Lowassa kusulubiwa vikali kwenye mdahalo

Lowassa kusulubiwa vikali kwenye mdahalo

Huyo Lowassa hata ikitokea miujiza kashinda urais sijuwi hotuba yake ya kwanza itakuwaje kuongea dk 10 hawezi manake hata gwaride la jeshi kufanya ukaguzi hataweza. Mungu amsaidie apate nguvu katika afya yake.
 
soon zitaanza kwa wagombea mbalimbali wa uraisi.
imagine mh. lowasa kwenye debate huku anatetemeka na akipewa maswali magumu itakuwa hatari. magufuli, bibi ana mughirwa wako vizuri

option
kukimbia debates zote au kutuma mwalilishi like mbowe,mbatia ama lissu.

sema ukweli hata kama unauma

Barabara mbovu,Mradi wa Dart,Samaki,Uvunjaji jengo la Tanroads na kujenga jengo jingine hapohapo,BOAT,kuuza nyumba na kuwapa vimada.Haya maswali yatakausha sauti ya magufuli
 
Mwazo wa kampeni Alisema atatumia gari tu katika safari Zake zote hila juzi katumia ndege kwenda musoma tayari ahadi ya kwanza kaishasahau hayo mengine atayakumbuka kwa nini watanzania hatuna utaratibu wa kuhoji tangu Uhuru umepiga kura nini matokeo ya kura yako je imekupa majibu sahihi na kama aijakupa majibu nini hatma ya kura yako mwaka huu ifikapo October 25 kwa hatma ya maisha yako na kizazi chako
 
Lowasa anamaliza mafuta ya ndege bure tu..kwan sis tulishamchagua siku nying bado kuweka VEMA tuu
 
siasa za mwaka huu viseversa ya kufa mtu...waliokuwa analilia midahalo sasa wanaikataa....waliokuwa wanaona kwao midahalo mwiba mchungu sasa wanaililia
 
Kwani Tangu lini Lowasa ametekeleza jambo lolote zaidi ya zile ishu za ufisadi na Rushwa sema kama kunakingine katekeleza zaidi ya huo ufisadi.

Natamani kujuwa maoni yako juu ya chenge, Tibaijuka et al; 2015
 
Lowasa lowasa kwa kila siku uzi kibao kuhusu lowasa hivi hamuoni kuwa mnampa kick kiasi kwamba watu watajiuliza hivi yeye ana nini?
 
Tunapojadiri haya mambo ni vizuri tukajiuriza hv kwe li Tanzania aitaji mabadiriko je utajiri tulionao unalingana na maisha ya watanzania yalivyo au tumeamua kukubari kuwa haya ndio maisha mungu katuchaguria hv watu wanyoteseka hatuwaoni au tunajitoa ufahamu tu!
 
soon zitaanza kwa wagombea mbalimbali wa uraisi.
imagine mh. lowasa kwenye debate huku anatetemeka na akipewa maswali magumu itakuwa hatari. magufuli, bibi ana mughirwa wako vizuri

option
kukimbia debates zote au kutuma mwalilishi like mbowe,mbatia ama lissu.

sema ukweli hata kama unauma

Nikumbushe Ccm ilikubali mdahalo gani 2010?

Unajua kwa hakika nini kilitokea Tido akanyimwa extension ya contract TBC.

No matter what Ukawa will do every thing at its favour
 
JMK analaumu,JPM analaumu,Wabunge wa ccm wanalaumu,watendaji serikalini wanalaumu,wapinzani wanalaumu,nawaomba tuipumzishe ccm ili tuondokane na lawama.Chagua Madiwani na wabunge wa UKAWA,Chagua LOWASSA!
 
soon zitaanza kwa wagombea mbalimbali wa uraisi.
imagine mh. lowasa kwenye debate huku anatetemeka na akipewa maswali magumu itakuwa hatari. magufuli, bibi ana mughirwa wako vizuri

option
kukimbia debates zote au kutuma mwalilishi like mbowe,mbatia ama lissu.

sema ukweli hata kama unauma

Itabidi akimbie kama jk alivyomkimbia Dr slaa..
 
...kwani debate ndio nini? ipo kwenye taratibu za nec? Lowassa anawakimbiza field nyie mnajiliwaza na debate!! angalieni vizuri magamba, mtaletewa 'vichwa' kwenye hizo debate mnazo shadadia mtakimbia wenyewe..
Nyie endeleeni tu kuimba, lowasa, lowasa,lowasa!
 
Huu siyo muda wa maneno mengi sisi tunataka vitendo....magamba mnakuwaga na ahadi lukuki kutekeleza zeroooo
 
mbona kaulizwa maswali magumu na Tido lakini kayapangua ile mbaya...na debate itamuongezea ushindi zaidi..
 
huyo lazima akimbie mdahalo, kama aliweza kukataa kujibu swali la richmond dodoma atashindwaje kukataa mjadala?

halafu ndo aseme anahitaji urais... kha!
 
Chaguzi zote mbili namaanisha ule wa 2005 na ule 2010 ulishawahi kumuona JK akihudhuria midahalo?

Kama mnakumbuka si alikuwa akiingia mitini kiana dakika za mwisho. Na hapo hapo chama chake kikidai kuwa hana muda wa ku debate ilihali wakijua fika kuwa mgombea wao alikuwa dhaifu na goigoi na kitendo cha kumpandisha kwenye jukwaa la midahalo ilikuwa ni kama kumvua nguo hadharani.
 
huyo lazima akimbie mdahalo, kama aliweza kukataa kujibu swali la richmond dodoma atashindwaje kukataa mjadala?

halafu ndo aseme anahitaji urais... kha!
 
Tunahitaji MABADILIKO CCM wameshindwa hata waseme nini mwaka huu hawana lao bye bye CCM
 
Back
Top Bottom