Lowassa kuhutubia saa 3 usiku huu ITV

Hana jipya,wameshindwa kuitambulisha ilani,anakaa ku quote mambo ya blair eti elimu,elimu elimu! malofa bwana,wenye elimu(kujitambua) dk slaa na lipumba waliyaona haya! haha mazombi yameungana

We mdada umeangalia lakini hotuba ya mh.. ITV mda huu.
Umeona ilani ilivoshiba ile hakuna porojo mule wala kulalamika
 
Daah!! Hii style mpya kutoka wapi mkuu tujuze maana hata huko Marekani na Ulaya tunaona wagombea urais wanatangaza sera zao kwenye mikutano kwenye tv mara nyingi ni midahalo.

Mzee unahangaika si uwaache wapiga kura waamue kwenye sanduku!
 
Daah!! Hii style mpya kutoka wapi mkuu tujuze maana hata huko Marekani na Ulaya tunaona wagombea urais wanatangaza sera zao kwenye mikutano kwenye tv mara nyingi ni midahalo.

Lowasa ni creative siyo kama ma ccm yanakopy kila kitu
 
Tuliposema ukawa wamechemsha wafuasi wametokwa povu, viongozi wa UKAWA wameliona hilo sasa wanataka kufidia hayo lowassa atahutubia usiku huu saa 3 kupitia ITV chanzo twitter account ya ITV
Lowassa ulikuwa wapi masaaa yote?

WEWE UMESHINDWA KUSIMAMA KWASABABU NI MGONJWA, HALAFU UNAKUJA KUDANGANYA WATU KWENYE TV.

MLIKUWA MNA SIKU NZIMA JANGWANI SASA MNAKUJA NA VISABABU NJAA ETI MUDA HAUTOSHI?

ULIKUWA WAPI TOKEA SAA NANE MCHANA?
 

Kainamisha kichwa kwenye karatasi aliyoandikiwa mwanzo mwisho. Hana anachokifahamu maskini wa shetani. Ni dalili kuwa hafahamu anachokifanya. He is not a leader anyway.
 

Mkuu lowasa anatisha na ndio maana jk anamuogopa sana
 

Nimekukubali kiongozi
 
Dah mkutano kama huu wa leo angekuwepo Dr. Slaaa watu wangefaudu aisee, hivi bado yuko likizo tu
 
Lowassa ulikuwa wapi masaaa yote?

WEWE UMESHINDWA KUSIMAMA KWASABABU NI MGONJWA, HALAFU UNAKUJA KUDANGANYA WATU KWENYE TV.

MLIKUWA MNA SIKU NZIMA JANGWANI SASA MNAKUJA NA VISABABU NJAA ETI MUDA HAUTOSHI?

ULIKUWA WAPI TOKEA SAA NANE MCHANA?
 
Kwa sera hizi mtu atakaye chagua ccm, akapimwe akili kwani magufuli analalamikatu mikakati hakuna full uongo..

Kweli mkuu hizi sera ni muarobaini wa matatizo ya watanzania na naamini watanzania tumeshampata kiongozi haswaaaa
 
Hakuwa anahutubia - alikuwa anaisoma hotuba - neno kwa neo - inaonyesha kabisa kuwa ameandikiwa. Maana hawezi hata kuelezea kidogo - ni kusoma tu - neno kwa neno.

Hivi CCM mmeshindwa na nyie kumuandikia huyo mwenzenu nae asome kama EL!!?
 
Chadema katika ubora wake. watu mmeshakariri kuwa ufunguzio lazima asome hotuba, useless
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…