Ocampo four
JF Senior Expert Member
- Feb 28, 2014
- 5,789
- 2,159
- Thread starter
- #41
sasa ocampo four inakuwaje unavunja kanuni ? inakimbilia saa 4 na ulisema mambo yanaanza saa 3 , mbona kimya bhana ?
Mambo yanakuja, wanaKigamboni wameonyesha kweli hawamtaki yule jamaa aliyewambia wapige mbizi