Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,268
Hahahahaaa, kweli mapinduzi daima. Leo hii chadema ndio mnaokimbia mijadala?
Cdm ni wasomi wa kweli siyo ccm wenye digrii za kutunukiwa
Hahahahaaa, kweli mapinduzi daima. Leo hii chadema ndio mnaokimbia mijadala?
Huo ndio ukweli, anaetoa ahadi nyingi kila anakokwenda, maana yake hana vipaumbele wala uwezo wa kutekeleza, kama huyo anaemalizia muda wake.
Jk alikimbia debate mwaka 2010 Ina maana leo una msakama?sema tukuweke kwenye kumbukumbu zetu
kwan ni lazima kwenda?
tumezoea ccm wanakimbia midahalo mwaka huu cjui nan atakimbia
Kushiriki mdahalo hakuna uhusiano moja kwa moja na uwezo wako wa kutekeleza unayoyaahidi,kumbuka kuongea ni talent,na si ya kila mtu!,KUMBUKA DAVID CAMERON WA WINGEREZA ALIKIMBIA MDAHALO UCHAGUZI ULIOPITA NS BADO ALIPITA KWA KISHINDO!.
Ha ha ha nahis wanaweza kuwa ccm B[/QUOT
A. C. T mwandiga
soon zitaanza kwa wagombea mbalimbali wa uraisi.
imagine mh. lowasa kwenye debate huku anatetemeka na akipewa maswali magumu itakuwa hatari. magufuli, bibi ana mughirwa wako vizuri
option
kukimbia debates zote au kutuma mwalilishi like mbowe,mbatia ama lissu.
sema ukweli hata kama unauma
Ukiwa ndani ya serikali sio fisadi, ila ukitoka tu wewe ni fisadi, inachekesha sana!!Ha ha ha ha ha ha ha! Fisadi wenu mwaka huu ataata maana hata kusimama ni shida.
Ukiwa ndani ya serikali sio fisadi, ila ukitoka tu wewe ni fisadi, inachekesha sana!!
kwani ile midahalo ambayo ilikuwa inaendeshwa na tiddo mbona CCM walikuwa wanaikimbia ila hukuja kuandia uzi au ulikuwa bado ujajiunga JF,?
soon zitaanza kwa wagombea mbalimbali wa uraisi.
imagine mh. lowasa kwenye debate huku anatetemeka na akipewa maswali magumu itakuwa hatari. magufuli, bibi ana mughirwa wako vizuri
option
kukimbia debates zote au kutuma mwalilishi like mbowe,mbatia ama lissu.
sema ukweli hata kama unauma
Ukiwa ndani ya serikali sio fisadi, ila ukitoka tu wewe ni fisadi, inachekesha sana!!
soon zitaanza kwa wagombea mbalimbali wa uraisi.
imagine mh. lowasa kwenye debate huku anatetemeka na akipewa maswali magumu itakuwa hatari. magufuli, bibi ana mughirwa wako vizuri
option
kukimbia debates zote au kutuma mwalilishi like mbowe,mbatia ama liss
sema ukweli hata kama unauma
Kwani jk alikwenda debate ipi vileee....nikumbushe kidogoo....