ila jamani tukiacha chuki ambazo hazina msingi, ni halali lowasaa kuandamwa hivi? Tukumbuke na mema alioifanyia nchi yake
Lowassa anataka kujibu mapigo kwa SS baada ya mahojiano na ITV juzi J4.
Hakika hii ni vita kali ndani ya CCM. Kikwete asipokuwa makini CCM kinamfia mikononi. Yetu macho na masikio.
Wanampinga kwa sababu ya ukristo wake.
Wewe ni Makalio FM ya BakwataHe is now on 90.5 Rozari FM
nadhani leo kila baada ya sentensi atamalizia kwa kusema ''watanzania wanajua na dunia inajua'''
Mbona huhoji Manji pamoja na kudhihirisha kwamba ni mshiriki wa Wizi wa Pesa za EPA kwa kurudisha serikalini lakini bado hajawahi kushtkiwa!Viongozi wa nchi hii wamekaa kwa kulindanalindana tu, sasa huyu lowasa hata mwalimu Nyerere aliwahi kuhoji wapi alipata hizo mali anazo miliki na akampinga alivyotaka kugombea urais, still akaingiza nchi kwenye kashifa ya richmond, leo hii bado tu yupo huru tena kwenye medani za siasa, jamani sheria na vyombo vya usalama vinafanya kazi zake kweli???? ingekuwa ni amri yangu ningemkamata hapohapo kwenye press conference. Ingekuwa China leo hii Lowasa angelikuwa ni historia tu.
Viongozi wa nchi hii wamekaa kwa kulindanalindana tu, sasa huyu lowasa hata mwalimu Nyerere aliwahi kuhoji wapi alipata hizo mali anazo miliki na akampinga alivyotaka kugombea urais, still akaingiza nchi kwenye kashifa ya richmond, leo hii bado tu yupo huru tena kwenye medani za siasa, jamani sheria na vyombo vya usalama vinafanya kazi zake kweli???? ingekuwa ni amri yangu ningemkamata hapohapo kwenye press conference. Ingekuwa China leo hii Lowasa angelikuwa ni historia tu.

Hii nchi inaendeshwa kama movie.azungumze tu, lakini urais atausikia kwenye bomba, habadilishwi kitu mtu hapa.