Lowassa kusimamisha Kigamboni, Mbagala na Ukonga kesho

Lowassa kusimamisha Kigamboni, Mbagala na Ukonga kesho

Yaani hapo october ni kuamka mapema sana kusha weka kura ya ndiyo kwa EL tene tiki ya ndiyo isipitile nje ya kibox, weka ya kuishia ndani tu: halafu subiria kuapishwa kwa Ngoyai maana siye tushachoka na hiyo chichiem na mwaka huu tayari ishakuwa chechemea.
 
Washwahili wanasema "mtoto hatumwi dukani" kesho wananchi wa Kigamboni, Mbagala na Ukonga hawatadiriki hata kwenda dukani au kazini.... Wananchi hao wameonyesha kiu kubwa ya kumlaki jemedari wa mabadiliko Ndg. Edward Lowassa atakapokuwa na mikutano Kigamboni, Mbagala Zakeem na Ukonga...

Kwa mara nyingine Dar itasimama na shughuli kusimama kwa masaa kadhaa!.....

Muda... Angalia hapa chini tafadhali!..... Usithubutu kukosa...!

Asante
 
Dar yanatakiwa majimbo YOTE!

Dar ya leo si ile uliyoijua!

IMEIVA KWA MABADILIKO KULIKO UNAVYOWAZA!

Ikitokea hivyo mikoa mingine kitu gani bwana!!!???. Mji mkuu ukiwekwa kati hakuna kurudi nyuma.

Angalia nchi zote zilizofanya mabadiliko mambo huanzia mji mkuu kisha husambaa nchi nzima
 
Viva ukawa viva mabadiliko wana Dar es salaam sisi huku mwanza magamba tushayafuta kwenye ramani ya jiji kwa sasa yanatafutana mchana kwa tochi
 
Ikitokea hivyo mikoa mingine kitu gani bwana!!!???. Mji mkuu ukiwekwa kati hakuna kurudi nyuma.

Angalia nchi zote zilizofanya mabadiliko mambo huanzia mji mkuu kisha husambaa nchi nzima

Sasa hapa kwetu yameanzia huko kwingine na finishing mji mkuu hapo okt 25!!!
 
Ni jambazi sugu.
Kuna misemo wa waswahili kuwa mtoto mkabidhi mchawi amlee. Safari hii naona kama jambazi sugu anakabidhiwa fuko la fedha alitunze siujui nani atamwibia?
 
sasa ocampo four inakuwaje unavunja kanuni ? inakimbilia saa 4 na ulisema mambo yanaanza saa 3 , mbona kimya bhana ?
 
Viva ukawa viva mabadiliko wana Dar es salaam sisi huku mwanza magamba tushayafuta kwenye ramani ya jiji kwa sasa yanatafutana mchana kwa tochi
sisi kyela tumemaliza kazi kitambo sana , bendera za ccm kwa sasa zinatumika kwenye mashamba ya mpunga kwa ajili ya kufukuza ndege wadokozi wa mazao .
 
Back
Top Bottom