Lowassa kuhutubia saa 3 usiku huu ITV


Mi nimetulia na togwa hapa naisikilizia...
 
Azam Two wameirudia kamili Mzee katikati kakwama akaomba dk moja huku anasinzia hawa jamaa hawakuedit, kwa kweli sasa nimeamini Mzee huwezi Afya ni tatizo
 
Mhe. LOWASSA Yupo LIVE Azam two anasoma Ilani. Kule ITV sauti ilizingua.
 
Daah!! Hii style mpya kutoka wapi mkuu tujuze maana hata huko Marekani na Ulaya tunaona wagombea urais wanatangaza sera zao kwenye mikutano kwenye tv mara nyingi ni midahalo.

Hii ni kutoka Monduli, acha utumwa siyo kila wafanyacho wazungu uige!
Grow up!!!
 
mkuu niambia midahalo masaa 4 utamficha wapi?
Pole sana mkuu lakini nilikwambia tangu kwenye kukatwa utanikumbuka,


Huna jipya wewe zaidi ya kuongopewa na makomeo kuwa atakupa kibarua,pooooleeeeeee
 
Mtavurugwa sana mwaka huu ma ccm
Ni suala la msingi nililokuwa nauliza lakini mahaba niue na ushabiki uliopindukia kimo umefunika ubongo wako unakwenda tu kama zombie. Nani alikwambia mie ni CCM? Mamako?
 


kamuulize yafuatayo,
1,bunge ataliutubia kwenye mitandao?
2,sherehe za kitaifa ataziutubia kwenye webset?
3,mikutano ya kitaifa na kimataifa ataihutubua kwenye midandao?
4,sherere za majeshi ataziutubuia kwenye mitandao ?
Kamisheni za maofisa wa kijeshi na vyombo vya dora atazitolea kwenye mitandao?

Akikupa majibu haya njoo tena utujuze mkuu,

na hayo mambo ni lazima kwa mjibu wa katiba ya jamuhuli ya muungano wa tanzania.

 
Miaka yangu 50+ hapa duniani sijaona Rais mwenye akili mingi kama Mh.LOWASSA. The Guy is Going Digital...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…