creative ipi afya mgogoro mzee ,mwambie kuna midahalo mwaka huu tena ni masaa 4,atajua tu ,
hivi ccm mmeshindwa na nyie kumuandikia huyo mwenzenu nae asome kama el!!?
anatisha wapi wenzio wanajua hafiki mwisho subili uone,utamkimbia,
sumaye kashasema kuwa makomeo ni mgonjwa ndio maana anakimbiliaga kutibiwa ulaya,na ndio maana kumbe alienda kupiga kikombe cha babu loliondo
kitendawili atakuwa amekaa au amesimama?
Tuliposema UKAWA wamechemsha wafuasi wametokwa povu, viongozi wa UKAWA wameliona hilo sasa wanataka kufidia hayo Lowassa atahutubia usiku huu saa 3 kupitia ITV.
Chanzo twitter account ya ITV
Keshamaliza
sikilizeni nondo,magamba hayo makandokando yenu pelekeni jukwaa la udaku
kitendawili atakuwa amekaa au amesimama?
mwenzio adi sasa ni mikoa 5 anaenda tena kwa gari hauwezi kumlinganisha na mtu ambaye hata kusimama 30 mnt hawezi,
pia kamuulize sumaye alipomaliza uwaziri mkuu alienda marekani kufanyanini? Akikupa majibu niambie,
Acha upotoshaji baada ya kugundua ile website inachenga tupu, na baada ya watu kukosoa mpango wao kutaka waitafute kwenye website, haiwezekani muda kuwa mfupi wakati shughuli zilianza mapema mchana, sema movie yenu haina staring