Ocampo four
JF Senior Expert Member
- Feb 28, 2014
- 5,789
- 2,159
Washwahili wanasema "mtoto hatumwi dukani" kesho wananchi wa Kigamboni, Mbagala na Ukonga hawatadiriki hata kwenda dukani au kazini.... Wananchi hao wameonyesha kiu kubwa ya kumlaki jemedari wa mabadiliko Ndg. Edward Lowassa atakapokuwa na mikutano Kigamboni, Mbagala Zakeem na Ukonga...
Kwa mara nyingine Dar itasimama na shughuli kusimama kwa masaa kadhaa!.....
Muda... Angalia hapa chini tafadhali!..... Usithubutu kukosa...!
Kwa mara nyingine Dar itasimama na shughuli kusimama kwa masaa kadhaa!.....
Muda... Angalia hapa chini tafadhali!..... Usithubutu kukosa...!