MTENDAHAKI
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 4,013
- 1,448
Kumekuwa na maswali mengi endapo mgombea wa urais kupitia CHADEMA Mzee Lowassa kama ataendelea kubakia CHADEMA au Laa mara baada ya uchaguzi, watu wake wa karibu wanasema kunauwezekano mkubwa akastafu siasa au kurejea CCM japo itategemeana na plan B yake kushindikana.
Matarajio yake ni kuzidi kuwa na nafasi ya juu ndani ya chama chake cha sasa hali ambayo italeta upinzani mkali baada ya uchaguzi.
Huyo mzee atashitakiwa kwa wizi wa feza za umma
nasiki alitumwa na ccm kuhudhoofisha upinzani,kama hatashinda uchaguzi huu basi na upinzani utakuwa umeisha tz.
Utamfungulia mashtaka wewe ama unaongea tu kwa kua haulipii ukisemacho
Raisi wa Nchi ipi?
kabla ya kumshitaki nakuombeni muombe ushauri kwanza kwa Kikwete kwa nini anashindwa kumchukulia hatua kama kweli ni mwizi wa mali ya uma
rais wa mafisadi labdaLowassa ndie Rais oktoba 25.
ata aki staafu,tunachokitaka cc n kuizika ccm ikiwa hai,,