unalipwa 50 kwa siku sababu unahangaika na ccm sana.
Mdahalo ccm wamekuwa wakikimbia kila mwaka imekuwaje mwaka huu?
Ccm mmeshachemsha lowassa hana muda wa kupoteza